mkuu naweza kusema [contnental] ni kingamuzi bora kabisa.maana mimi nimenunua vingamuzi karibu vyote ila ikicha [contnental] ni kiboko.ubora wa picha ni ngavu sana sauti ni bora sana uzuri zaidi ni kwenye kurecord kwaliti yake ni nzuri mno mno.mfano unaweza ukatega ijirecord na kujizima yenyewe kwa mfano saa 5 sinta kuwepo nitakachofanya ni kukiprogram.ifikapo saa 5 kianze kurecord na ikifika mwisho kijistop kurecord.yaani niraha sana.ila vipo vya aina 2 tofauti kuna cha zamani na cha sasa.cha zamani ndio chenye haya mambo kwaiyo uendapo kukinunua waambie nipeni kingamuzi toleo la kwanza.