tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,813
- 15,078
Kila la heri mkuuYaan shida sana,napambana bado kamanda
Kila la heri mkuuYaan shida sana,napambana bado kamanda
AminaKila la heri mkuu
Amekuwa mwalimu kwa sifa ya kuwa polisi...Amewazaje kuwa mwalimu kwa matokeo hayo?
Matokeo yake ya mwanzo ndio yatabaki, na hii ina maana hawezi bado kufikia ndoto yake!!!Habari za majukumu wakuu,
Leo nimeulizwa swali na mdogo wangu lakini sikuweza kumjibu. Mdogo wangu alimaliza kidato cha nne miaka ya nyuma na akapata ufaulu wa div 4 point 27. Alifanikiwa kuendelea kusoma ngazi ya cheti kwa fani ya ualimu na sasa ni mwalimu wa shule ya msingi huko mkoani Shinyanga.
Amekuwa akitamani sana kujiendeleza na ndipo akaamua kuanza kusoma tuition baada ya muda wa kazi kuisha. Kwakuwa tayari alishajisajili kufanya paper mwaka huu, j3 anaanza paper lake kama private candidate.
Swali lake ni kuwa, yeye anarudia baadhi ya masomo (matatu), je ikitokea kafeli zaidi ya mwanzo cheti chake kitabadilishwa na kuwekwa matokeo haya ambayo ni latest au kitabaki na matokeo ya zamani?
Natanguliza shukrani kwani naamini kupitia hili jukwaa nitapata cha kumjibu.
Huko unakokuita dip, bila ya kuwa na D nne, hawezi kupokelewa na iwapo anazo akaze msuli apate GPA ya walau 3.0!Aendelee dip huo muda anaotaka kupoteza ni pesa
Kwani unaona aibu ya nini ndugu kusema ni ww mbona unataka kumsingizia mwenzakoHabari wakuu, daah nilichelewa kutoa majibu kwa wadau waliokuwa wakiuliza sababu za ndugu yangu kureseat badala ya kuendelea dip.
Kwa yeye anadai kupata ruhusa ya kujiendeleza ni changamoto sana kwa halmashauri yao. Hivo anataka areseat akifaulu asome tuition baada ya kutoka job mpaka akihisi amekuwa tayari areseat tena form six ili aje asepe chuo kikuu
Ukiwa mhaya na ukadanganya ni fedheha! Hujui haya mambo, nyamaza. Kuna index numbers za S series na P series na katika mfumo wa NACTVET zinaunganishwa ili kupata ufaulu wa jumla. Inawezekana ukawa na F ya Physics ukasoma na kusit as a Private candidate ukaifaulu ukiunganisha masomo ya awali ukasoma CMT. Wapo wengi watu hao! Acha kuandika vitu toka kichwani ila andika uhalisia na kama Huna experience ya jambo, nyamazaNecta hawana utaratibu wa kuunganisha vyeti
Uki-resit utapewa cheti kingine hivyo utaendelea kuwa na vyeti viwili hata vitatu vya Form four so Ushauri Ni Kwamba
Kama ulipata four ni vizuri ukarudia masomo 7 Saba ambayo utapangiwa division
Ili angalau upate three au two au one na kile cheti chako Cha Mwanzo unaweza kukifungia kabatini na kukificha ..unaendelea kutumia cheti chako kimoja kinacho eleweka.
Ukiwa mhaya na ukadanganya ni fedheha! Hujui haya mambo, nyamaza. Kuna index numbers za S series na P series na katika mfumo wa NACTVET zinaunganishwa ili kupata ufaulu wa jumla. Inawezekana ukawa na F ya Physics ukasoma na kusit as a Private candidate ukaifaulu ukiunganisha masomo ya awali ukasoma CMT. Wapo wengi watu hao! Acha kuandika vitu toka kichwani ila andika uhalisia na kama Huna experience ya jambo, nyamaza
Una wazimu si bureUyo wa juu yupo sahihi wewe huukumuelewa tu acha kua na mihemko bhana
ukirisit matokeo hayabadilishwi chochote yanawekwa kama yalivyo ni wewe unachagua utumie matokeo ya mwaka gani maana na vyeti vinakua viwili au vitatu au vinne namba ndio zinakua tofaut na center ulizotumia kurisitHabari za majukumu wakuu,
Leo nimeulizwa swali na mdogo wangu lakini sikuweza kumjibu. Mdogo wangu alimaliza kidato cha nne miaka ya nyuma na akapata ufaulu wa div 4 point 27. Alifanikiwa kuendelea kusoma ngazi ya cheti kwa fani ya ualimu na sasa ni mwalimu wa shule ya msingi huko mkoani Shinyanga.
Amekuwa akitamani sana kujiendeleza na ndipo akaamua kuanza kusoma tuition baada ya muda wa kazi kuisha. Kwakuwa tayari alishajisajili kufanya paper mwaka huu, j3 anaanza paper lake kama private candidate.
Swali lake ni kuwa, yeye anarudia baadhi ya masomo (matatu), je ikitokea kafeli zaidi ya mwanzo cheti chake kitabadilishwa na kuwekwa matokeo haya ambayo ni latest au kitabaki na matokeo ya zamani?
Natanguliza shukrani kwani naamini kupitia hili jukwaa nitapata cha kumjibu.
kolola Soma hapa uelewe what I meant there on my commentukirisit matokeo hayabadilishwi chochote yanawekwa kama yalivyo ni wewe unachagua utumie matokeo ya mwaka gani maana na vyeti vinakua viwili au vitatu au vinne namba ndio zinakua tofaut na center ulizotumia kurisit
mfano sasa na four ya 27 akarisit matatu akala DDF anakua na vyeti viwili cha mwanzo kinabaki kama kilivyo cha pili kinakua na DDF ivyo atachagua yeye atumie cheti kipi
kwa ushauri achague kurisit masomo kuanzia 7 na na afanye mtihani kulingana na oale atakapooona yupo fiti ili matokeo yake yawe mazuri na awekewe division kabisa
Hujaelewa nimemaanisha NiniUkiwa mhaya na ukadanganya ni fedheha! Hujui haya mambo, nyamaza. Kuna index numbers za S series na P series na katika mfumo wa NACTVET zinaunganishwa ili kupata ufaulu wa jumla. Inawezekana ukawa na F ya Physics ukasoma na kusit as a Private candidate ukaifaulu ukiunganisha masomo ya awali ukasoma CMT. Wapo wengi watu hao! Acha kuandika vitu toka kichwani ila andika uhalisia na kama Huna experience ya jambo, nyamaza
Waalimu wa zamani ndo sifa zao hizoAmewazaje kuwa mwalimu kwa matokeo hayo?
Na tunaoresite six mnafanyaje mpaka mnafanikiwa...mi mara moja tu nilifeli na nimekata tamaa
Kiinglish hichokolola Soma hapa uelewe what I meant there on my comment