Wanaume akili zetu tunazijua wenyewe

Wanaume akili zetu tunazijua wenyewe

Kuna sindano za kupunguza nyege? Leo ndio nasikia kutoka kwako. [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]




Sent using Jamii Forums mobile app
Umesoma ukaelewa?
Nimeandika hata mimi nasikia ila sijui kama ni kweli.
Halafu umeedit ili ionekane nimeandika hivo.
Hebu quote kama nilivyoandika au karudie kusoma upya.
 
Hapo sasa ndiyo uamini ya kwamba... There is someone for everyone... No matter who or what you are...


Cc: mahondaw
 
8f9d7c02e75d84db77559ab40cc0aeff.jpg
 
Wanaume sisi tusikie tu...

Haujawahi kulala na mwanamke baada ya kumaliza ukajiuliza ilikuaje?
Duh! Mkuu hapo umenilenga, llikuwa hivi,

Baada ya kukaa kama miezi mitatu hivi bila sex wala nyeto nikajaribu milupo ya BADOO

Nikafanikiwa kumvuta mmoja mpaka Guest kilichofanyika sasa, baada ya kupiga bao moja tu nikaanza kujilaumu imekuwaje mpaka nimemsaliti mpenzi wangu si bora ningesafiri tu mpaka huko nje ya Dar, maana hata kuendelea bao la pili nilishindwa jogoo aligoma kabisa kuamka, nikajikuta namastress ya kutosha mpaka mtoto wa kike ananiambia kesho asubuhi nipigie simu nije mi sikumpigia kwa hasira nikasepa usiku huo huo

Maana ndo mara yangu ya kwanza kulala na malaya
 
Kuna wakati huwa najiulizaga kwa nini siwezi kwenda kununua machokodo nikiwa sijalewa?
 
Hao unaosema ni vichaa walikuambia kuwa wamezalishwa/pewa mimba na wenye akili timamu?
Kumbuka kuna mateja, wavuta sigara bwege na walevi wa pombe chafu ambao hujibebea watu wa aina hiyo.
 
Back
Top Bottom