Wanasayansi Wafichua Dalili za Mwisho wa Dunia!

Haya tuma salamu huko mbinguni 😂
Nitume salamu mbinguni kwa nani? Roho Mtakatifu yuko ndani yangu (Mdo 1:8; 2:4). Yesu yuko nami siku zote hata ukamilifu wa dahari(Mathayo 28:20). Mungu Baba ni omnipresent. Hata hapa nilipo, yupo(Zaburi 139:7–10). Hata Malaika wa Bwana amefanya kituo hapa hapa akinizunguka na kuniokoa.
Zaburi 34:7
“Malaika wa Bwana hufanya kituo akiwazunguka wamchao, naye huwaokoa.”
 
Weka humu 🗑️
 
Weka humu 🗑️
Humu 🗑️ naweka tu takataka za kishetani: uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo (Gal 5:19-21)
 
Kama huna habari, wanasayansi wamekuwa wakichunguza mwenendo wa ulimwengu (universe), na matokeo ya tafiti zao yamefichua jambo la kushangaza: ulimwengu hauko tuli, bali unapanuka kwa kasi kubwa sana.

Kupitia uchunguzi wa kina wa anga (astronomy), wamegundua kuwa kuna nguvu ya ajabu inayoitwa dark energy, ambayo ndiyo inachochea upanuzi huu wa ulimwengu. Nguvu hii inaonekana kuwa kubwa kuliko nguvu ya uvutano (gravity), na inaendelea kusukuma galaksi mbali mbali ziachane kwa kasi inayoongezeka kila siku.

Wanasayansi wametoa nadharia kadhaa kuhusu mwisho wa ulimwengu, mojawapo ni ile inayojulikana kama Big Rip. Nadharia hii inaeleza kuwa, kama hii nguvu ya upanuzi itaendelea kuongezeka, itafika mahali ambapo itashinda nguvu zote zinazoshikilia vitu pamoja, kuanzia galaksi, nyota, sayari, hadi atoms zenyewe. Hatimaye, kila kitu kitavunjika na kusambaratika kabisa.

Ajabu ni kwamba, nadharia hizo zinashabihiana sana na yale yaliyoandikwa katika Biblia Takatifu miaka mingi iliyopita. Maandiko yanatueleza kwamba siku ya mwisho inakuja. Siku hiyo mbingu zitateketezwa kwa moto na kutoweka, na viumbe vya asili vitayeyushwa.

Hivyo ni dhahiri mwisho wa ulimwengu unakuja, na utakuwa wa kutisha na wa ghafla.

Yesu Kristo alipokuwa duniani, kabla hajapaa mbinguni, alieleza dalili zitakazotangulia kurudi kwake na za mwisho wa dunia. Dalili hizo ni pamoja na kuongezeka kwa vita na machafuko, matetemeko ya ardhi sehemu mbalimbali, magonjwa hatari na yasiyo ya kawaida, kuongezeka kwa uovu na maasi, upendo wa watu wengi kupoa, watu kupenda fedha kuliko Mungu, kuibuka kwa manabii wa uongo nk.

Tukiangalia dunia ya leo, dalili hizo zinaonekana wazi mbele ya macho yetu. Hata mambo ya kusikitisha yanayoendelea huko Mashariki ya Kati, yalitabiriwa zamani kwamba yatatokea.

Inawezekana kabisa kwamba Mungu, kwa huruma zake, ameruhusu sayansi ithibitishe kwa njia hiyo kwamba mwisho upo ili hata wale wasiopenda kusikia Neno lake waujue ukweli huo.

Ndugu zangu, huu sio wakati wa kubeza wala kupuuza. Ufalme wa mbinguni umekaribia. Huu ni wakati wa kutubu dhambi, kumrudia Mungu kwa moyo wa dhati, kumwamini Yesu Kristo na kumpokea kwa imani mioyoni mwetu awe Bwana na Mwokozi wetu.

Tukifanya hivyo, siku ya mwisho itakapofika, hatutakuwa miongoni mwao watakaolia na kusaga meno, bali tutanyakuliwa hadi mbinguni na kupokea uzima wa milele.

Sources:
  • BBC – Theories about the end of the universe (Big Rip, Big Freeze, Big Crunch)
  • NASA – Research on expanding universe and dark energy
  • Biblia Takatifu – 2 Petro 3:12; Mathayo 24
View attachment 3561406

Kwa mtu aliyesoma PHYSICS vizuri anajua pasina shaka kuwa mwisho wa Dunia upo wala sio kitu cha kubahatisha.
Kwa kifupi; Solar Systerm imeshikiliwa na nguvu inayotolewa na Jua (Sun). Kitu kikitoa nguvu maana yake inapungua . Inamaana Nguvu ya jua inapungua kidogo kidogo kila siku, na siku ambayo hivyo nguvu itakuwa imepungua kiasi cha kushindwa kuzishikilia nyota (sayari) kwenye orbits zake, inamaana zitaachiliwa na kwenda hovyo hovyo na kugongana kwa kishindo kikubwa ambapo zita sagika sagika kabisa nk na hapo hakutakuwa na kiumbe kimebakia na hapo ndio utakuwa mwisho wa Dunia...
Na hii Sayansi/PHYSICS imeelezewa vizuri kabisa kwenye Quran ya Waislam....
" Jua litatokea Magharibi badala ya Mashariki na kutatokea kishindo kikubwa sana na kusaga saga dunia na ndio mwisho" ILA haijasema ni lini.....
 
usijifanye hujui! mi namaanisha israel anachokifanya ni kizuri? Turning hundreds of childs into orphans, homeless and permarnent disables! Iko sawa hiyo?
Nilitaka useme wazi ulichokisema sasa.
Soma Maandiko yafuatayo aliyoyasema Yesu mwenyewe alipokuwa huko huko Israeli, kisha uniambie kama wanachokifanya Israeli ni sawa au la:
Mathayo 5:38-39
“Mmesikia kwamba ilinenwa: ‘Jicho kwa jicho, jino kwa jino.’ Lakini mimi nawaambieni, usimlipize kisasi mtu mbaya. Mtu akikupiga kofi shavu la kulia, mgeuzie pia la pili.
1 Yohana 3:15
"Yeyote amchukiaye ndugu yake ni muuaji, nanyi mwajua kwamba muuaji hana uzima wa milele ndani yake."
 
Nakupenda
"...kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia. Na dunia inapita, pamoja na tamaa zake, bali yeye afanyaye mapenzi ya Mungu adumu hata milele."
1 Yoh 2:16-17
 
Kama huna habari, wanasayansi wamekuwa wakichunguza mwenendo wa ulimwengu (universe), na matokeo ya tafiti zao yamefichua jambo la kushangaza: ulimwengu hauko tuli, bali unapanuka kwa kasi kubwa sana.

Kupitia uchunguzi wa kina wa anga (astronomy), wamegundua kuwa kuna nguvu ya ajabu inayoitwa dark energy, ambayo ndiyo inachochea upanuzi huu wa ulimwengu. Nguvu hii inaonekana kuwa kubwa kuliko nguvu ya uvutano (gravity), na inaendelea kusukuma galaksi mbali mbali ziachane kwa kasi inayoongezeka kila siku.

Wanasayansi wametoa nadharia kadhaa kuhusu mwisho wa ulimwengu, mojawapo ni ile inayojulikana kama Big Rip. Nadharia hii inaeleza kuwa, kama hii nguvu ya upanuzi itaendelea kuongezeka, itafika mahali ambapo itashinda nguvu zote zinazoshikilia vitu pamoja, kuanzia galaksi, nyota, sayari, hadi atoms zenyewe. Hatimaye, kila kitu kitavunjika na kusambaratika kabisa.

Ajabu ni kwamba, nadharia hizo zinashabihiana sana na yale yaliyoandikwa katika Biblia Takatifu miaka mingi iliyopita. Maandiko yanatueleza kwamba siku ya mwisho inakuja. Siku hiyo mbingu zitateketezwa kwa moto na kutoweka, na viumbe vya asili vitayeyushwa.

Hivyo ni dhahiri mwisho wa ulimwengu unakuja, na utakuwa wa kutisha na wa ghafla.

Yesu Kristo alipokuwa duniani, kabla hajapaa mbinguni, alieleza dalili zitakazotangulia kurudi kwake na za mwisho wa dunia. Dalili hizo ni pamoja na kuongezeka kwa vita na machafuko, matetemeko ya ardhi sehemu mbalimbali, magonjwa hatari na yasiyo ya kawaida, kuongezeka kwa uovu na maasi, upendo wa watu wengi kupoa, watu kupenda fedha kuliko Mungu, kuibuka kwa manabii wa uongo nk.

Tukiangalia dunia ya leo, dalili hizo zinaonekana wazi mbele ya macho yetu. Hata mambo ya kusikitisha yanayoendelea huko Mashariki ya Kati, yalitabiriwa zamani kwamba yatatokea.

Inawezekana kabisa kwamba Mungu, kwa huruma zake, ameruhusu sayansi ithibitishe kwa njia hiyo kwamba mwisho upo ili hata wale wasiopenda kusikia Neno lake waujue ukweli huo.

Ndugu zangu, huu sio wakati wa kubeza wala kupuuza. Ufalme wa mbinguni umekaribia. Huu ni wakati wa kutubu dhambi, kumrudia Mungu kwa moyo wa dhati, kumwamini Yesu Kristo na kumpokea kwa imani mioyoni mwetu awe Bwana na Mwokozi wetu.

Tukifanya hivyo, siku ya mwisho itakapofika, hatutakuwa miongoni mwao watakaolia na kusaga meno, bali tutanyakuliwa hadi mbinguni na kupokea uzima wa milele.

Sources:
  • BBC – Theories about the end of the universe (Big Rip, Big Freeze, Big Crunch)
  • NASA – Research on expanding universe and dark energy
  • Biblia Takatifu – 2 Petro 3:12; Mathayo 24
View attachment 3561406
Mwisho wa Dunia ni wewe utakapokufa. Miaka 2,000 iliyopita hata kina Petro walisali Kwa bidii wakiamini mwisho wa Dunia umekaribia lakini walikufa wakapita mpaka Leo Dunia ipo inatamba.

Haya yote yanayofanyika duniani ni marudio tuu, hakuna jipya chini ya jua, mfano; ishu za vita walianza kupigana Toka kitambo, ishu ya ushoga pia ilianza Toka enzi za Sodoma na Gomora na mengineo mengi
 
Hiyo assumption itatokea baada ya miaka

BILIONI 4 IJAYO.

USITUCHOSHE.

siku na saa anajua Mungu pekee.
 
Ndugu yangu, inaonekana Biblia hujaisoma yote na kuielewa. Mtu akifa huo sio mwisho wake. Hujasoma habari ya Tajiri na Lazaro? (Luka 16:19-31).

Katika Ebr 9:27-28 tunaambiwa pia kuna hukumu. Watu wote waliokufa siku inakuja watafufuliwa na kusimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu.

Halafu usisahau. Aliyesema kwamba mwanadamu atakufa ni Mungu. Na aliyesema kuna mwisho wa dunia ni Mungu.

Kwako wewe unaona miaka 2000 ni mingi sana. Maandiko yanatuambia kwa Mungu miaka 1000 ni kama siku moja tu. Kwa maneno mengine, kwa hesabu za ki-Mungu, tangu Yesu aondoke duniani zimepita kama siku mbili tu. Hivyo usifikiri Yesu amekawia kuja.

Halafu unaposema hakuna jipya duniani, nadhani hujatafakari vizuri. Unabii wa Danieli unasema siku za mwisho watu wataenda mbio huku na huko na maarifa yataongezeka. Wakati wa Petro watu walienda mbio? Ndege zilikuwepo? Vipi kuhusu maarifa ya AI, yalikuwepo wakati wa kina Petro?

Nina mengi ya kukuambia lakini muda haunitoshi.
 
Wee ni mwanamke??? Kama mwanamke njoo pm mama lake
 
Biblia inasema mtu akishakufa amekufa anasubiri mpaka siku MUNGU atakapofufua na kutoa hukumu.

Afu hiyo hiyo biblia inasema tajiri na Lazaro walipokufa walikutana huko, huko wapi??????

Tuelewe kipi ni kipi Sasa.
 
Hiyo assumption itatokea baada ya miaka

BILIONI 4 IJAYO.

USITUCHOSHE.

siku na saa anajua Mungu pekee.
Ko watu waendeleee kula Bata sio. Mpaka hiyo miaka billion 4 ifike ni Leo kweli?????

Asa hapo mpaka aje afufue na watu walokufaga na kuwapa hukumu siutakuta walishaga sahau kama waliwahi kuishi duniani, Kila hukumu watakayopewa watabaki wanashangaa tuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom