Wanaovaa nguo za nje kuzomewa

Wanaovaa nguo za nje kuzomewa

Mbona waliokua wanazomea wavaa nguo za kijani kipindi cha kampeni walikua wanakamatwa?
 
Basi pia watakaovaa viatu vya nje, watakaoendesha magari ya nje, watakaotumia simu za nje, watakao tumia TV za nje n.k nao wazomewe ili kuweka usawa na haki...
 
wacha tuone anakuja na mikakati gani
 
huyu mwijage ni kichaa ama screws zake zimelegea
ana wazimu , mitumba hata marekani wanavaa, sagula sagula hata London ipo, manahtaan ipo. viwanda wameua, atwambie MUTEX, SUNGURATEX, MWATEX, N.K viko wapi? watu wengine bwana ni kupenda misifa alikuwa 🙁kitwangalize?
na umasikini huu tutaweza nguo za viwandani kweli?
 
Waziri wa Viwanda na Biashara Ndugu Charles Mwijage amesema kwamba kuanzia mwakani watu wote wanaovaa nguo za nje watazomewa ili kulinda viwanda vya nguo vya ndani



Viwanda vyenyewe viko wapi!??
 
Kwa kiwanda gani kwenye hii nchi ya bulicheka kinifanye nisirithi nguo za Muhammad Allii.
 
Nchi ya mataahira hii. Viwanda gani anazungumzia huyu? Yaani wote tuvae kanga? Bure kabisa! Basi kama ni hivyo amwambie mkewe aache kuvaa hayo mawigi ya nywele za marehemu wa ulaya!! Tutaanza kumzomea mkewe!!
 
mawaziri hawajapewa instrument matokeo yake ndiyo haya.
masinema yanaendelea.
 
leo wanaongea na wachina kupata viwanda na hakuna mwekezaji atakubali hasara so tujiandae kwa bei pia



Duh haya kuzaliwa nchi yenye wajinga wengi ni hasara kubwa sana

Badala ya kuanza kwenye miundo mbinu na afya na elimu ndo vije viwanda we unaanza na viwanda

Let's wait and see
 
Nchi hii aliyetuloga sijui nani yaahani watengeneze nguo ambazo hazina kwality then wategemee nizinunue wanaumwa
 
Waziri wa Viwanda na Biashara Ndugu Charles Mwijage amesema kwamba kuanzia mwakani watu wote wanaovaa nguo za nje watazomewa ili kulinda viwanda vya nguo vya ndani
Hamna shida tutavaa za ndani yaani chupi bikini vest na nyingine zinazo husiana na ndani na kutembea hivyo hivyo ili tusizomewe.
 
Back
Top Bottom