Wanaovua viatu misikitini ni masikini

Wanaovua viatu misikitini ni masikini

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,250
Reaction score
26,640
Trump akitembelea msikiti mkubwa wa Sheikh Zaidi huko Abu Dhabi.

Wanauliza mbona huyu kafiri hajavua viatu? Nani alikuambia tajiri anavua viatu? Maskini ndio anaitwa kafiri na sio rahisi kumwingiza msikitini na viatu. Kumbuka hata Papa anazama (ga) msikiti na shoes zake bila wasiwasi.

🤣🤣🤣🤣
 
Attachments

  • IMG-20250511-WA0089.jpg
    IMG-20250511-WA0089.jpg
    61.2 KB · Views: 13
Kweli kabisa kama ilivyo upande wa pili wanasema ikiwa hulipi kodi ya jumuiya ndogondogo, kodi ya kanisa au ukiwa huhudhurii huko basi ukifa hawakuziki.
Lakini sasa ukiwa tajiri hata kama hufanyi lolote kati ya hayo, ukifa wanajipendekeza kukufanyia ibada kadri familia itakavyotaka 😄😄

Hizi dini tulipigwa nawaambia
 
Nani kasema? Fanya utafiti vyema.
 
Trump akitembelea msikiti mkubwa wa Sheikh Zaidi huko Abu Dhabi.

Wanauliza mbona huyu kafiri hajavua viatu? Nani alikuambia tajiri anavua viatu? Maskini ndio anaitwa kafiri na sio rahisi kumwingiza msikitini na viatu. Kumbuka hata Papa anazama (ga) msikiti na shoes zake bila wasiwasi.

View attachment 3334936
Trump atavuaje viatu wakati ni bosi na mshitiri wa wenye misikiti yote duniani? Waarabu wanaujua na kuutimiza Uislam wakiongozwa na Trump. Angekuwa kengeee toka kwetu, angevua hata suti na kuvishwa kanzu. Bravo chizi wangu Trump.
 
Mkuu lakini wew I'd yako ni hamisi.
 
Mimi nimeishi mita chache kutoka msikiti huu, kwa zaidi ya miaka 25 tangu unajengwa huu msikiti ni mkubwa wa kifahari ila umejengwa sababu ya watalii na imetengwa sehemu kwa ajili ya kusali hapo mtu yoyote hata mtalii haingii na viatu au bila viatu ila sehemu kubwa ni la utalii jaribuni kusoma na kuelewa sio kuja kupiga kelele na magovi yenu
 
Back
Top Bottom