watu wana hasira na pamba acha tuMimi nitoe tu ushauri juu ya hili, kwanza waboreshe kilimo cha pamba na solo Liwe linajulikana haswa, mkulima apewe ruzuku katika hili, au awezeshwe kwa riba nafuu na Benki ya kilimo, wakulima waanze kutambua sasa lipi ni zao LA biashara na lipi LA chakula,
Kiwanda gani mpaka sasa ambacho kipo tayari kwa udhalishaji?Tunalinda viwanda vya ndani
Kuongea na kujenga viwanda ni vitu viwili tofauti, eneo gani kiwanda kimejengwa? Je power tunayo ya kutosha?leo mh rais anaongea na wawekezaji wa kichina
ndio mwisho wa creativity ya CCMWaziri wa Viwanda na Biashara Ndugu Charles Mwijage amesema kwamba kuanzia mwakani watu wote wanaovaa nguo za nje watazomewa ili kulinda viwanda vya nguo vya ndani
Waziri wa Viwanda na Biashara Ndugu Charles Mwijage amesema kwamba kuanzia mwakani watu wote wanaovaa nguo za nje watazomewa ili kulinda viwanda vya nguo vya ndani
Tutaanza kuwazomea waoWaziri wa Viwanda na Biashara Ndugu Charles Mwijage amesema kwamba kuanzia mwakani watu wote wanaovaa nguo za nje watazomewa ili kulinda viwanda vya nguo vya ndani