Wanaosema viongozi wa dini wavue majoho ni malaya!

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
Imesemwa na padre anayeingoza misa ya mazishi ya Denis Shirima muda mfupi uliopita huko Rombo Moshi.
 
Source ni Alberto Msando akiwa kwenye viwanja vya maziko Rombo
 
Hiyo ni kweli kabisa,
Aliyesema hivyo ni pashkuna Meli Kitanda, jina lake tu linaonesha yeye ni kitanda kwa hiyo ni mtu wa kufirigiswa firigiswa. Ana kaugonjwa ka kutamani wanaume wa aina fulani, au wanaovaa mavazi ya aina fulani, na hali hii humtokea kwa nyakati tofauti tofauti mfano leo anaweza akampenda mwanaume mchafu, kesho akampenda nadhifu, keshokutwa akampenda mrefu, n.k. Hivyo kwa siku aliyotamka maneno hayo alitamani kufirigiswa na mwanaume anayevaa kama askof so alitamani maaskof wavue majoho wabaki watupu kwa ajili ya kumshulika. Hana aibu huyu pashkuna raia wa sudan kaskazini.
 
Duh!
 
DUH!!!!
vere vere!!!
 
Huyo kiongozi aliesema hivyo atakuwa hana adabu na inafaa kuepukwa ,hivi ni katika maandiko au aya gani ameona kauli hiyo,kwa maneno hayo kama ameyasema huyo Padre basi ni bora huyo aliesema ya kuvua majoho.Maana Slaa amevua joho la upadre na sasa yupo kwenye ulingo ,nyie wengine acheni kufurahikia mambo yachunguzeni kwanza, nionavyo ni kweli kabisa kuwa wanaotaka kuingia siasa wavue majoho vyenginevyo watatukufurisha.
 
Nilichobaini ni kwamba kuna muda unafika baadhi ya wana JF wanapandwa na jazba na kukosa Hekima, mfano hawa viongozi wa dini zetu (walio wengi) wamesahau hata mission statement za madhehebu/Dini zao, wakafikia ya kutoa matamko ya kisiasa. Kukemea maovu sawa, lakini kanisa linaposema halimtambui Meya, so what?????????????????? Hapo ndo huwa sielewi kabisa.
 
This dude is back to normal.....pumbalization at the best!
 
Nilichobaini ni kwamba kuna muda unafika baadhi ya wana JF wanapandwa na jazba na kukosa Hekima, mfano hawa viongozi wa dini zetu (walio wengi) wamesahau hata mission statement za madhehebu/Dini zao, wakafikia ya kutoa matamko ya kisiasa. Kukemea maovu sawa, lakini kanisa linaposema halimtambui Meya, so what?????????????????? Hapo ndo huwa sielewi kabisa.

utaelewa tu we subiri!
 
Huyo kiongozi aliesema hivyo atakuwa hana adabu na inafaa kuepukwa ,hivi ni katika maandiko au aya gani ameona kauli hiyo,kwa maneno hayo kama ameyasema huyo Padre basi ni bora huyo aliesema ya kuvua majoho.Maana Slaa amevua joho la upadre na sasa yupo kwenye ulingo ,nyie wengine acheni kufurahikia mambo yachunguzeni kwanza, nionavyo ni kweli kabisa kuwa wanaotaka kuingia siasa wavue majoho vyenginevyo watatukufurisha.

malaya walikuako toka enzi.mfano ni maria magdalena ingawa baadae alisadiki na kuwa mtu wa kwanza kumuona yesu baada ya kufufuka.
 
Hiyo ni kweli kabisa,
Aliyesema hivyo ni pashkuna Meli Kitanda, jina lake tu linaonesha yeye ni kitanda kwa hiyo ni mtu wa kufirigiswa firigiswa. Ana kaugonjwa ka kutamani wanaume wa aina fulani, au wanaovaa mavazi ya aina fulani, na hali hii humtokea kwa nyakati tofauti tofauti mfano leo anaweza akampenda mwanaume mchafu, kesho akampenda nadhifu, keshokutwa akampenda mrefu, n.k. Hivyo kwa siku aliyotamka maneno hayo alitamani kufirigiswa na mwanaume anayevaa kama askof so alitamani maaskof wavue majoho wabaki watupu kwa ajili ya kumshulika. Hana aibu huyu pashkuna raia wa sudan kaskazini.

Dah!! Vere Vere
 
Nilichobaini ni kwamba kuna muda unafika baadhi ya wana JF wanapandwa na jazba na kukosa Hekima, mfano hawa viongozi wa dini zetu (walio wengi) wamesahau hata mission statement za madhehebu/Dini zao, wakafikia ya kutoa matamko ya kisiasa. Kukemea maovu sawa, lakini kanisa linaposema halimtambui Meya, so what?????????????????? Hapo ndo huwa sielewi kabisa.

Acha uzezeta wewe, unadhani haki ya watu inapodhulumiwa kwenye siasa watanyamaza? Wapo kwaajili ya Haki, iwe kanisani, Ikulu, majumbani.
 
Back
Top Bottom