Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

Walker Water

JF-Expert Member
Aug 23, 2022
806
3,024
Nianze na salamu za mwaka huu wa 2024 kwa wanajukwaa wote,nilibanwa kidogo na shughuli nyingi mwaka huu ila sasa nimerudi tena jukwaani.

Tunaanza; Tambua kuwa nafsi ndiyo sehemu ya mtu iliyobeba hatma yake yote awapo hapa duniani. Kazi ya roho ni kutia nguvu tu vilivyopo kwenye nafsi ili mtu aweze kuishi katika kiwango chake cha maisha.

Sasa, ili uweze kufanikiwa katika haya maisha na watu wote ambao tayari wameshafanikiwa, ni lazima uwe na uwezo mkubwa wa ku control (kuendesha) nafsi za wengine ili zikutumikie kwa vipawa vilivyopo ndani yake ndipo ufanikiwe.

Namaanisha kuwa unaweza kuishi hapa duniani na ukawa unatumikia watu wengine maisha yako yote kwa nafsi yako kukamatwa na kuendeshwa na watu hao.

Hapa tunazungumzia masuala ya kiroho. Katika ulimwengu wa kiroho upande wa nuru na upande wa giza,wote huvuta watu,kuwafunga na kuwaendesha kwa namna watakavyo wao ili wao waweze kufikia hatma zao.

Tuangalie mifano kidogo, wafanyabiashara; ili bidhaa zao ziuzike lazima wavute na ku control nafsi za watu, usije ukaona unapendelea kununua bidhaa zako sehemu fulani ukafikiri ni kawaida tu!,nafsi imekamatwa hapo. Watu wengine ni wanasiasa, kwenye mipira,kwenye uongozi, kwenye kuvuta wateja kwenye taasisi na mashirika mbalimbali hususani sekta binafsi na wahubiri wakubwa.

Wote hawa wakikosa nguvu za kuvuta na ku control nafsi za watu ili ziwatumikie,kamwe hawataweza kufanikiwa!. Sasa kazi itaanzia hapa kwa kujifunza vitu wanavyotumia kuvuta na ku control nafsi za watu katika pande zote za nuru na za giza. Vitu vinavyotumika ni;

1. Kiapo (maneno yenye ahadi kamili).

2. Sadaka (fedha au chochote kwa lengo maalumu).

3. Maneno/Maombi (yenye roho ndani yake).

4. Kiwakilishi chako chochote (mfano nguo au picha).

Nitakuwa nachambua kimoja kimoja kadri muda utakavyokuwa unapatikana na ninaimani watu wengi sana watajikomboa kutoka kutumikishwa na watu wengine na watajua mengi sana na siri nyingi sana na kuwa huru kuendesha maisha yao.

NB; Hakuna nafsi yoyote ya mwanadamu isiyokuwa na thamani,kama unataka kuamini we nenda kwa Mungu au kwa shetani ukiwa hali yoyote uone kama atakukataa!,na ukifuata masharti yao kikamilifu utakuwa milionea pasipo kujali ulikuwa katika hali gani ya nafsi yako.
 
Kuna vitu mpaka sasa siwez kuviamini kama vipo...MUNGU NA SHETANI na sielewi nitumie mbinu gani ili niamin kimoja wapo kipo? mana nimesali sana makanisa kibao nimejitaid niwe na imani kweri kwer nilichokipenda huku utulivu wa nafsi huku ukitegemea baadae , kwa upande wa shetani nimeroga sana sijui njombe, sumbawanga, malawi, zambia, nijeri nimetoa mpaka kafara za damu.,, lakini sijaona uwepo wa hivi vitu majini sijui msukule nk baada ya kufanya hayo nikajigundua sikustaili kuwepo hapa dunian labda kuna sehemu yangu ya kuish mana sion tena umuhimu wa haya maisha yaan dunian nilikuja tafuta pesa, kujenga kuoa na kufa how? labda mtoa mada ungenieleza kiundan na kama kuna sehemu naweza ona majini hata ndondocha polepole nirudishe iman ila kwa sasa meng naona janja janja japo kuwa nina kipawa ndan yangu
 
Kwanza kabisa mungu Hana JANJA JANJA, MWENYE ENZI MUNGU YEYE YUPO, kwanza hongera sana maana upo katika hatua nzuri sana ya kwenda kuanza kuziiishi nakuni zake za ukweli kanuni za NAMBA yani upo sehemu sasa unaweza kuanza kuhesabiwa baraka zako, kitu ambacho kutoka sasa unatakiwa Kujifunza Ili ufike sehemu salama na uanze kuenjoy maisha, sasa kunazo hatua za kuanza Kujifunza Ili uanze safari yako vizuri, kuna swali lazma ulijibu Ili safari yako ianze kuwa ya kweli na uhakika, na uwe kwenye mafanikio kwa KADRI na KUDRA zake Kila siku.

JE ? KAMA MUNGU WETU MKWELI ANAIJUA KESHO YAKO/YETU, YANI ALIJUA WEWE UTAFANYA HAYO YOTE ULIOFANYA KABLA ATA HUJAANZA KUFANYA, KWANINI ATAKUCHOMA MOTO/ KWANINI ATAKUANGAMIZA ?

Ile siku unapata jibu ata wewe utagundua na kukili MUNGU NI MKUBWA, na utasema YEYE YUPO.

hili swali usipoweza kulijibu ni mpaka unakufa hautoelewa nini ni nini. Mungu akaipe shauku kubwa nafsi yako Ili utafute na ujibu, Asante.
 
Nakuelewa sana uyasemayo mkuu.. Yani bila idea ya uwepo wa Mungu kuwa verified nafsini, maisha ukiyafikiria kufikia stage hiyo yanaonekana pointless kabisa.
 
Kuna vitu mpaka sasa siwez kuviamini kama vipo...MUNGU NA SHETANI na sielewi nitumie mbinu gani ili niamin kimoja wapo kipo? mana nimesali sana makanisa kibao nimejitaid niwe na imani kweri kwer nilichokipenda huku utulivu wa nafsi huku ukitegemea baadae , kwa upande wa shetani nimeroga sana sijui njombe, sumbawanga, malawi, zambia, nijeri nimetoa mpaka kafara za damu.,, lakini sijaona uwepo wa hivi vitu majini sijui msukule nk baada ya kufanya hayo nikajigundua sikustaili kuwepo hapa dunian labda kuna sehemu yangu ya kuish mana sion tena umuhimu wa haya maisha yaan dunian nilikuja tafuta pesa, kujenga kuoa na kufa how? labda mtoa mada ungenieleza kiundan na kama kuna sehemu naweza ona majini hata ndondocha polepole nirudishe iman ila kwa sasa meng naona janja janja japo kuwa nina kipawa ndan yangu
Ila swala la kuexperience maisha beyond huu ukawaida wauonao majority on daily basis (katika spiritual experience ya juu zaidi) hiyo inawezekana kabisa mkuu..
 
Kwanza kabisa mungu Hana JANJA JANJA, MWENYE ENZI MUNGU YEYE YUPO, kwanza hongera sana maana upo katika hatua nzuri sana ya kwenda kuanza kuziiishi nakuni zake za ukweli kanuni za NAMBA yani upo sehemu sasa unaweza kuanza kuhesabiwa baraka zako, kitu ambacho kutoka sasa unatakiwa Kujifunza Ili ufike sehemu salama na uanze kuenjoy maisha, sasa kunazo hatua za kuanza Kujifunza Ili uanze safari yako vizuri, kuna swali lazma ulijibu Ili safari yako ianze kuwa ya kweli na uhakika, na uwe kwenye mafanikio kwa KADRI na KUDRA zake Kila siku.

JE ? KAMA MUNGU WETU MKWELI ANAIJUA KESHO YAKO/YETU, YANI ALIJUA WEWE UTAFANYA HAYO YOTE ULIOFANYA KABLA ATA HUJAANZA KUFANYA, KWANINI ATAKUCHOMA MOTO/ KWANINI ATAKUANGAMIZA ?

Ile siku unapata jibu ata wewe utagundua na kukili MUNGU NI MKUBWA, na utasema YEYE YUPO.

hili swali usipoweza kulijibu ni mpaka unakufa hautoelewa nini ni nini. Mungu akaipe shauku kubwa nafsi yako Ili utafute na ujibu, Asante.
Na msaidia kujibu alafu naomba ukianza mada zako kama ulivyosema hapo just uni tag mkuu ,,, jibu ni kwamba Mungu wetu ni mwenye haki na mwenye hekima. Yeye anajua kila kitu kuhusu sisi na maisha yetu, na hivyo anaweza kufanya maamuzi kulingana na haki yake. Kama tunafanya mambo mabaya au kinyume na mapenzi yake, tunaweza kutarajia adhabu au matokeo mabaya. Lakini pia, Mungu ni mwenye rehema na upendo, na anaweza kutusamehe na kutuonyesha njia ya kurekebisha makosa yetu. Hivyo, ni muhimu kumtii Mungu na kufuata njia zake ili tuweze kuepuka adhabu na kupata baraka zake.
 
Back
Top Bottom