Na hilo ndiyo tatizo la wakristo,mnadhani kuwa na imani sana ndiyo usahihi wa hicho unachokiamini...imani ziko nyingi na haiwezekani zote zikawa sahihi hivyo lazima kuwe na dalili za usahihi wa hiyo imani.
Najua uzito wa Yesu kuitwa mungu kwenye ukristo ila cha kushangaza pamoja na uzito wa jambo lenyewe ila bado wenyewe kwa wenyewe wakristo wanatofautiana uwelewa katika jambo kubwa kama hili,ni kuonesha utata uliyopo kwenye hili jambo.
Mkuu kuna utata wa wazi katika madai ya Paul kumuona Yesu,fungua biblia na usome pote mule Paul alipolielezea hili tukio la yeye kumuona Yesu utaona anavyojichanganya sana. Kama ukishindwa kufanya hivyo sema nikuoneshe.