traveller_tz
Senior Member
- Mar 1, 2016
- 126
- 139
Kinachofata kupigwa ban ni internet then sim za mkononi. Watu muanze kununua stamp na bahasha muandike barua serikali ipate mapato
Makonda mwingine huyo, mungumtu wa TCRA. Sijui siku akiwa mahututi tutasubiri hadi apone...huu ni ushahidi kwamba nchi haina uongozi, kuna mchepuko tu.Bahati mbaya Mhandisi Kilaba alikuwa safari na swala hilo limepangwa kushughuliwa ataporejea wiki ijayo.
Lengo la huu utawala ni kuzuia watu wasizungumze nakupashana habari. Hii ndiyo kauli mbiu yao......inaenda sambamba na hapa kazi tu.
Lakini wewe Mwanakijiji si ulikuwa una-support sana hii serikali? Leo unaona ajabu wakifanya haya? Na wala hawataishia hapo wataendelea tu kubana uhuru wa habari.
Serikali ya CCM inatuingiza kizani mlaaniwe wote mliyoiingiza madarakani.
Naliona hilo mkuu tanzagiza in the makingKinachofata kupigwa ban ni internet then sim za mkononi. Watu muanze kununua stamp na bahasha muandike barua serikali ipate mapato
hujachelewa mkuu,naona angalau sasa akili yako imeanza kukaa sawa kuhusu utawala huu wa Jpm.