ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,113
Katika pita pita zangu leo nimekutana na wanawake wawili vichaa, mmoja ana ujauzito na mwengine ana mtoto kama wa miezi mitano hivi,yani nikakaa nikajiuliza hivi kweli mwaume mwenye akili timamu unaanzaje kufanya mapenzi na kichaa na ukaridhika kabisa nakumjaza mimba juu?.Mbona wanawake wazuri wapo wengi sana mitaani!.. Nini kimewakumba wanaume!