Wanaume akili zetu tunazijua wenyewe

Wanaume akili zetu tunazijua wenyewe

Sasa wewe unadhani hao vichaa hawana hisia?
Hata wao kale kamchezo wanakapenda ati.
Tena nasikia wakiukosa either wachomwe sindano za kupunguza/kuzuia genye au wapate wakuwaondolea lasivyo ukichaa unaongezeka sasa sijui ni kweli au maneno ya watu tu.
Inshort ni kuwa huduma unazopata wewe hata wao wanahaki ya kuzipata.
 
Hiyo sentesi ya pili naweza kukuunga mkono...kuna dada mmoja ni kichaa na anawatoto wawili watatu alifariki...mimba yake ya mwisho ukimuuliza alipewa na nani anamtaja na anasema yeye ndo alimfuata huyo mwanaume
 
Sasa wewe unadhani hao vichaa hawana hisia?
Hata wao kale kamchezo wanakapenda ati.
Tena nasikia wakiukosa either wachomwe sindano za kupunguza/kuzuia genye au wapate wakuwaondolea lasivyo ukichaa unaongezeka sasa sijui ni kweli au maneno ya watu tu.
Inshort ni kuwa huduma unazopata wewe hata wao wanahaki ya kuzipata.
Hii ndiyo nasikia kwako
 
Nyingine zinaogeshwa kila siku lakini zina smell sasa fikiria ya kichaa ambaye hajui maji
Mkuu hiyo yenye air fresh na yenye bad smell zote zinakupa same 'utility'.... satisfaction

Sema kuna mambo kuyafanya dah inabidi ujitoe akili kabisaa.

Wapenda kitonga wanapenda saana vichaaa
 
Kwanza wanadamu wote ni VICHAA..
Ispokuwa ukichaa huu hutofautiana kutoka binadam mmoja na mwingine..
Ila ni jambo laajabu mtu kuvua nguo hadharani kama sio kichaa.

Je. Kama kuvua nguo mbele ya mtu/watu ni ukichaa..iweje mwanamke/mwanaume wanaamua kuwa naukichaa utokanao na kupoteza normal sense to abnormal sense mkiwa wawili...mkakubaliana kuwa VICHAA WA mda mfupi.. (temporary mad) na kisha mkavaa nguo mkaogopa kutoka uchi..?

Ni jambo LA kisaikolijia kwamba KICHWA/ UBONGO unapofanya kazi basi huwa uume/uke havifanyi kazi...visV..uume/uke ukifanya kazi effective. .basi ubongo huchotwa nakuzidiwa nguvu kisha temporary mad huaply nakusasambua nguo zote....

Usiwashangae wanaume..hat wanawake ni sawasawa...

NAPITA NJIA TUU WADAU...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom