Wanaosafisha vyeti Re-Seaters

Soma hapo juu, acha ego isiyo na kichwa wala miguu
Hiyo sentence haina makosa pia hipo vizuri kisarufi Kama hujui kitu naomba uwe unakaa kimya
Mimi nimesoma Uganda sasa Mimi na wewe Nani yupo na uelewa mzuri wa lugha ya malkia!? Pathetic
 
Hiyo sentence haina makosa pia hipo vizuri kisarufi Kama hujui kitu naomba uwe unakaa kimya
Mimi nimesoma Uganda sasa Mimi na wewe Nani yupo na uelewa mzuri wa lugha ya malkia!? Pathetic
hiyo nyekundu haipaswi kuwa hapo
 
Mambo ya Afya
Ualimu

Haukutakiwa uwe kwa waliofeli, huko ndo wangepelekwa waliofaulu zaidi.

Waliofeli walitakiwa warudie Form 1

Serikali haikupaswa lea wajinga na ujinga
 
Back
Top Bottom