Wanaotumia DIGITEK na CONTINENTAL tuambie!

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
2,424
Reaction score
1,133
Hi hili jukwaa!

kwa wale waliojitosa kununua ving'amuzi vya digitek na continental tuambie sie tunaotumia dish na king'amuzi cha startimes!

Vp kuhusu huduma yao, ipo bora ama bora king'amuzi!

ahsanteni sana!
 
Huduma Ya Continental Ni Bora Xana Kwa Hapa Mwanza Sijui Mikoan
 
Huduma Ya Continental Kwa Hapa Mwanza Ni Bora Sifaham Mikoan
 
Kwa Dar Continental haina matatizo ya kugandaganda na kukatika ovyo ovyo. Ubovu wao nauona kwenye kupunguza channel kutoka 11 hadi 6, channel zote za nje walizitoa. Kulikuwa na channel kv, CITZEN, BBC NEWS, DW, FRANCE, VOA, AL JAZEERA NEWS, HOPE, EMMANUEL TV, kulikuwa na nyingine inaitwa SWAHILI TV hii sijui ni ya hapa hapa TZ au ya nje.
 
Hi hili jukwaa!

kwa wale waliojitosa kununua ving'amuzi vya digitek na continental tuambie sie tunaotumia dish na king'amuzi cha startimes!

Vp kuhusu huduma yao, ipo bora ama bora king'amuzi!

ahsanteni sana!

kwa Arusha, hakuna scratches tangu walipofanya yale marekebisho. Channel zinaonekana takriban 14. chanel ambazo hazijarudi ni pamoja na BBC na DW TV, na kuna baadhi kama tatu hivi hazina sauti.

King'amuzi ni HD, kina output ya HDMI (HD), YPbPr (Analog HD) na AV. Pia kina USB port. Na kuna vingine vyenye uwezo wa kurekodi ila cha kwangu hakina
 
Kwa Dar Continental haina matatizo ya kugandaganda na kukatika ovyo ovyo. Ubovu wao nauona kwenye kupunguza channel kutoka 11 hadi 6, channel zote za nje walizitoa. Kulikuwa na channel kv, CITZEN, BBC NEWS, DW, FRANCE, VOA, AL JAZEERA NEWS, HOPE, EMMANUEL TV, ukulikuwa na nyingine inaitwa SWAHILI TV hii sijui ni ya hapa hapa TZ au ya nje.

Kwa arusha channels ziko 20. Search utazipata hizo zote mkuu zipo wamezirudisha
 
msaada kuna channel ukiweka kinakuandikia insert smartcard wakati sehemu ya hyo kadi wala hakuna ,
 
Badilisha channel kwa kutumia button ya EPG haitaonesha insert card. Subiria hadi chanel ianze kuonesha ndio ubonyeze OK
 
Kwa Dar Continental haina
matatizo ya kugandaganda na kukatika ovyo ovyo. Ubovu wao nauona kwenye
kupunguza channel kutoka 11 hadi 6, channel zote za nje walizitoa.
Kulikuwa na channel kv, CITZEN, BBC NEWS, DW, FRANCE, VOA, AL JAZEERA
NEWS, HOPE, EMMANUEL TV, kulikuwa na nyingine inaitwa SWAHILI TV hii
sijui ni ya hapa hapa TZ au ya nje.

Channels zote hizo wanaziweka ktk satellite ya Amos 5 @17degrees East,frequency 10972V30000 na zimeshaanza kuwa hewani.
 
Hawa Continental walianza vizuri lakini baadaye wakawa wabovu, mara network sio stable, wakaanza kuonesha channel moja tu, wakaja wakarudisha local channels tu ila kwasasa naona wamerudi vizuri na wameleta channel zao mpya za star bunge na star music. Pia wamerudisha na channels nyingine mpaka wamefikia 20 channels na wapo mbioni kuleta channel yao mpya ya Movie hivyo kama lile tatizo la kwanza lilikua ni maboresho basi wameimarika maana nao wapo na ktk sattelite ya Amos 5.
 
vinapatikanaje kwa mwanza na gharama zao kwa mwezi zikoje?
 
Am back my men!
Kwa pamoja tulisongeshe taifa letu liende mbele zaidi!
Ya nyuma sio ndwele tugange yajayo!

Thanks guys!
 
Nilikuwa Dodoma pale viwanja vya 8 8 Nzuguni mwezi uliopita na bei zao za promo zilikuwa 85,000 ila kwa sasa wamepandisha mpaka 95,000 na kuna decoder nyingine zile zenye uwezo wa kurekodi wanauza laki na buku 5.
Kuna namba nilipewa kwa wale wanaohitaji +255767199965 huyo dada atakusaidia kuvipata popote ulipo
 
hivyo vyakurekodi havina ishu...
1. kwanza sio kila channel unaweza kurekodi.. ni baadhi ya channel tu zinazokubali.
2. inarekodi kipande kidogo sana kama dakika 4 tu. hata kama umeweka flash yenye free space kibao
 
Nilikuwa Dodoma pale viwanja vya 8 8 Nzuguni mwezi uliopita na bei zao za promo zilikuwa 85,000 ila kwa sasa wamepandisha mpaka 95,000 na kuna decoder nyingine zile zenye uwezo wa kurekodi wanauza laki na buku 5.
Kuna namba nilipewa kwa wale wanaohitaji +255767199965 huyo dada atakusaidia kuvipata popote ulipo

mkuu naweza kusema [contnental] ni kingamuzi bora kabisa.maana mimi nimenunua vingamuzi karibu vyote ila ikicha [contnental] ni kiboko.ubora wa picha ni ngavu sana sauti ni bora sana uzuri zaidi ni kwenye kurecord kwaliti yake ni nzuri mno mno.mfano unaweza ukatega ijirecord na kujizima yenyewe kwa mfano saa 5 sinta kuwepo nitakachofanya ni kukiprogram.ifikapo saa 5 kianze kurecord na ikifika mwisho kijistop kurecord.yaani niraha sana.ila vipo vya aina 2 tofauti kuna cha zamani na cha sasa.cha zamani ndio chenye haya mambo kwaiyo uendapo kukinunua waambie nipeni kingamuzi toleo la kwanza.
 
Nashukuru kujua hilo. We unaweza kuwa na msaada zaidi.
Natafuta king'amuzi kwa ajili ya ndugu yangu anataka kwa ajili ya watoto wake. Ukiacha Continental na DSTV, ni kipi ambacho kinaweza kuwa msaada kwa ajili ya mahitaji ya watoto wake kwa maana ya programu bora za watoto pamoja na cartoon ?
 
Back
Top Bottom