Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,481
Kula tanoSema tu ni mwanaume wako dada, hawa wa kwetu ni wasafi tu

za mbali.Kula tanoSema tu ni mwanaume wako dada, hawa wa kwetu ni wasafi tu

za mbali.Bukoba land jiwe kwenye mwanga hiloSema wanaume zako ndo wapo hivyo..
Wawe wasafi kidogo ukutane na mtu anajasho Kali alafu mdomo pia unanuka vibaya kiasi kwamba mtu wa kawaida anashindwa kuvumilia




uwiiiiiihMungu amekupa unaofanana nao. Hao ndio watu sahihi alioona wanaendana na wewe😆🤭Wewe mmoja wao wa wasio oga maji?
Unaitaka pesa yangu??Ata yako p
Achana na umalaya, chagua mwanamme mmoja msafi funga ndoa, furahia maisha. Tabia yako mbovu ya udangaji ndio maana unaangukia kwenye makoroma.Morning
Wanaume acheni uchafu yaani unakutana na jianaume hajaoga na wiki mbili ananuka halafu anakazana kujipulizia perfume, mkikataliwa mnaaza kusema wanawake wanajishaua.
Mwanaume kuwa msafi nyoosha basi hata shati lakini shati unakuta limekunjamana kama limetoka mtumbani.
Kazi njema jirekebisheni.
Sasa usilalamike, kukutana na koroma ni jambo la kawaida katika process ya kuchagua nazi nzuri.Sasa katika harakati za kumpata huyo mume ndio nipo nafawanyia usahili
Nimesahau kumwambia tu kuwa hawa wanaume wetu ni wasafi wa mwili na roho zao ni nzuri piaKula tanoza mbali.
Mimi mchafu....Kama unayo wewe nipe tu