Wanashikiliwa kwa kumkashfu mtume

Wanashikiliwa kwa kumkashfu mtume

Waisilam hawadhihaki dini zingine lakini angalia tu hata kwenye mjadala huu dhihaka kubwa imetoka wapi, halafu ndio wakwanza kujiona ni waelewa. Watu humu wametumia maneno ya kejeli dhidi ya uisilam lakini hakuan muisilam alotumia neno la kejeli dhidi ya dini nyingine. Kuna kutofautiana kiimani, nikiamini katika Mungu mmoja na mwingine akiamini katika mungu utatu(kama haipo hivyo naruhusu kurekebishwa) hakuna ubaya wa mimi kuambia mwenzangu anakoelekea sio sahihi.

Ukweli ni kuwa huwezi kuwa mwisilam kama huamini ujio wa nabii Issa(Masiah) pamoja na miujiza aloitenda kwa uwezo alopewa na Mungu. Pamoja na mambo mengine ndiyo maana huwezi ona muisilam anamdhihaki mtu wa dini nyingine kwa ajili ya Issa ambaye naye anamuamini. Hata hivyo pale ambapo wapo wengine wanampa daraja la uungu hapo ndipo tunapowapa nasaha kuwa hiyo si sawa. Mijadala ya kuelimishana juu ya imani zetu haswa kuwaambia ndugu zetu wengine kuwa Issa/Yesu si Mungu sio kukashifiana huko bali nikupena waadhi tu. Sasa hapo ndipo baadhi yenu mnadhani waisilamu wanakashifu dini zingine lakini ukifuatilia sio kweli ni wanawaelimisha wengine tu kuwa Mungu ni mmoja, hakuzaa wala hakuzaliwa na hakuna chenye kufanana naye(hata ile ya kusema binadamu wameumbwa kwa mfano wa Mungu sio sawa)

Wengine kwa hoja nyepesi wanasema huyo wao allah ila wenu ni mungu, hii inaonesha tu uwazaji mdogo. Hivi unajua mkristo aliyepo uarabuni, palestina, iraq, syria nk Mungu kwake anamuita nani? Au tunadhani nine Mungu linatumika kila mahali kama ilivyo Allah?

Kuhusu mtuhumiwa, sijabahatika kuona video ya matusi ila niliona video akiwa chini ya ulinzi na video alotumia kuomba msamaha. Kwa maneno yake mwenyewe amaomba radhi na akasema hakufanya jambo la kiungwana na kukiri kuwa yupo radhi sheria ichukue mkondo wake tena mara moja. Sasa kama yeye mwenyewe kaona amekosea, inakuaje wengine humu wanaona kama vile anaonewa, au kama vile dini fulani tu ndiyo inaonekana kupendelewa ili hali mtuhumiwa kajisalimisha polisi (kwa wengine wnavosema) na kuomba sheria ichukue mkondo wake?

Ndugu zangu wakristo, ni ukweli usio pingika kuwa baadhi yenu wanauchukia sana Uisilam tena bila sababu zozote na ndio maana hata kwenye hoja kama hizi chuki zao hazifichi. Tujiulize tu ni lini tumeskia waisilam wakiwachora viongozi wa kikristo kwenye vikaragosi au wakiwatukana na kuwadhalilisha? Je huo ustaarabu mnaohubiri ni upi hasa wakati hata ukifuatilia kwenye siasa chuki na malalamiko yenu vipo dhahiri shahiri?

Ni haki na wajibu wangu kukuelezeni juu ya Mungu mmoja ila ni hiyari yenu kufuata njia ya kheri ama kuchagua upotefu. Kwahakia mkibaki hivyo hamtaabudu tunachokiabudu na sisi hatutoabudu mnachokiabaudu kwani ninyi mna dini yenu nasi tuna dini yetu.

Mwenyezi Mungu awaongoze kuitambua haki na awawezeshe kuifuata, na awafahishe batwili na awawezeshe kuiepuka na sote atupe mwisho mwema In Sha Allah, Amin.
 
km si binadamu mbona alizaliwa sasa....akawa mtoto hadi akakua...

Hivi unaelewa Maajabu ya Mungu wewe?
Ndio maana nasema siku zote Mungu ninayemuabudu Mimi(YEHOVA) sio Allah.
Mungu(YEHOVA) ana uwezo wote hata wa kujigeuza Sisimizi.
 
Mkuu swala la Dunia kuwa na uovu ni maamuzi ya mwanadamu mwenyewe sababu Mungu alitupa utaratibu wa namna ya kuishi lakini sisi tumeikataa sheria yake na kumbuka kuwa Mungu ni wa haki.
Mi nimesema tu kuwa hawa wanaosema kuwa Mungu hapiganiwi kwa sababu ana nguvu, na ndiyo hawahawa wakiwa kuwa atheists husema kama mungu ana uwezo wote kwanini kaumba dunia inayoruhusu maovu.
 
Ya zanzibar ina dini kijana... ndo maana wana katiba yao.. na hata kula mchana wakt wa ramadhani ni kosa..
Nipe mstari wa katiba unaosema hayo... na kama ina dini, ni SUNI, SHIA, RC, LUITHERAN au ipi?

Tafadhari usiweke hisia, weka facts, na idadi ya waislamu au wakristu, siyo data ya kusema serikali ina dini... weka vifungu vya katiba yao
 
Hivi unaelewa Maajabu ya Mungu wewe?
Ndio maana nasema siku zote Mungu ninayemuabudu Mimi(YEHOVA) sio Allah.
Mungu(YEHOVA) ana uwezo wote hata wa kujigeuza Sisimizi.
Kama Mungu alijigeuza mtu je pale msalabani alikuwa anajiomba mwenyewe au alikuwa ana muomba Mungu gani tena?
 
Waisilam hawadhihaki dini zingine lakini angalia tu hata kwenye mjadala huu dhihaka kubwa imetoka wapi, halafu ndio wakwanza kujiona ni waelewa. Watu humu wametumia maneno ya kejeli dhidi ya uisilam lakini hakuan muisilam alotumia neno la kejeli dhidi ya dini nyingine. Kuna kutofautiana kiimani, nikiamini katika Mungu mmoja na mwingine akiamini katika mungu utatu(kama haipo hivyo naruhusu kurekebishwa) hakuna ubaya wa mimi kuambia mwenzangu anakoelekea sio sahihi.

Ukweli ni kuwa huwezi kuwa mwisilam kama huamini ujio wa nabii Issa(Masiah) pamoja na miujiza aloitenda kwa uwezo alopewa na Mungu. Pamoja na mambo mengine ndiyo maana huwezi ona muisilam anamdhihaki mtu wa dini nyingine kwa ajili ya Issa ambaye naye anamuamini. Hata hivyo pale ambapo wapo wengine wanampa daraja la uungu hapo ndipo tunapowapa nasaha kuwa hiyo si sawa. Mijadala ya kuelimishana juu ya imani zetu haswa kuwaambia ndugu zetu wengine kuwa Issa/Yesu si Mungu sio kukashifiana huko bali nikupena waadhi tu. Sasa hapo ndipo baadhi yenu mnadhani waisilamu wanakashifu dini zingine lakini ukifuatilia sio kweli ni wanawaelimisha wengine tu kuwa Mungu ni mmoja, hakuzaa wala hakuzaliwa na hakuna chenye kufanana naye(hata ile ya kusema binadamu wameumbwa kwa mfano wa Mungu sio sawa)

Wengine kwa hoja nyepesi wanasema huyo wao allah ila wenu ni mungu, hii inaonesha tu uwazaji mdogo. Hivi unajua mkristo aliyepo uarabuni, palestina, iraq, syria nk Mungu kwake anamuita nani? Au tunadhani nine Mungu linatumika kila mahali kama ilivyo Allah?

Kuhusu mtuhumiwa, sijabahatika kuona video ya matusi ila niliona video akiwa chini ya ulinzi na video alotumia kuomba msamaha. Kwa maneno yake mwenyewe amaomba radhi na akasema hakufanya jambo la kiungwana na kukiri kuwa yupo radhi sheria ichukue mkondo wake tena mara moja. Sasa kama yeye mwenyewe kaona amekosea, inakuaje wengine humu wanaona kama vile anaonewa, au kama vile dini fulani tu ndiyo inaonekana kupendelewa ili hali mtuhumiwa kajisalimisha polisi (kwa wengine wnavosema) na kuomba sheria ichukue mkondo wake?

Ndugu zangu wakristo, ni ukweli usio pingika kuwa baadhi yenu wanauchukia sana Uisilam tena bila sababu zozote na ndio maana hata kwenye hoja kama hizi chuki zao hazifichi. Tujiulize tu ni lini tumeskia waisilam wakiwachora viongozi wa kikristo kwenye vikaragosi au wakiwatukana na kuwadhalilisha? Je huo ustaarabu mnaohubiri ni upi hasa wakati hata ukifuatilia kwenye siasa chuki na malalamiko yenu vipo dhahiri shahiri?

Ni haki na wajibu wangu kukuelezeni juu ya Mungu mmoja ila ni hiyari yenu kufuata njia ya kheri ama kuchagua upotefu. Kwahakia mkibaki hivyo hamtaabudu tunachokiabudu na sisi hatutoabudu mnachokiabaudu kwani ninyi mna dini yenu nasi tuna dini yetu.

Mwenyezi Mungu awaongoze kuitambua haki na awawezeshe kuifuata, na awafahishe batwili na awawezeshe kuiepuka na sote atupe mwisho mwema In Sha Allah, Amin.

Umeandika maelezo Marefu sana na umejitahidi sana kueleza lakini umepotosha pale ulipolinganisha Nabii Issa na YESU.
Ukinitajia sehemu yoyote ilipoandikwa kwamba Issa ndiO YESU KRISTO ndio maelezo yako yatakuwa na maana.Tofauti na hapo maelezo yako ni porojo tu za vijiweni.
Wakristo hawamtambui Mohamad wala Nabii Issa katika mafundisho ya Kimungu.
Wakristo wanamtambua Yesu Kristo kuwa ni Mwana wa Mungu ambaye ni Mungu.
 
Waisilam hawadhihaki dini zingine lakini angalia tu hata kwenye mjadala huu dhihaka kubwa imetoka wapi, halafu ndio wakwanza kujiona ni waelewa. Watu humu wametumia maneno ya kejeli dhidi ya uisilam lakini hakuan muisilam alotumia neno la kejeli dhidi ya dini nyingine. Kuna kutofautiana kiimani, nikiamini katika Mungu mmoja na mwingine akiamini katika mungu utatu(kama haipo hivyo naruhusu kurekebishwa) hakuna ubaya wa mimi kuambia mwenzangu anakoelekea sio sahihi.

Ukweli ni kuwa huwezi kuwa mwisilam kama huamini ujio wa nabii Issa(Masiah) pamoja na miujiza aloitenda kwa uwezo alopewa na Mungu. Pamoja na mambo mengine ndiyo maana huwezi ona muisilam anamdhihaki mtu wa dini nyingine kwa ajili ya Issa ambaye naye anamuamini. Hata hivyo pale ambapo wapo wengine wanampa daraja la uungu hapo ndipo tunapowapa nasaha kuwa hiyo si sawa. Mijadala ya kuelimishana juu ya imani zetu haswa kuwaambia ndugu zetu wengine kuwa Issa/Yesu si Mungu sio kukashifiana huko bali nikupena waadhi tu. Sasa hapo ndipo baadhi yenu mnadhani waisilamu wanakashifu dini zingine lakini ukifuatilia sio kweli ni wanawaelimisha wengine tu kuwa Mungu ni mmoja, hakuzaa wala hakuzaliwa na hakuna chenye kufanana naye(hata ile ya kusema binadamu wameumbwa kwa mfano wa Mungu sio sawa)

Wengine kwa hoja nyepesi wanasema huyo wao allah ila wenu ni mungu, hii inaonesha tu uwazaji mdogo. Hivi unajua mkristo aliyepo uarabuni, palestina, iraq, syria nk Mungu kwake anamuita nani? Au tunadhani nine Mungu linatumika kila mahali kama ilivyo Allah?

Kuhusu mtuhumiwa, sijabahatika kuona video ya matusi ila niliona video akiwa chini ya ulinzi na video alotumia kuomba msamaha. Kwa maneno yake mwenyewe amaomba radhi na akasema hakufanya jambo la kiungwana na kukiri kuwa yupo radhi sheria ichukue mkondo wake tena mara moja. Sasa kama yeye mwenyewe kaona amekosea, inakuaje wengine humu wanaona kama vile anaonewa, au kama vile dini fulani tu ndiyo inaonekana kupendelewa ili hali mtuhumiwa kajisalimisha polisi (kwa wengine wnavosema) na kuomba sheria ichukue mkondo wake?

Ndugu zangu wakristo, ni ukweli usio pingika kuwa baadhi yenu wanauchukia sana Uisilam tena bila sababu zozote na ndio maana hata kwenye hoja kama hizi chuki zao hazifichi. Tujiulize tu ni lini tumeskia waisilam wakiwachora viongozi wa kikristo kwenye vikaragosi au wakiwatukana na kuwadhalilisha? Je huo ustaarabu mnaohubiri ni upi hasa wakati hata ukifuatilia kwenye siasa chuki na malalamiko yenu vipo dhahiri shahiri?

Ni haki na wajibu wangu kukuelezeni juu ya Mungu mmoja ila ni hiyari yenu kufuata njia ya kheri ama kuchagua upotefu. Kwahakia mkibaki hivyo hamtaabudu tunachokiabudu na sisi hatutoabudu mnachokiabaudu kwani ninyi mna dini yenu nasi tuna dini yetu.

Mwenyezi Mungu awaongoze kuitambua haki na awawezeshe kuifuata, na awafahishe batwili na awawezeshe kuiepuka na sote atupe mwisho mwema In Sha Allah, Amin.
Hapo kwenye BOLD,
ubaya upo.. na pengine ndo msingi wa kuwa na kila mtu ana dini yake... Na yeye akikuambia usieamini UTATU MTAKATIFU unadhani siyo mbaya kwako? ACHENI HISIA... Na yeye akikuambia unakoelekea siyo sahihi utasema nini?
 
Kama Mungu alijigeuza mtu je pale msalabani alikuwa anajiomba mwenyewe au alikuwa ana muomba Mungu gani tena?

Mungu ana Nafsi tatu yaani BABA,MWANA na ROHO MTAKATIFU.Unaitwa utatu mtakatifu Mungu Mmoja.
Mungu mwana alijifanya MTU aKaja duniani akakaa kwetu.
Ukijifanya MTU utatenda kama MTU.
 
Mbona sijawahi kusikia watu kukamatwa kwa ajili ya kumtukana Yesu? Hii imekaaje wadau???
Kwani hujasikia watu morogoro walifungwa miaka 2 kwa kosa la kumtukana yesu na kusema yesu sio mungu?
 
Hapo kwenye BOLD,
ubaya upo.. na pengine ndo msingi wa kuwa na kila mtu ana dini yake... Na yeye akikuambia usieamini UTATU MTAKATIFU unadhani siyo mbaya kwako? ACHENI HISIA... Na yeye akikuambia unakoelekea siyo sahihi utasema nini?
Mkuu hakuna ubaya wa mtu kuniambia mimi sipo sahihi kwakupitia imani yake. Mimi rafiki zangu wengi ni wakristo na kunawakati tunaambiana juu ya imani zetu na hakujawahi kuwa na shida kwakuwa kila mmoja anaeleza mapungufu ya mwingine kwa staha,hakuna kejeli. Mimi siwajibiki na sina uwezo wa kumfanya kila mtu kuamini ila nafikisha ujembe tu, lakini kama nilivomalizia ni juu ya mja kuchagua uongofu au upotevu.
 
Mungu ana Nafsi tatu yaani BABA,MWANA na ROHO MTAKATIFU.Unaitwa utatu mtakatifu Mungu Mmoja.
Mungu mwana alijifanya MTU aKaja duniani akakaa kwetu.
Ukijifanya MTU utatenda kama MTU.
Kwahiyo pia unakubali Mungu mwana aliwahi kuzaliwa na kufa pia?
 
Wanampigania Mungu? Tangu lini?

Au unamzungumzia Allah?
kuna habari nilisoma katika bible kuwa malaika mkuu mikael(sijui nani alimpa huo ukuu) akipigana kule mbinguni na lucifer,sasa kwanini huyo yehova hakujipigania?
 
mtume gani malisa, gwajima au yule wa pale ubungo riverside
 
......duuh, wana kazi kubwa kweli kuijua..hivi ukienda uchina ama nchi yoyote bara Amerika, ukishika kipaza sauti na kuanza kupiga MAYOWE ukinadi YESU si MUNGU.......Si ajabu ukajikuta unarushiwa fedha wakiwa na IMANI labda unaomba pesa ya KULA..........YESU anatambulika TANZANIA TU......Ila ISSA BIN MARIAM (A.S.) amevuka mipaka...

Na hili watabisha.......mjadala uendelee....
 
kuna habari nilisoma katika bible kuwa malaika mkuu mikael(sijui nani alimpa huo ukuu) akipigana kule mbinguni na lucifer,sasa kwanini huyo yehova hakujipigania?
Ahaa....swali zuri sana

Michael/Mikael ni malaika wa Vita

Kwahiyo yeye ndiye malaika anayepambana vita na shetani/Ibilisi

Yesu yeye akimshinda shetani kwa njia ya neno.

Karibu tuendelee
 
Kwahiyo pia unakubali Mungu mwana aliwahi kuzaliwa na kufa pia?

Mungu Mwana ambaye alikuwepo tangu Mwanzo,alijifanya Mtu,akazaliwa na Bikira Maria,akakaa kwetu,Akafa,Akazikwa,Siku ya tatu AKAFUFUKA katika Wafu,akarudi MBINGUNI.
 
Back
Top Bottom