Wanaosafisha vyeti Re-Seaters

Ana Four ya 27? Nafkiri hapo atakua na Pass 4 Sasa ya nn kurisiti? Si angeendelea Diploma then Bachelor
 
Habari wakuu, daah nilichelewa kutoa majibu kwa wadau waliokuwa wakiuliza sababu za ndugu yangu kureseat badala ya kuendelea dip.

Kwa yeye anadai kupata ruhusa ya kujiendeleza ni changamoto sana kwa halmashauri yao. Hivo anataka areseat akifaulu asome tuition baada ya kutoka job mpaka akihisi amekuwa tayari areseat tena form six ili aje asepe chuo kikuu
 
Habari za majukumu wakuu,

Leo nimeulizwa swali na mdogo wangu lakini sikuweza kumjibu. Mdogo wangu alimaliza kidato cha nne miaka ya nyuma na akapata ufaulu wa div 4 point 27. Alifanikiwa kuendelea kusoma ngazi ya cheti kwa fani ya ualimu na sasa ni mwalimu wa shule ya msingi huko mkoani Shinyanga.

Amekuwa akitamani sana kujiendeleza na ndipo akaamua kuanza kusoma tuition baada ya muda wa kazi kuisha. Kwakuwa tayari alishajisajili kufanya paper mwaka huu, j3 anaanza paper lake kama private candidate.

Swali lake ni kuwa, yeye anarudia baadhi ya masomo (matatu), je ikitokea kafeli zaidi ya mwanzo cheti chake kitabadilishwa na kuwekwa matokeo haya ambayo ni latest au kitabaki na matokeo ya zamani?

Natanguliza shukrani kwani naamini kupitia hili jukwaa nitapata cha kumjibu.
Matokeo yake ya mwanzo ndio yatabaki, na hii ina maana hawezi bado kufikia ndoto yake!!!
 
Habari wakuu, daah nilichelewa kutoa majibu kwa wadau waliokuwa wakiuliza sababu za ndugu yangu kureseat badala ya kuendelea dip.

Kwa yeye anadai kupata ruhusa ya kujiendeleza ni changamoto sana kwa halmashauri yao. Hivo anataka areseat akifaulu asome tuition baada ya kutoka job mpaka akihisi amekuwa tayari areseat tena form six ili aje asepe chuo kikuu
Kwani unaona aibu ya nini ndugu kusema ni ww mbona unataka kumsingizia mwenzako
 
Kama unamaanisha kurudia mtihani kwa mara nyingine ili kufaulu au mtu anaerudia huo mtihani kwanini iwe reseat au reseater badala ya resit/resitter? Hayo maneno yametokana na seat na sit na yana maana mbili tofauti.
 
Necta hawana utaratibu wa kuunganisha vyeti

Uki-resit utapewa cheti kingine hivyo utaendelea kuwa na vyeti viwili hata vitatu vya Form four so Ushauri Ni Kwamba

Kama ulipata four ni vizuri ukarudia masomo 7 Saba ambayo utapangiwa division
Ili angalau upate three au two au one na kile cheti chako Cha Mwanzo unaweza kukifungia kabatini na kukificha ..unaendelea kutumia cheti chako kimoja kinacho eleweka.
 
Ukiwa mhaya na ukadanganya ni fedheha! Hujui haya mambo, nyamaza. Kuna index numbers za S series na P series na katika mfumo wa NACTVET zinaunganishwa ili kupata ufaulu wa jumla. Inawezekana ukawa na F ya Physics ukasoma na kusit as a Private candidate ukaifaulu ukiunganisha masomo ya awali ukasoma CMT. Wapo wengi watu hao! Acha kuandika vitu toka kichwani ila andika uhalisia na kama Huna experience ya jambo, nyamaza
 
Uyo wa juu yupo sahihi wewe huukumuelewa tu acha kua na mihemko bhana
 
Habari za majukumu wakuu,

Leo nimeulizwa swali na mdogo wangu lakini sikuweza kumjibu. Mdogo wangu alimaliza kidato cha nne miaka ya nyuma na akapata ufaulu wa div 4 point 27. Alifanikiwa kuendelea kusoma ngazi ya cheti kwa fani ya ualimu na sasa ni mwalimu wa shule ya msingi huko mkoani Shinyanga.

Amekuwa akitamani sana kujiendeleza na ndipo akaamua kuanza kusoma tuition baada ya muda wa kazi kuisha. Kwakuwa tayari alishajisajili kufanya paper mwaka huu, j3 anaanza paper lake kama private candidate.

Swali lake ni kuwa, yeye anarudia baadhi ya masomo (matatu), je ikitokea kafeli zaidi ya mwanzo cheti chake kitabadilishwa na kuwekwa matokeo haya ambayo ni latest au kitabaki na matokeo ya zamani?

Natanguliza shukrani kwani naamini kupitia hili jukwaa nitapata cha kumjibu.
ukirisit matokeo hayabadilishwi chochote yanawekwa kama yalivyo ni wewe unachagua utumie matokeo ya mwaka gani maana na vyeti vinakua viwili au vitatu au vinne namba ndio zinakua tofaut na center ulizotumia kurisit

mfano sasa na four ya 27 akarisit matatu akala DDF anakua na vyeti viwili cha mwanzo kinabaki kama kilivyo cha pili kinakua na DDF ivyo atachagua yeye atumie cheti kipi

kwa ushauri achague kurisit masomo kuanzia 7 na na afanye mtihani kulingana na oale atakapooona yupo fiti ili matokeo yake yawe mazuri na awekewe division kabisa
 
kolola Soma hapa uelewe what I meant there on my comment
 
Ukiwa mhaya na ukadanganya ni fedheha! Hujui haya mambo, nyamaza. Kuna index numbers za S series na P series na katika mfumo wa NACTVET zinaunganishwa ili kupata ufaulu wa jumla. Inawezekana ukawa na F ya Physics ukasoma na kusit as a Private candidate ukaifaulu ukiunganisha masomo ya awali ukasoma CMT. Wapo wengi watu hao! Acha kuandika vitu toka kichwani ila andika uhalisia na kama Huna experience ya jambo, nyamaza
Hujaelewa nimemaanisha Nini

Kuhusu ku-resit hatumshauri mtu kurudia masomi chini ya Saba endapo akifanya hivyo itamfanya kuwa na vyeti vingi vya form four vya kuunga unga ila interms of marks unaweza kutumia credit lets say mtihani uliopolita ulipata C mbili then uka resit ukapata C moja hivyo kwa kutumia matokeo yako ya form four ya miaka tofauti unaweza Kupata sifa za kusoma Advance

Sasa Argument yangu hipo hivi ka upo smart upstairs unaweza kurudia masomo Saba Ukapiga division one au two au three kuliko kuwa na vyeti viwili vyote vina division four !!!

Hope ur understand guy.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom