Wanaume akili zetu tunazijua wenyewe

Wanaume akili zetu tunazijua wenyewe

Wanaume wakianza kufikiri kwa kutimia vichwa vya chini ni zaidi ya vichaa wanaolala barabarani
 
Kuna sindano za kupunguza nyege? Leo ndio nasikia kutoka kwako. [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hata wao kale kamchezo wanakapenda ati.
Tena nasikia wakiukosa either wachomwe sindano za kupunguza/kuzuia genye au wapate wakuwaondolea lasivyo ukichaa unaongezek.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
kila mtu na mtuwe,kuna makuli,mateja,homeless na wengineo nao wanawatu wakupozea
 
Mbovu ni hiyo kichwa tuu, kwingine kupo sawa kabisa aaa,

Kwanza jiulize kichaa inakuwakuwaje mpaka akatoa nguo akaruhusu dudu iingie inakuwaje !!!!
 
Field ya Mshana Jr , inatumika vibaya .

Mtu mmoja, aliambiwa na karumanzila wake akamgegede mtu wa hivyo. Ila wakati , akienda kumchukua kumbe mwananzengo aliona game yote basi jamaa akawa kichaa naye, maana kigezo kilikuwa kwamba asionekane wakati anamla.

Ila mwingine, mtu mwenye matatizo alimla mwenyewe matatizo mwenzie, tumbo likatuna.
 
Katika pita pita zangu leo nimekutana na wanawake wawili vichaa, mmoja ana ujauzito na mwengine ana mtoto kama wa miezi mitano hivi,yani nikakaa nikajiuliza hivi kweli mwaume mwenye akili timamu unaanzaje kufanya mapenzi na kichaa na ukaridhika kabisa nakumjaza mimba juu?.Mbona wanawake wazuri wapo wengi sana mitaani!.. Nini kimewakumba wanaume!
Vichaa wenzao ndo wamewajaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom