Wanashikiliwa kwa kumkashfu mtume

Pohamba uwe unazungumza mambo unayoyajua vizuri, kama hujui uliza utaelezwa. Sababu ya kuachiwa na mahakama ya rufaa siyo hiyo uliotaja.

Pitia Hukumu ya Rufani ya Jaji Samatta ya 2001 uje useme hukumu ilisemaje? Tangu hapo Masuala ya kukamata watu kwa kuwa tu hawaamini Uungu wa Yesu yalikoma

Mtu alifungwa kwa kusema Yesu si Mungu akakata Rufaa akashinda halafu unasema Alishinda Rufaa yake lakin sio ya kuhusu Kesi aliyofungiwa!

Issue ya Dibagula naifahamu Mwanzo Mwisho na Mie nilikuwa mmoja wa walioratibu Maandamano kuanzia Kidongo chekundu kwnenda Mahakama ya Rufaa mpaka Serikal ya Mkapa ikaingiwa na Hofu na ikaamuru Siku hiyo hiyo Dibagula Aachiwe huru kabla ya Rufaa yake kusikilizwa na iliposikilizwa akashinda na kwa kuwa hukumu za Ka Justice huwa ni Sheria ikawa si Kosa kuamini Yesu si Mungu
 
Wewe tatizo na story za kusikia, itafuta soma hoja za prof Safari especially kuhusiana na makosa yaliyofanywa na mahakama kuu, lakini pia hoja ya kuwa Yesu ni Mungu au siyo Mungu mahakama haikuitolea maamuzi kwani hilo la dini ambalo lipo nje ya mahakama.
 
Kwanini unalazimisha Uongo? Kwanini nisome hoja za Wakili wa Mshtakiwa badala ya hukumu?
 
coment yako inanikumbusha kisa cha Gideon na mungu Baal!
Baada ya Gideon ya Kuyavunjilia mbali masanamu ya mungu baal,makuhani wa mungu baal wakamkamata Gideon na kisha kumpeleka kamba mkononi mpaka kwa babake!Babake Gideon baada ya kuwasikiliza makuhani wa baal wakimtetea mungu wao kuwa kaonea,kadhalilishawa,kadhiaikiwa na kufedheheshwa na mwanae Gideon mpaka kufikia hatu ya kubomolewa vipande vipande!
Kwahyo walitaka haki na kisasi kwa mungu wao baal!
Baada ya babake Gideon kuwasikiliza na kuwapima akawajibu:"Kama mungu wenu ni mungu mwenye uwezo,mamlaka,enzi,nguvu basi ajitetee mwenyewe"
Hapo ni mtihani, maana hawezi kujitetea mwenyewe. Zamani za ujinga, watawala walitumia dini kuongoza, kuna mdau mmoja kazungumzia kuhusu crusade, nadhani pia hajui kuwa aliyeamrusha ile kitu alikuwa ni kiongozi wa serikali na sio dini tu, he was frighting for empire expansion, akashindwa. Dini ilipoingia kupigia uwepo wa dini, ikashinda. Mataifa yameungana kupinga ushindi ule tena kwa silaha nzito nzito imeshindikana, tusiwe wavivu wa kusoma vitabu rejea.

Cha muhimu zingatia mafundisho ya dini yako, kama ni ya hovyo achana nayo, jiunge na wengine wenye mwelekeo. Ukiona kote ni hovyo, kuwa atheist ni option pia
 
Ebu itafute hio habari nakisha uijazie nyama
Mkuu hiyo habari ni ya kweli na aliyefanya hivyo ni muislam tena daktari muajiriwa wa serikali ya mapinduzi kwa taarifa zisizo rasmi alikuwa akiishi uk au scotland (sijui tofauti) akaombwa kuja kuhudumu nyumbani nadhani kitengo cha wazazi kule.
Hiyo material fay jamaa alijipatia "lusekelo"zake za kutosha tu akawa anafanya mazungumzo fyongo na washirika wake wakiwa na itikadi tofauti za vyama ila watu wanaoelewana ama kwa yakini au kinafiki(norm ya watu wa zenji inapokuja masuala ya kisiasa).
Sasa jamaa akaanza kumtusi /kumkejeliSharif Hamad kuwa nimtume wa pemba na mtuhumiwa alimpigia simu Mwenyezi Mungu na akaongea nae kuthibitishiwa hilo .
Hakuishia akasema maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa dhodi ya Mtume S.A.W ,dhidi ya Mwenyeezi Mungu A.S dhidi ya Waislam na yeyote yule mweny kumhofu Mungu bila kuzingatia imani yake.
Kiukweli jamaa haja kamatwa ila kajisalimisha mwenyewe kws usalama wake baada ya kuona zile clip na kubaini magnitude ya alichokifanya.
Alitengeneza clip nyingine ya kuomba radhi,na kuna clip nyingine akiwa na watu wa usalama akiwahimiza kuwa yuko tayari kuchukuliwa hatua na lifanywe mara moja maana anajua linaweza kumtokea lolote akiwa uraiani kwa makufuru aliyoyafanya.
Mkuu tafuta clip zake au ni pm namba zako inbox nikupe .
 
Hupaswi kukashifu imani ya mwenzako wala eneo au sehemu wanayoitumia kuabudu kulingana na imani yao. Tanzania haina dini ila inalinda na kuheshimu imani za raia wake as long as hazikiuki sheria na taratibu za nchi. So kutukana, kukashimu ama kudhalilisha kwa namna yoyote imani ya mtu jambo hilo halikubaliki LAKINI lisiwe na upande mmoja haki itendeke kote sio wakikosea waumin wa iman fulan wanakushiwa ila wakikosea wa upande mwingine ndio inaonekana kosa tena kubwa kama uhaini vile. Ieleweke wazi siungi mkono tabia za kukashifu imani za watu.
Angaluizo kwa kadhia ya zanzibar aliyekashifu ,hapana kukashifu si nenonsahihi bali aliyekufuru ni mzanzibari asili ,tena muislam na aliyekariri vyema dini ila hakika hajaifahamu hata kidogo!
 
Mkuu hiyo habari ni ya kweli na aliyefanya hivyo ni muislam tena daktari muajiriwa wa serikali ya mapinduzi kwa taarifa zisizo rasmi alikuwa akiishi uk au scotland (sijui tofauti) akaombwa kuja kuhudumu nyumbani nadhani kitengo cha wazazi kule.
Hiyo material fay jamaa alijipatia "lusekelo"zake za kutosha tu akawa anafanya mazungumzo fyongo na washirika wake wakiwa na itikadi tofauti za vyama ila watu wanaoelewana ama kwa yakini au kinafiki(norm ya watu wa zenji inapokuja masuala ya kisiasa).
Sasa jamaa akaanza kumtusi /kumkejeliSharif Hamad kuwa nimtume wa pemba na mtuhumiwa alimpigia simu Mwenyezi Mungu na akaongea nae kuthibitishiwa hilo .
Hakuishia akasema maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa dhodi ya Mtume S.A.W ,dhidi ya Mwenyeezi Mungu A.S dhidi ya Waislam na yeyote yule mweny kumhofu Mungu bila kuzingatia imani yake.
Kiukweli jamaa haja kamatwa ila kajisalimisha mwenyewe kws usalama wake baada ya kuona zile clip na kubaini magnitude ya alichokifanya.
Alitengeneza clip nyingine ya kuomba radhi,na kuna clip nyingine akiwa na watu wa usalama akiwahimiza kuwa yuko tayari kuchukuliwa hatua na lifanywe mara moja maana anajua linaweza kumtokea lolote akiwa uraiani kwa makufuru aliyoyafanya.
Mkuu tafuta clip zake au ni pm namba zako inbox nikupe .
nadhani ni dkt abdallah,si ndiyo?
 
Hakumkashifu Dibagula alinukuu quran.
Tatizo kubwa la Waislam ni uelewa Tu. Quran imeandika kuwa Nabii isa sio Allah
Lakini wakioanda majukwaani penye nabii isa huweka Yesu na Penye Allah huweka Mungu
Kama wangehubiri Nabii isa sio Allah au hata nabii isa sio Mungu 24/7 , 365days na highest amplified voices hakuna MTU angeona kashfa kwa kuwa Kweli Nabii Isa bin mariam sio Mungu na neno Mungu ni generic wakati Allah ni generic na pia unique name ya mungu wa waislam
Kwa kujua kuwa nabii isa ni non issue kwa Wakristo basi humbatiza Huyo nabii wao kwa jina la Yesu.
Naamini kwa Well informed judge angehukumu kashfa kwa kutumia jina Mungu wa imani nyingine kukidhi haja za kipropaganda ya dini yao
 
Eti???? We unaona kosa dogo?? Kwa sehemu kama zanzibar 98% muslims afu useme sio haki..?? kwa Zanzibar ni kawaida na sio tu utashikiliwa na polisi hata Raia wake ama awe CUF au CCM watakufanya kitu mbaya....
Watashtakiwa kwa kosa lipi mkuu? Tupe elimu.
 
Pitia Hukumu ya Rufani ya Jaji Samatta ya 2001 uje useme hukumu ilisemaje? Tangu hapo Masuala ya kukamata watu kwa kuwa tu hawaamini Uungu wa Yesu yalikoma

Mtu alifungwa kwa kusema Yesu si Mungu akakata Rufaa akashinda halafu unasema Alishinda Rufaa yake lakin sio ya kuhusu Kesi aliyofungiwa!

Issue ya Dibagula naifahamu Mwanzo Mwisho na Mie nilikuwa mmoja wa walioratibu Maandamano kuanzia Kidongo chekundu kwnenda Mahakama ya Rufaa mpaka Serikal ya Mkapa ikaingiwa na Hofu na ikaamuru Siku hiyo hiyo Dibagula Aachiwe huru kabla ya Rufaa yake kusikilizwa na iliposikilizwa akashinda na kwa kuwa hukumu za Ka Justice huwa ni Sheria ikawa si Kosa kuamini Yesu si Mungu
Majaji walipotoshwa kwa dhana potofu kuwa Isa bin mariam ni Mungu hivyo kufikia hitimisho la kusema wamenukuu Quran.
Hakuna Yesu kwenye Quran bali kuna Isa bin mariam
 
uyo mtaja hapo juu ni mungu kama alivyo Allah,Yahweh au Yesu?hapa tunazungumzia wafuasi wa dini fulani kushindwa kustahimili ukosoaji wa dini yao toka kwa wafuasi wa dini zingine!
Uyo ulie mtaja hapo juu ni mwanasiasa,wala si kuhani,shekhe au mtume!
Kwahiyo sidhani kama coment yako inareflect mada tajwa hapo juu!
Msitoke nje ya mada !hivi watanzania mtaacha lini kujadili kitu kingine katiaka hoja tofauti?
Habari iliyopo hapa ni mtu kukashifu na kufanya makufuru huko Zanzibar ,na wala si mtu wa imani nyingine n muislam mwenzao.hili hamjalifaham tayari mmeshaanza kufanya bickering zenu kama chiriku wazee huko!
Jifundishe kuwa focused na issue in hand kwanza ndipo mjadili hizo related issues!
 
Usianzishe hoja yako kwa kujibu yangu.

Hukumu ya Rufani ya Dibagula ipo kwny Mtandao, Google usome!

Msingi wa Rufani ilikuwa ni Uungu wa Yesu na Freedom of Expression
Majaji waliohusika walipotoshwa na kawaida ya Wailslam kulazimisha Isa kuwa ndiye Yesu ili kuupa ujiko Uislam machoni pa Wakristo wasio waelewa. Isa sio Mungu ni ukweli na kama kuna MTU anapinga aje na andiko.
Yesu hayumo kwenye Quran kwa kuwa kwa kairabu jina Yesu sio Isa
 
Msitoke nje ya mada !hivi watanzania mtaacha lini kujadili kitu kingine katiaka hoja tofauti?
Habari iliyopo hapa ni mtu kukashifu na kufanya makufuru huko Zanzibar ,na wala si mtu wa imani nyingine n muislam mwenzao.hili hamjalifaham tayari mmeshaanza kufanya bickering zenu kama chiriku wazee huko!
Jifundishe kuwa focused na issue in hand kwanza ndipo mjadili hizo related issues!

Yesu alipata majaribu mengi sana toka kwa shetani na hakuchukua hatua zaidi ya kuwa mpole, hivyo wakristo ni watu wapole na wavumilivu. Hata mtukane vipi Yesu japo siyo vizuri lakini hakuna mkristo atahangaika na wewe zaidi ya kukuombea na wewe kuona aibu.
 
Usianzishe hoja yako kwa kujibu yangu.

Hukumu ya Rufani ya Dibagula ipo kwny Mtandao, Google usome!

Msingi wa Rufani ilikuwa ni Uungu wa Yesu na Freedom of Expression
Waweza nipa jina la hio kesi?ningependa kupitia hio hukumu ili nipanue ubongo wangu!
 
Back
Top Bottom