Wanashikiliwa kwa kumkashfu mtume

Wanashikiliwa kwa kumkashfu mtume

Ahaa....swali zuri sana

Michael/Mikael ni malaika wa Vita

Kwahiyo yeye ndiye malaika anayepambana vita na shetani/Ibilisi

Yesu yeye akimshinda shetani kwa njia ya neno.

Karibu tuendelee
ha ha bado unapotea mkuu,
so kwanini mikael apewe kazi ya vita wakati yesu kama unavyoamini ni mungu anaweza kupambana na ibilisi kwa kwa neno?.

Hujapata kusoma yesu akiitwa simba wa yuda,simba wa vita,bwana wa majeshi etc,
na kuwa atatawala kwa upanga ?

Upanga au fimbo ,unaweza rekebisha
 
Eti???? We unaona kosa dogo?? Kwa sehemu kama zanzibar 98% muslims afu useme sio haki..?? kwa Zanzibar ni kawaida na sio tu utashikiliwa na polisi hata Raia wake ama awe CUF au CCM watakufanya kitu mbaya....

Huyo mtume ni Mungu? Mungu wa nani? Mbona waislam wanakula ng'ombe ambaye ni mungu wa watu wengine? Hata hivyo huyo mungu wa waislam anauungu gani kama hawezi kujilinda badala yake analindwa na watu kwa mapanga na majambia? Kati ya hao wanaomlinda kwa mapanga na majambia na huyo anayelindwa nani ana nguvu? ni yupi anapashwa kuwa mungu kati ya muhamed asiyeweza kujitetea na wale wanaomlinda?

Upuuzi mwingine huo ni wa kupeleka kuzimu tu!. Hata shetani mwanzilishi wa miungu anacheka na kushangaa. Ninaona kama vile akiwaangalia waislam wanavyopagawa na mapepo wanashika mapanga kumlinda mungu, shetani huwa anasema "ILA NINYI MADOGO, MMENIZIDI HATA MIMI".
 
Mungu Mwana ambaye alikuwepo tangu Mwanzo,alijifanya Mtu,akazaliwa na Bikira Maria,akakaa kwetu,Akafa,Akazikwa,Siku ya tatu AKAFUFUKA katika Wafu,akarudi MBINGUNI.
Hivyo basi si sahihi kumwita Yesu ni Mungu,kwa sababu kama Yesu alikufa ni kwa sababu alikuwa ni binadamu laiti angekuwa ni Mungu asingekufa.

Haiwezekani mkapa Yesu uungu hali ya kuwa hakuwa na sifa za uungu.
 
ha ha bado unapotea mkuu,
so kwanini mikael apewe kazi ya vita wakati yesu kama unavyoamini ni mungu anaweza kupambana na ibilisi kwa kwa neno?.

Hujapata kusoma yesu akiitwa simba wa yuda,simba wa vita,bwana wa majeshi etc,
na kuwa atatawala kwa upanga ?

Upanga au fimbo ,unaweza rekebisha
Mkuu huwa naamini una uelewa mkubwa ila hapa naona unashindwa kuelewa hoja ndogo sana

Mungu ana utawala (Administration) na pia ingawa ana mamlaka juu ya vyote na uwezo katika vyote ila aliweka segments za uongozi.

Ni sawa na wewe uniambie "Kama Rais ana mamlaka na ni amri jeshi mkuu"

Ni kwanini asitoe hukumu juu ya mkosefu flani?

KUMBUKA: ingawa ni Rais na Ana uwezo huo hawezi kumuingilia Hakimu au Jaji hata kama alimchagua yeye"

Kuna Malaika wa Vita, Wa Nuru n.k

Sasa usipoelewa hapo sijui kama utaelewa zaidi.
 
Hivyo basi si sahihi kumwita Yesu ni Mungu,kwa sababu kama Yesu alikufa ni kwa sababu alikuwa ni binadamu laiti angekuwa ni Mungu asingekufa.

Haiwezekani mkapa Yesu uungu hali ya kuwa hakuwa na sifa za uungu.

Tatizo ni kwamba unalazimisha unachokiamini wewe ndio kiwe suluhisho.
Nimekwambia huyu ni Mungu na ana uwezo wa kujibadili kwa umbo lolote.
Jaribu kujiuliza ni kwa nini aliamua kujibadili na kuja duniani kwa umbo la binadamu.

Unaongelea KUFA lakini unakwepa kuongelea KUFUFUKA.
Binadamu gani anaweza kufufuka?
 
Iwe kweli au Uongo.

Suala la kuwadhalilisha ndugu zetu Waislam na Imani zao, tutalipinga kwa nguvu zote. Hatuwezi kuruhusu sumu na chuki zipandikizwe kwenye Taifa letu.

Ndugu zetu Waislam wana haki 100% kama Binaadamu yeyote hapa duniani kuishi na kuheshiwa kama Binaadamu yeyote.

Utu wao na heshima kwao lazima izingatiwe.

Baada ya George Bush kutafuta marafiki duniani kuupinga Uislam na Waislam. Ujumbe ulipomfikia Bwana Nelson Mandela, alisema nini? "Waachani Waislam wenyewe, Nawapenda hawa".

Kauli hii ni ndogo lakini imemletea heshima Bwana Mandela kwa dunia ya watu zaidi Bilioni 4.

Yuko wapi leo George Bush? Yuko wapi Bwana Lukuvi na kauli zake za chuki?

Tupendaneni na tuheshimianeni.
Hakuna anayewapinga waislam isipokuwa malalamiko yao watoto wa Mudy hayaishagi wala hayana mwisho.

Issue ndogo tu wao watachukulia kuonewa.

Uliwahi kusikia wasomi wafuatao wakikinzana au kulalamiiika hovyo bila hoja zenye maana? :-

- Salim Ahmed Salim
-Zitto Kabwe
-Mohammed Billal
-Ali Mohammed Shein?
 
Inaonesha wewe bado mgeni kwenye hizi habari mbona wapo watu wengi tu washafikishwa mahakamani kwakumkashifu yesu
 
Eti???? We unaona kosa dogo?? Kwa sehemu kama zanzibar 98% muslims afu useme sio haki..?? kwa Zanzibar ni kawaida na sio tu utashikiliwa na polisi hata Raia wake ama awe CUF au CCM watakufanya kitu mbaya....
Na nilivyosikia radio magazetini jina la anaeshikiliwa in Nina la kiislamu hasa sasa sijui ilikuaje
 
Sijawai kuona sehem yesu anakashifiwa wala mtume anakashifiwa na kama imethibitika wamefanya ivyo basi wachukuliwe hatua...ila tu najaribu kuwaza ingekua waislam ndiyo wamekamatwa kwa kumkashifu yesu, sijui ndugu zetu wa kiislam wangeichukulia vipi?
Aliyekamatwa ni muislamu anaitwa Abdallah Salehe
 
Mungu ana nguvu, ana uwezo, ana Mamlaka ANA KILA KITU, kwa hiyo, HAPIGANIWI
Umewaza vyema. Kwa hoja yako hiyo hiyo uliyotoa ni kwamba kutokana na Mungu kuwa na nguvu, uwezo na mamlaka basi kulikuwa hakuna sababu ya kutambua hizi dini kupitia biashara za utumwa na movements mbali mbali za kueneza dini. Mungu angetuumba katika akili ya kufuata msimamo sahihi autakao yeye Mungu. Angeondoa hii hali ya ubishani na kutuweka katika umoja maana yeye ndiye mwenye nguvu na uwezo.
 
huwezi kununua soda kadhaa ukaziweka mahala, ukaweka na chupa moja ya sumu hapo, halafu ukawambia watoto, mtakunywa soda kwa muda wenu, "halafu eti hii nyingine ni sumu musiinywe" wakati umeiweka hapohapo
 
Kwahiyo hapo mkuu atakuwa amekusudia kuuwa mtu ndio maana kaweka mtego. Lakini navyojua mimi ni kwamba Mungu ni mwenye upendo na haki.
 
Hoja tunayojadili ni Hukumu ya Mahakama ya Rufaa sio Maoni yako kwenye hukumu ile
Mkijadili mnaweka maoni. Ukweli hautegemei hukumu ya Jaji
Kwamba Quran ina isa na sio Yesu ni ukweli halisi.
Kwamba Waislam wanamsilimisha Yesu ili wamtumie kuipa ujiko dini yao ni ukweli.
Majaji kuamua kwa kufikiri ni kweli! Quran imeandika kuwa Yesu sio Mungu ni upotofu wa wazi
 
Kwahiyo hapo mkuu atakuwa amekusudia kuuwa mtu ndio maana kaweka mtego. Lakini navyojua mimi ni kwamba Mungu ni mwenye upendo na haki.
Soma mwanzo 2:16-17 utaelewa fasili ya hoja yangu hapo juu
 
Kukashifu dini na kutoa maneno ya dhihaka au kuudhi kwa dini ni kosa, tena kosa kubwa sana.
Ukweli ni kuwa dhihaka ya kidini ni kwa Mkristo kuzungumza lolote kuhusu mtume au Mungu wa Waislam huku waislam wakiwa na Uhuru wa kuropoka lolote dhidi ya Ukristo pasipo kihukumiwa kama wakosaji. Kwa kuwa Tu wao maisha yao ni valueless waweza kuyatoa na kutoa ya wengine hata kwa sababu za kipuuzi na majaji wejikuta wakinaswa na mtego wa kuamua kuwafurahisha ili kulinda utu wa wemgi
 
Tatizo ni kwamba unalazimisha unachokiamini wewe ndio kiwe suluhisho.
Nimekwambia huyu ni Mungu na ana uwezo wa kujibadili kwa umbo lolote.
Jaribu kujiuliza ni kwa nini aliamua kujibadili na kuja duniani kwa umbo la binadamu.

Unaongelea KUFA lakini unakwepa kuongelea KUFUFUKA.
Binadamu gani anaweza kufufuka?
Na hapo ndiyo tatizo.

Naongelea kufa kwa sababu wote tunakubaliana kuwa sifa moja ya mungu ni kuwa hafi,sasa kuzungumzia kufufuka kama ndiyo uthibitisho wa Yesu ni Mungu...Je vp na Yesu aliposema haijui siku ya mwisho ikiwa Yesu alikuwa na uungu?

Kama Yesu aliweza kufufuka kwa sababu alikuwa na uungu basi angekuwa anajua na siku ya mwisho pia kwa sababu ni Mungu.

Labda tuseme kwamba Yesu alifufuliwa na Mungu.
 
Ukweli ni kuwa dhihaka ya kidini ni kwa Mkristo kuzungumza lolote kuhusu mtume au Mungu wa Waislam huku waislam wakiwa na Uhuru wa kuropoka lolote dhidi ya Ukristo pasipo kihukumiwa kama wakosaji. Kwa kuwa Tu wao maisha yao ni valueless waweza kuyatoa na kutoa ya wengine hata kwa sababu za kipuuzi na majaji wejikuta wakinaswa na mtego wa kuamua kuwafurahisha ili kulinda utu wa wemgi
Hao waliokamatwa wote waislam. Sijajua point yako ni nini? Cheki hiyo video ndio kosa lao
 
Back
Top Bottom