permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,430
- 15,221
Utakuwa wewe ni kilaza wa hatari, pamoja na kukariri case namba naona hukuelewa walichokisema. Ngoja nikusaidie kutafsiri kwa kiswahili.Mahakama ilitoa hukumu kuwa kusema Yesu ni Mungu au Si Mungu si Kosa ni sehemu ya Freedom of expression, acha uvivu soma hukumu ipo kwny Google nimeshakutajia ni Criminal appeal no. 53 ya 2001