Wanaopiga simu redioni kila siku wanatoa wapi fedha na muda?

Wanaopiga simu redioni kila siku wanatoa wapi fedha na muda?

Ndio Kitu Wakipendacho!Kila Mtu Anakitu Ambacho Kina Mpa Faraja!Na Hizo Harakati Zao Zinawasaidia Sometimes Maana Wametengeneza Mpaka Umoja Wao wanasaidia Kwenye Matatizo Pia Harusi!So Radio Imewatengenezea Undugu!Wengine Na Ajira Wamepata!?Mfano.Daudi Wa Kota Nowdays Yuko Clouds Anasimamia Mambo Ya Social Networks
 
1.Prospa wa Moshi yeye ni EARadio.
2.Manase R. Muhaha (Nkambako) Kutoka Lumumba - Radio1
3.Maalimu Litumbi - Tegeta
4.Mzee wa Majukumu - Radio1

Waliopetea.
1.John Zenze
2.Manka Mushi
3.Chesco Mzee wa matunda.
4.Emma Kulaya
5.Bongo Experience.
Uko vizuri
 
Kwani wanaokula bia na mdudu kila siku wabatoa wapi fedha?
Starehe zinatofautiana.
 
Najaribugi Nakutaa bize network Nikiongea siku nikifanikiwa natetemeka had nachoka. Dw kuna mtangazaji rafiki yangu alinipigia Suki Mohammed nichangie Mada Fulani nilichangia Kwa kutetema hajarudia tena kunipigia
 
Kuanzia clouds, east africa radio, capital radio, radio one na zingine sikosagi kusikia jina la spora malisa khaa sijui huwa anaweka alarm? kwenye kutuma msg pia huwezi mkosa sikuhizi namsikia mpaka bbc swahili.
haahaaa duuuh""
 
Back
Top Bottom