Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 3,812
- 11,968
Wanasiasa ana nguvu as long as Jeshi limeamua kumpa hizo nguvu.
Kwanza fedha nyingi kama zawadi, pili maagano ya kufunga na tatu kuweka ndugu wa karibu.Swali makini:
Inawezekana vipi wanasiasa au mwanasiasa kuwaendesha wanajeshi kadiri anavyo taka bila wao kureact against him or her kwa namna yoyote ile?
Kwa hiyo tatizo ni kujitambua tu ?Wanasiasa wanawaendesha wanajeshi kwenye nchi ambayo wanajeshi wake bado hawajajitambua kama hapa tz.kwa nchi ambazo wanajeshi wao wanajua haki, hakuna upuuzi wa wanasiasa kuwapelekesha.mfano mzuri ni niger. Wanajeshi wa Niger walikataa kupelekeshwa na yule mwanasiasa kibaraka wa wawekezaji uchwara wa bandari na uranium (Mohammed bazoum).
Kumbe tatizo ni shibe au njaa ?! Pamoja sanaWanapata malisho mazuri ya watawala
Mwenye shibe hamjui mwenye njaa kanuni hizo mbili tu
Kwa hiyo kula na watawalawa kuna wafanya kuendeshwa vile watawala wanavyotaka ?Kwa sababu wanajeshi ndio wanasiasa wenyewe.
Maslahi Yao yakiguswa ndio utaelewa.
Nguvu anapewa na jeshi ila jeshi linaendeshwa kadiri mwanasiasa anavyotaka ila sio lenyewe lililo toa hiyo nguvu ? Hapa nipo njia pandaWanasiasa ana nguvu as long as Jeshi limeamua kumpa hizo nguvu.
Sema jeshi la Tanzania usizunguke sanaSwali makini:
Inawezekana vipi wanasiasa au mwanasiasa kuwaendesha wanajeshi kadiri anavyo taka bila wao kureact against him or her kwa namna yoyote ile?
Amri hata zilizo nje ya katiba ?Ni katiba tu,imeeleza kila kitu,Mwanajeshi ni wa kufuata Amri tu kilingana na mgawanyo wa madaraka,ni nzuri tu wala hakuna ubaya
Duuh!herd mentality.
Wanajeshi(ignorance), Wanasiasa(intelligence) nimekupataIntelligence rules the world, Ignorance Carries the burden.
Likewise to politicians and military soldiers.
Wewe utakubali kaka yako, mjomba wako au ndugu yako yoyote kukuendesha vile anavyotaka kwa maslahi yake binafsi ?Kwanza fedha nyingi kama zawadi, pili maagano ya kufunga na tatu kuweka ndugu wa karibu.
Mboga mboga ?Ile katiba ya Chama Fulani waliyokomaa iwe katiba ya nchi ni jau Sana.
Aiseeh! Unafikirisha sanaJeshi ni kazi ya hovyo sana. Hata chizi akishika dola mnapaswa kumtii tu hakuna namna.