nimesha kalibia pm kwako
😂Kwanza kula ndo lazima kuoga hiyari
Pesa tutoe,, mara mtufokee tuwe romantic na kuoga mtulazimishe? HapanaaKwanza kula ndo lazima kuoga hiyari
😂😂ela si mnatafuta Kwa ajili yetu kuoga ni hiyari yenu wenyew😂Pesa tutoe,, mara mtufokee tuwe romantic na kuoga mtulazimishe? Hapanaa
Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂Pesa tutoe,, mara mtufokee tuwe romantic na kuoga mtulazimishe? Hapanaa
Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
Kwenye uromantic hapa naunga mkono hoja😂🚶Pesa tutoe,, mara mtufokee tuwe romantic na kuoga mtulazimishe? Hapanaa
Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
😂😂Itakuwa ndo ulopishana na dada njiani 😃
Si amesema😂😂😂
Achana na hilo jianaume linalonuka,na hela zake liachie...😂😂😂😂Morning
Wanaume acheni uchafu yaani unakutana na jianaume hajaoga na wiki mbili ananuka halafu anakazana kujipulizia perfume, mkikataliwa mnaaza kusema wanawake wanajishaua.
Mwanaume kuwa msafi nyoosha basi hata shati lakini shati unakuta limekunjamana kama limetoka mtumbani.
Kazi njema jirekebisheni.
Hatuogi, hatuwi romantic na hakun kitu mtafanyaKwenye uromantic hapa naunga mkono hoja![]()
Hahha tutaanza kukaa na viboko jion tunawakagua😂Hatuogi, hatuwi romantic na hakun kitu mtafanya
Tutakuwa tunalala barHahha tutaanza kukaa na viboko jion tunawakagua![]()
