Wanatafutwa vijana wa mauzo kwenye kampuni ya M-Gas

Sendaro

Member
Apr 5, 2012
58
28
Habari,

M Gas ni kampuni inayojishughulisha na kuuza gesi ya kupikia majumbani. Kupitia M Gas mteja anapata unafuu wa kununua gesi kidogo kidogo iliyopo ndani ya mtungi kuanzia Sh 1000 na kuendelea kwa mfumo unaofanana na LUKU etc.

Mteja anaetaka kujisajili na M Gas (kwa bei iliyopo sasa hivi mpaka andiko hili lipo hewani) ataoa kiasi cha Sh 40,000 na atapatiwa mtungi na jiko la sahani mbili pamoja na salio la gesi kwenye kadi yake la Sh 5,000. Au atatoa Sh 20,000 kama tayari ana jiko lake na atapewa mtungi na salio la Sh 15,000. Huduma hii ni kwa wakazi wa Dar es Salaam pekee na usafiri ni bure.

Kama unahitaji huduma zetu tupigie 0713748763.

Kama unahitaji fursa ya kazi ya mauzo tupigie 0683977897.

sample5.png
 
View attachment 2433337
Mshahara shingapi?
 
Hii M Gas naona kama inafaa lakini kuna walakini:

Yaani nikitoa elfu 40 napewa mtungi, connectors na jiko bila gharama zingine au kuna gharama nyuma ya pazia?

cc Meneja Wa Makampuni
 
Mtungi, jiko na connectors shngapi kwa malipo taslimu
 
Hii M Gas naona kama inafaa lakini kuna walakini:

Yaani nikitoa elfu 40 napewa mtungi, connectors na jiko bila gharama zingine au kuna gharama nyuma ya pazia?

cc Meneja Wa Makampuni
Habari, mchanganuo wa sh 40000 upo kama ufuatao. Sh 30000 tunakuuzia jiko la sahani mbili, Sh 5000 ni kama dhamana ya mtungi na Sh 5000 tunakuwekea kama salio lako la gesi. Pia kila kwenye Sh 1000 unakatwa Sh 200 kwa ajili ya service. Hence unapofanya muamala wa Sh 1000, kwenye mita yako inaandika 800.
 
Jiko la plate 2 kwa 30000 ni aina gani ya jiko?? Hujajibu swali langu je nakuwa navimiliki moja kwa moja au ni vyenu mnaniazima tuu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acheni maswali mengi pitia page zao za instagram andika m gesi utaon aina ya majiko acha kua mzembe kila kitu kipo wazi garama ndio iyo iyo 40000 uliyoambiwa

wanakuazima kivip ukiusha viliipia ni vyako unaweza mpa mwingne maana wanajua mtungi hata ukimpa mwngne lazima atatumia m gasi
 
Kwanini twende instagram wakati yeye tangazo kalileta JF? Na ndio lazima tumuulize maswali ujibuji wake ndio utakaovutia wateja waijue bidhaa na kununua.
Ndio kazi ya sales and marketing lazima umsatisfy mteja no matter how difficult she/he is.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni jukwaa la ajira watu wa kutafuta ajira tumejaa humu lakini nashangaa haizungumziwi upande wa ajira wanalipaje na inakuwaje, nimeona mdau ameuliza mshahara upoje lakini pia hajajibiwa.
 
Jiko la plate 2 kwa 30000 ni aina gani ya jiko?? Hujajibu swali langu je nakuwa navimiliki moja kwa moja au ni vyenu mnaniazima tuu??

Sent using Jamii Forums mobile app
sema mkuu swali langu ni hili je unaponunua gesi hata ya 5000 unaletewa au unajaziwa ya kulingna na iyo hela au vp kwamba mita yako itasoma 4800
 
Habari, mtungi tayari una gesi ila huwezi kutumia bila kuwa na salio kwenye kadi yako na inaisha kadri unavyonunua na kutumia ndivyo inavyoisha. Gesi ikikaribia kuisha tunaiona na tunakuletea mtungi mwingine bure bila malipo ya ziada.
 
Hili ni jukwaa la ajira watu wa kutafuta ajira tumejaa humu lakini nashangaa haizungumziwi upande wa ajira wanalipaje na inakuwaje, nimeona mdau ameuliza mshahara upoje lakini pia hajajibiwa.
Kuna maswali ambayo hata muulizaji inabidi ajitathmini, hivi unafikiri tunaweza kuweka kiwango au utaratibu wa mshahara humu?
 
Kwanini twende instagram wakati yeye tangazo kalileta JF? Na ndio lazima tumuulize maswali ujibuji wake ndio utakaovutia wateja waijue bidhaa na kununua.
Ndio kazi ya sales and marketing lazima umsatisfy mteja no matter how difficult she/he is.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna swali ambalo halijajibiwa?
 
Back
Top Bottom