Wanaoshinda kwenye computer/laptop na wanapata pesa huwa wanafanya kazi gani huko?

Hawahitaji kuwa na degree za ICT, hayo mambo hayahusiani na ict, ni kujua kutumia pc tu kawaida.

blogger anapost habari, videos, miziki, n.k. kama tunavyofanya humu jf ila yeye anakuwa na blog yake analipwa na google kwa kuwaruhusu waonyeshe matangazo kwenye blog yake ili wanaotembelea blog wayaone,

huyo crypto currency ananunua mfano bircoins nyingi kwa bei rahisi anauza kwa mafungu madogo madogo kwa bei ya juu

Wengine wanafanya youtube ni kama blog wanalipwa na google kwa kuwaruhusu waonyeshe matangazo kwenye video zao ili wanaotazama video wayaone, mfani mwezi mzima watu milioni 1 wakicheki video za mwenye channel, analipwa taktibani milioni 1 (inaweza kuzidi au kupungua kulingana na natangazo yanayoonekana na nchi wanazotokea watazamaji )
Ngoja niingie darasani nikomae na hiyo crypto currency
 
Nina washikaji zangu ambao sipo karibu nao saana kiasi Cha kwamba hawawezi kuniambia mishe zao, mmoja tulisoma name o-level alifeli form two akaacha shule, yeye kapanga nyumba nzima hapo buhongwa-Mwanza, Kazi yake aieleweki anashinda ndani kwenye computer kuanzia asubuhi mpaka jionii, labda jioni ndio anatoka kwenda kujipumzisha, nikajaribu kumchombeza nimuulize aniambie labda anamchongo gani? Nikamuuliza kuhusu freelencer, sijui Upwork vyote hivyo havijui ila alichonambia TU ni kwamba anauza coin/Bitcoin Kuna site anaenda kununua kwa bei rahisi then na yeye anaziuza kwa Bei ya juu, ni kama wakala tu, sijui ndio mambo ya cryptocurrency kidogo nikaanza kumuelewa, lakini Sasa maendeleo yake ni ya kutisha amenunua gari x-trail kanunua kiwanja million 12 mpaka nimeshangaa wakuu.

Mwingine yupo naye elimu yake ya form four tu lakini alinambia ana blog /website ya mziki lakini anaingiza pesa kubwa sana anajenga.

Nimeshindwa kuelewa kitu kimoja, wote hao hawana background yoyote ya mambo ya ICT, Lakini inaonekana wanachokifanya kinawalipa.

Je unahisi wanafanya kazi gani? Ili nasisi tujiongeze huko tupate hata laki mbili kwa mwezi. Najua JF Ni kisima Cha maarifa hatuwezi kubaniana nondo kama hizi.
Nigeria wanawaita yahoo boys, kazi yao ni kutapeli vizee vya kizungu.
 
Ngoja niingie darasani nikomae na hiyo crypto currency
Kumbuka pia kuna hasara sio rahisi kama unavyofikiria, haya mambo yanahitaji uzoefu kama ilivyo kwa biashara,

unaweza kununua crypto currency lakini ukiingia sokoni kuziuza unakuta thamani imeshuka inabidi uuze kwa hasara, unakutana na ushindani mkubwa wapo wanaouza bei chee, n.k.

cha muhimu upate wa kukushika mkono ambae anafanya hizo shughuli awe anakutafunia, huko google unaweza pata elimu lakini kiuhalisia kuna vitu vya ziada huwezi vikuta kirahisi rahisi.
 
Screenshot_20240402-184415.png

Ukikizi vigezo, wanatoa na mikopo pia, Ingawa riba zao zipo juu kidogo..
 
Nina washikaji zangu ambao sipo karibu nao saana kiasi Cha kwamba hawawezi kuniambia mishe zao, mmoja tulisoma name o-level alifeli form two akaacha shule, yeye kapanga nyumba nzima hapo buhongwa-Mwanza, Kazi yake aieleweki anashinda ndani kwenye computer kuanzia asubuhi mpaka jionii, labda jioni ndio anatoka kwenda kujipumzisha, nikajaribu kumchombeza nimuulize aniambie labda anamchongo gani?

Nikamuuliza kuhusu freelencer, sijui Upwork vyote hivyo havijui ila alichonambia TU ni kwamba anauza coin/Bitcoin Kuna site anaenda kununua kwa bei rahisi then na yeye anaziuza kwa Bei ya juu, ni kama wakala tu, sijui ndio mambo ya cryptocurrency kidogo nikaanza kumuelewa, lakini Sasa maendeleo yake ni ya kutisha amenunua gari x-trail kanunua kiwanja million 12 mpaka nimeshangaa wakuu.

Mwingine yupo naye elimu yake ya form four tu lakini alinambia ana blog /website ya mziki lakini anaingiza pesa kubwa sana anajenga.

Nimeshindwa kuelewa kitu kimoja, wote hao hawana background yoyote ya mambo ya ICT, Lakini inaonekana wanachokifanya kinawalipa.

Je unahisi wanafanya kazi gani? Ili nasisi tujiongeze huko tupate hata laki mbili kwa mwezi. Najua JF Ni kisima Cha maarifa hatuwezi kubaniana nondo kama hizi.
Kuna pesa za UNICEF kwani wewe bado hujapata?
 
Ngoja waje watupe majibu
 
Back
Top Bottom