Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,903
Kweli Issa na Yesu ni vitu viwili tofauti, mmoja yupo hai na mwingine hayuko hai.Majaji waliohusika walipotoshwa na kawaida ya Wailslam kulazimisha Isa kuwa ndiye Yesu ili kuupa ujiko Uislam machoni pa Wakristo wasio waelewa. Isa sio Mungu ni ukweli na kama kuna MTU anapinga aje na andiko.
Yesu hayumo kwenye Quran kwa kuwa kwa kairabu jina Yesu sio Isa