Wanaorusha Video YouTube, Facebook, Periscope n.k Wawe na Leseni Ati?

Kyle Zimbabwe ukikutwa unamtamka Raisi kwa habari ya kusikia sikia tu unafunguliwa mashtaka ya uchochezi
 
Lissu alisha sema ,wakitumaliza sisi watahamia kwenu.ndo haya sasaa.

Sioni ajabu kama waliweza kuzuia bunge mubashara hata kwa vituo binafsi na wenye akili mkapongeza hili ni dogo mno kwao.
 
Kuna taarifa zinasambaa kuwa TCRA imetaka kina Millard Ayo na Michuzi na bila ya shaka wengine ambao wanarusha video mbalimbali ambazo zinaonekana kama habari au produced kama habari wawe ne leseni za kutangaza.

Hivi ni genius gani huko ndani amekuja na wazo muflisi kama hili? Na wanaotumiana video wenyew kwa wenyewe au kuonekana "live" siyo kwambba watatakiwa wawe na leseni? au wanaotumia mitandao kurusha "live" training kutoka sehemu moja kwenda nyingine nao watatakiwa wawe na leseni?

Ni wakati gani mawasiliano yatachukuliwa kama yako kwenye "private" realm na siyo "public" realm? Je, watu wote walioko Tanzania wanaoposti vitu mbalimbali (ambavyo vinaweza kuangukia kwenye 'electronic communication') watahitaji kuanzia sasa kuwa na leseni? Hii ikiwemo ni wanamuziki, bloggers n.k?

Naunga mkono hoja, na sababu yangu sijui kama pia ni ya TCRA kwa maana siujui undani wake, lkn sababu yangu ni kwamba walipe kodi! Watu wa mitandao wanatengeneza faida hivyo ni sawa na Mfanyabiashara mwingine yoyote yule ambaye analipa kodi sasa kwa nini wao wasilipe? Hata google, facebook &Co. wana ishu na Serikali nyingi Duniani juu ya hili hasa kwenye kodi!
 
Hawataweza nipo rais wa future ya Tanzania msijali tupo pamoja!!
 
Unafiki mbaya sana na ndio umekuwa adui zetu watanzania.

Adui wa mtanzania ni mtanzania mwenyewe, kuna wakati mtu anajinafkia mpaka yeye mwenyewe personal.

Kipindi kile cha uchaguzi ulikuwa kiherere mandazi sana kwa kutetea upande wa bwana yule. Ila kwa sasa umegeuka na kutaka kurudi upande uliokwisha kunyea kambi.

Wakati mwingine muwe na aibu ata kidogo jamani.
 
Naunga mkono hoja, na sababu yangu sijui kama pia ni ya TCRA kwa maana siujui undani wake, lkn sababu yangu ni kwamba walipe kodi! Watu wa mitandao wanatengeneza faida hivyo ni sawa na Mfanyabiashara mwingine yoyote yule ambaye analipa kodi sasa kwa nini wao wasilipe? Hata google, facebook &Co. wana ishu na Serikali nyingi Duniani juu ya hili hasa kwenye kodi!
Waliokusomesha wamekula hasara ya milele.dahh!!
 
Kuna taarifa zinasambaa kuwa TCRA imetaka kina Millard Ayo na Michuzi na bila ya shaka wengine ambao wanarusha video mbalimbali ambazo zinaonekana kama habari au produced kama habari wawe ne leseni za kutangaza.

Hivi ni genius gani huko ndani amekuja na wazo muflisi kama hili? Na wanaotumiana video wenyew kwa wenyewe au kuonekana "live" siyo kwambba watatakiwa wawe na leseni? au wanaotumia mitandao kurusha "live" training kutoka sehemu moja kwenda nyingine nao watatakiwa wawe na leseni?

Ni wakati gani mawasiliano yatachukuliwa kama yako kwenye "private" realm na siyo "public" realm? Je, watu wote walioko Tanzania wanaoposti vitu mbalimbali (ambavyo vinaweza kuangukia kwenye 'electronic communication') watahitaji kuanzia sasa kuwa na leseni? Hii ikiwemo ni wanamuziki, bloggers n.k?

Huyu ndiye Mzee Mwanakijiji !Hata hajui anatetea nini. Si unyamaze upige box maana mtu uliyempigia debe kapita. Hata nusu ya uongozi wake hajafikia unalalamika. Kisa kagusa maslahi yako. Ila akimwadhibu Sumaye, Lowasa au Mbowe anakuwa powa. Tulia unyolewe mzee.
 
Kuna taarifa zinasambaa kuwa TCRA imetaka kina Millard Ayo na Michuzi na bila ya shaka wengine ambao wanarusha video mbalimbali ambazo zinaonekana kama habari au produced kama habari wawe ne leseni za kutangaza.

Hivi ni genius gani huko ndani amekuja na wazo muflisi kama hili? Na wanaotumiana video wenyew kwa wenyewe au kuonekana "live" siyo kwambba watatakiwa wawe na leseni? au wanaotumia mitandao kurusha "live" training kutoka sehemu moja kwenda nyingine nao watatakiwa wawe na leseni?

Ni wakati gani mawasiliano yatachukuliwa kama yako kwenye "private" realm na siyo "public" realm? Je, watu wote walioko Tanzania wanaoposti vitu mbalimbali (ambavyo vinaweza kuangukia kwenye 'electronic communication') watahitaji kuanzia sasa kuwa na leseni? Hii ikiwemo ni wanamuziki, bloggers n.k?

TCRA is the top-level disaster
 
operesheni zinduka ndiyo hii .... combustion chamber .... backfired .... blue litmus red .... Isaac Newton third law of motion ..... no success without sangoma
 
Naunga mkono hoja, na sababu yangu sijui kama pia ni ya TCRA kwa maana siujui undani wake, lkn sababu yangu ni kwamba walipe kodi! Watu wa mitandao wanatengeneza faida hivyo ni sawa na Mfanyabiashara mwingine yoyote yule ambaye analipa kodi sasa kwa nini wao wasilipe? Hata google, facebook &Co. wana ishu na Serikali nyingi Duniani juu ya hili hasa kwenye kodi!
Karbu tens!
 
Vitu hivi vimekuwepo kwa zaidi ya miaka 30 sasa. Nani atueleza, kuna madhara gani yametokea kiasi cha kuwekewa sheria!

Jamani, Waafrika tuna matatizo sana. Nchi hii ni masikini, tulidhani wangelekeza nguvu kushughulikia matatizo badala yake wanahangaika na vitu visivyo na maana na aibu tupu.

Ndiyo yale ya kutumia mamilioni kuzuia UKUTA wakati hakuna pesa za Tetemeko!

Leo wizara zipo UDOM, hakuna anayefikiria hapo watu wapo bize kabisa wakifikiria namna ya kusajili video za harusi na kitchen party! Yaani kuna aibu zingine sijui tuite nini

Kuna eneo sasa hivi mtu anateseka kwa huduma za afya, hatufikirii huko kabisa tunahangaika na video za akina Diamond zisajiliwe

Tuna tatizo kubwa sana nchi hii1 Dah! nikikumbuka zile furaha walizokuwa nazo wenzetu wengine na jinsi wanavyosogelea eneo tulilosimama ninasikitika
 
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imezitaka Michuzi TV, AYO TV na Global TV kusitisha huduma zao za TV mtandaoni hadi hapo kanuni za usajili rasmi ambazo mamlaka hiyo imesema inaandaa kwa huduma hizo zitapokuwa tayari.

Barua hiyo, iliyosainiwa na Mkurugenzi Mkuu Mhandisi James Kilaba tarehe 30 January mwaka huu, imevitaka vyombo hivyo ambavyo vinapendwa sana nchini na nje ya nchi kuacha mara moja kutoa huduma za TV mtandaoni.

“Kwa mujibu wa section 13 (1) of the electronic and postal communications Act Cap 306, sheria za Tanzania zinahitaji watoa huduma zozote za aina hiyo wanahitaji leseni kutoka mamlaka ya mawasiliano,” imesema barua hiyo.

Wamiliki wa mitandao hiyo Millard Ayo, Ankal Issa Michuzi na Abdallah Mrisho wameeleza kushtushwa kwao kwa agizo hilo la ghafla, tena wakati hata kanuni zenyewe hazijawekwa.
“Global TV ipo tayari hata leo kukamilisha taratibu za usajili kama zingekuwepo na kwa sababu bado kukamilika tunaomba kupewa muda zaidi chini ya uangalizi wakati tunasubiria kanuni hizo mpya,” alisema Abdallah Mrisho, Meneja Mkuu wa Global Publishers.

Ankal Michuzi na Millard Ayo waliunga mkono kauli hiyo na kwa pamoja watatu hao wameomba kuonana na mkurugenzi wa TCRA ili kuwasilisha maombi rasmi ya kuruhisiwa kuendelea kutoa huduma hiyo kwa muda wakati kanuni zikisubiriwa.

Bahati mbaya Mhandisi Kilaba alikuwa safari na swala hilo limepangwa kushughuliwa ataporejea wiki ijayo.

“Ukizingatia kwamba tumekuwa tunatoa huduma hii kwa muda mrefu na haijulikani kanuni zitakuwa tayari lini tunaomba TCRA iangalie namna ya kufanya ili wananchi wanaotutegemea sana wasikose huduma hii,” alisema Ankal. Hata hivyo vituo hivyo vitatu vinaendelea kuhudumu nje ya mchakato wa TV mtandao.

Ayo TV, Michuzi TV na Global TV ambazo zina watazamaji wengi ndani na nje ya nchi, ni TV mtandao pekee zilizoitikia mwito wa TCRA kati ya vituo mtandao takriban 51 vilivyopata barua hiyo.

Nini maoni yako??
 
Naunga mkono hoja, na sababu yangu sijui kama pia ni ya TCRA kwa maana siujui undani wake, lkn sababu yangu ni kwamba walipe kodi! Watu wa mitandao wanatengeneza faida hivyo ni sawa na Mfanyabiashara mwingine yoyote yule ambaye analipa kodi sasa kwa nini wao wasilipe? Hata google, facebook &Co. wana ishu na Serikali nyingi Duniani juu ya hili hasa kwenye kodi!

Wanalipa kodi vzuri sana,Millard Ayo alipewa mashine na kampuni kama Voda hawataki risiti za mkono,wanataka risit za Efd. Kwahiyo kwenye suala la kodi ondoa shaka.
 
Back
Top Bottom