Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,201
- 17,563
- Thread starter
-
- #81
Pole sanaSwali la kujiuliza.
Mbona hizi ndoa ambazo wanawake hawapigwi hazidumu kuliko tulizozaliwa na kukuta wanapigwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya kwangu imedumu na sijapigwa kabisaSwali la kujiuliza.
Mbona hizi ndoa ambazo wanawake hawapigwi hazidumu kuliko tulizozaliwa na kukuta wanapigwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
BEIJIN INAKUHUSUNasema hivi, endelea kuishi na huyo Mke wako ukimpetipeti kama yai nami nibaki nimkung'ute wangu panapobidi kwa uzito wa kosa.
Kwenye maisha kila mtu ana kanuni zake.
"Stand for the truth always stand alone"
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Inamaana ulizaliwa miaka 8 baada ya uhuru hahah safi!
Kwahiyo wewe unampiga au utampiga mkeo ukioa au?Hili la kupiga wanawake haliepukiki. Wanawake wa kizazi hiki cha sayansi na teknolojia sio wanawake wa zama za mama yako mzazi au wewe maana kama upo ktk ndoa na mumeo miaka thelathi tukiongeza na ya ukuaji na elimu haipungui 50.
Hakuna mwanaume anaipanga kumpiga mwanamke mtu anaempenda hata kukata shauri la kuishi nae, wanawake wa leo hawashikiki, hawaambiliki, wapanda vichwani, wasio waaminifu, wababe, watu wa haki sawa n.k.
Wazee wetu walichaguliwa wake wa kuoa na ndoa zilidumu ila sisi wachagua mafundi kitandani ndoa hazidumu huo kuna mabadiliko toka kizazi cha nyuma kuja hichi cha JK na jiwe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio bossInamaana ulizaliwa miaka 8 baada ya uhuru hahah safi!
Ukiona ndoa imedumu hujapigwa ujue una brake pads nzuri za mdomo!Ya kwangu imedumu na sijapigwa kabisa
Ya wazazi wangu imedumu Miaka 51 na mamangu hajawahi kupigwa kabisa
Hapo unasemaje
Pole sanaWrite your reply...nyie leteni uzungu wenu hapa Kama hauna adabu lazima nikudunde.
Mwenye shida NI weweNow days wake zetu mnaficha sana masikio.. viburi. jeuri na zarau.
Acha mle makofi
Mie nastahili kukuita maza kabisa, kumbe tunaslake na mabibi kabisa humu jf!Ndio boss
We ulizaliwa lini?
Lete risiti tuone proves hizoUchunguzi unasema " wanaume wanaoishi kikatili na wake zao, ndio wanao ongoza kwa kudumu kwenye ndoa zao kwa muda mrefu"
100% proved
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mwananguMie nastahili kukuita maza kabisa, kumbe tunaslake na mabibi kabisa humu jf!
Ukiwa na Mapenzi ya kweli hutompiga mkeoMwanamke akiwa mtii kwa mumewe hawezi kupigwa,tatizo ni hili tatizo la haki sawa,kutokutoa k n.k
Nakubali kikongweNdio mwanangu
Ulikuwa haujui me ni bibi Bomba?
Haina noma baaliaNakubali kikongwe
Waka tu mtoto wa kichagga! Wengine povu huwa halitusumbui. Maandishi yako ni risiti toshaUna risiti kuonyesha kuwa nagawa k Kwa mdogowake?
Kama huna usijipendekeze kwangu ntakuwakia muda si muda
Ufala tu, akaseme alee watoto mwenyewe! Shule zenyewe vidudu tu ada laki 8!Ah waache
Ila kuna kasheria kamepita naskia
Mwanamke ukipigwa mumeo anafungwa
Kama umechepuka nikakunasa unakula makofi ya umeme na aibu zako na talaka juu!Kipigo kutoka kwa mwanaume ni moja ya kosa lisilo na msamaha wa dhati kutoka kwangu
Wasivyo na aibu anakupiga mchana usiku anaomba k.....maniner zao wanaopiga wake/wapenzi wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah utauana na John Cena?Hakuna kitu nachukia kama kupigwa na hasira nilizo nazo tunaweza kuuwana.
Ila anaebwabwaja utumbo na kuropoka kishenzi anakuwa yuko sahihi sio?Me nadhani kichwani kunakuwa na nati imepwaya Kwa mpigaji