buzitata
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 2,370
- 7,900
Ni kweli ulimwengu unatanuka kwa kasi sana hiyo inaitwa dark energy lakini kutanuka huko hakutaweza kufanya ulimwengu upoteane kwasababu kuna nguvu nyingine inayozishikilia galaxy zisiweze kupoteana kwa sababu imebainika galaxy nazo zipo kwenye mwendo mkali sana(ni mwendo mkali usioelezeaka) lakini hauwezi kuparaganyika kwasababu ya uwepo wa nguvu ya kushikilia inayoitwa dark matter
Ulimwengu na vyote 5%
Dark matter 27%
Dark energy 68%
Hapo utaona vitu vyote kama solid,liqud na ges(including mm na wewe na vyote vilivyomo kwenye galaxy zote zaidi ya mabilioni) vyote ni kama punje tu kwenye ulimwengu hivyo haviwezi kuizid dark matter