Nguo za kutoka china ndio zimezagaa, kwa kuwa wachina wanaamisha viwanda vyao hapa hakuna atakae zomewa make tayari zitakua zinatengenezwa hapahapa.Waziri wa Viwanda na Biashara Ndugu Charles Mwijage amesema kwamba kuanzia mwakani watu wote wanaovaa nguo za nje watazomewa ili kulinda viwanda vya nguo vya ndani
Aanze kujizomea !!Waziri wa Viwanda na Biashara Ndugu Charles Mwijage amesema kwamba kuanzia mwakani watu wote wanaovaa nguo za nje watazomewa ili kulinda viwanda vya nguo vya ndani
kakurupuka huyu, wakizomewa na kijani yao wanawashtaki, yaani hii nchi bana, hawa watawala kwa kujiona wako juu ya sheria, unazomea nakukata kidafuWaziri wa Viwanda na Biashara Ndugu Charles Mwijage amesema kwamba kuanzia mwakani watu wote wanaovaa nguo za nje watazomewa ili kulinda viwanda vya nguo vya ndani
Chanzo?Waziri wa Viwanda na Biashara Ndugu Charles Mwijage amesema kwamba kuanzia mwakani watu wote wanaovaa nguo za nje watazomewa ili kulinda viwanda vya nguo vya ndani
Waziri wa Viwanda na Biashara Ndugu Charles Mwijage amesema kwamba kuanzia mwakani watu wote wanaovaa nguo za nje watazomewa ili kulinda viwanda vya nguo vya ndani
Waziri wa Viwanda na Biashara Ndugu Charles Mwijage amesema kwamba kuanzia mwakani watu wote wanaovaa nguo za nje watazomewa ili kulinda viwanda vya nguo vya ndani
sivuti picha hilo shati la kaniki litakavyokuwa ukijumlisha na jeans ya KTM chini unamalizia mpira wa BORA mpaka raha.AFADHALI RABA MTONI .....KANIKI
Kwanini hujaweka habari kamili?Waziri wa Viwanda na Biashara Ndugu Charles Mwijage amesema kwamba kuanzia mwakani watu wote wanaovaa nguo za nje watazomewa ili kulinda viwanda vya nguo vya ndani
ndio system ya nchi hiyo ndugu. Raisi anasema chomoeni tairi muuze waziri anasema watu wazomewe, safi sana.Ni wazi semina elekezi inahitajika sana kwa mawaziri pindi tu wanapoteuliwa na Raisi..Cjui wanakula maharage ya wapi hawa!!?