Wanaume acheni kutumia Viagra

Wanaume acheni kutumia Viagra

Zekidon

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
1,903
Reaction score
569
Naweza kutangaza janga la kitaifa kwa vijana. Niisaidie tu serikali maana naona ipo kimya na watu wanagugumia na maumivu no wonder why familia nyingi hazina amani,kumbe ni matumizi ya muda mrefu ya vidonge vya kuongeza nguvu.

Vijana wadogo kabisa wanatumia hizi mambo kabla ya kukutana na mabinti au kina mama wenye uwezo ili kuwaonesha kwamba ni rijali haswa. Baada ya hapo binti au mama anaanza kutoa matumizi kumantain huduma nzuri anayopata toka kwa kijana.

Huko tuendako maandiko yatatimia kwa mume mmoja kuwa na wake saba kama hali ndio hii. Nawaasa vijana kuacha tabia hii mara moja maana huku ni kujiharibu mapema,kula vyakula vyenye afya, kuacha pombe nakufanya mazoezi ndio mpango mzima.

Vidonge ni hatari
 
Hivi ukipiga hiyo mambo unaweza gegeda kwa muda gani? Mimi sijawahi piga hiyo kitu na hata rangi yake siijui lakini bao mbili natumia kama lisaa limoja
 
Nashukuru Mungu sijawahi kutumia upuuzi wa aina yoyote au kucheza cheza na mwili wangu au kucheza na afya yangu kwa ujumla
 
Hivi ukipiga hiyo mambo unaweza gegeda kwa muda gani? Mimi sijawahi piga hiyo kitu na hata rangi yake siijui lakini bao mbili natumia kama lisaa limoja

Viagra haifanyi kazi kama huna tatizo la erectile dysfunction.

Na kazi yake si kusaidia uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu, la hasha.

Kazi yake ni kusaidia kudindisha dhakari na kuendeleza mdindisho huo kwa kadri tendo litakavyodumu.
 
you say it does not work if you dont have an ED? where did you get that brow?? i might need some relevant authorities.
 
you say it does not work if you dont have an ED? where did you get that brow?? i might need some relevant authorities.

How about we start with this....

Viagra works by increasing blood flow to the penis. If everything is in working order, Viagra won't help -- it's not an aphrodisiac or a magical stamina booster. Besides the headaches and painfully persistent erections (you can have too much of a good thing), doctors also worry that men may develop a psychological dependence on medication they don't need, eventually making it difficult to maintain an erection without the drug. Bottom line: No plumbing problems, no point. Drugs like Viagra help many men, but it's best to wait until you need them.

Source
 
Kuna dawa za asili kama mshuzi wa mbuzi yenyewe ni mixer ya mitshamba na ni hataree but hiyo ya farmacy kiukweli ni hatarii kwa afya koz mbeleni bila hiyo huwezi fanya lolote..!@each!
 
Kunyweni vibakuli kumi na mbili vya pweza na mchuzi wake kabla ya mechi...
 
Huwa natumiaga erecto, vega, na viagra...zote gramu 100, shughuli yake si ya kitoto, mtalimbo huwa unasimama zaidi ya masaa 3 bila kulala, papuchi huwa naisugua mpaka naikausha yale maji maji yake...!
 
Back
Top Bottom