Wanaopiga simu redioni kila siku wanatoa wapi fedha na muda?

"Wanapata wapi muda na pesa?" Nijambo ambalo nimekuwa nikijiuliza tokea nikiwa mdogo.

Kuna watu walikuwa vinara wa kupiga simu redioni, leo wengine wamepotea, wengine wamepunguza, watu kama Suzzy Ngodoki, Pagija wa Pagija, Mwili Obale, n.k

Leo wameibuka wengine wanapiga simu kuchangia mada kila redio, utawasikia Clouds kila kipindi, RFA, Redio one, E fm.

Najiuliza hawa watu wanafanya kazi gani? Huu muda wanautoa wapi wakushinda wakitoa maoni redioni? Je, ni ushamba au ni ujanja?

Maoni kutolewa na watu wale wale kila siku, redio hazioni kuna dalili ya kufeli? Wengi wao hutoa maoni mepesi sana, unaweza dhani wanafanya mradi siku isipite bila kuchangia maoni redioni.

Wewe una mtazamo gani? Nani umemzoea kumsikia?

Usiseme hatuna pesa sema huna hela.

BTW Suzy Ngodoki alifariki like 5-6 years ago (RIP)
 
Umenichekesha sana, ujue hao wana umoja wao na kipindi cha nyuma sijui kwa sasa walikuwa wanakutana Mara moja kwa mwaka, wanachagua mkoa kwa ajili ya kufanya get together party na kufahamiana na kutengeneza network.

Sasa ukiona wanasalimiana wao kwa wao ujue wanafahamiana, na sio hao wa abood FM tu Bali wa redio zote.
Kinachonishangaza huwa wanalala muda gani? Maana kila ukifungulia redio wapo hewani.
Wengi ni wafanyabiashara. Hiyo ndio mida ya kufunga mizigo kusafirisha. Na wengine wanakuwa njiani na magari yenye mizigo yao
 
Najaribugi Nakutaa bize network Nikiongea siku nikifanikiwa natetemeka had nachoka. Dw kuna mtangazaji rafiki yangu alinipigia Suki Mohammed nichangie Mada Fulani nilichangia Kwa kutetema hajarudia tena kunipigia
Unaogopa nini sasa?
 
"Wanapata wapi muda na pesa?" Nijambo ambalo nimekuwa nikijiuliza tokea nikiwa mdogo.

Kuna watu walikuwa vinara wa kupiga simu redioni, leo wengine wamepotea, wengine wamepunguza, watu kama Suzzy Ngodoki, Pagija wa Pagija, Mwili Obale, n.k

Leo wameibuka wengine wanapiga simu kuchangia mada kila redio, utawasikia Clouds kila kipindi, RFA, Redio one, E fm.

Najiuliza hawa watu wanafanya kazi gani? Huu muda wanautoa wapi wakushinda wakitoa maoni redioni? Je, ni ushamba au ni ujanja?

Maoni kutolewa na watu wale wale kila siku, redio hazioni kuna dalili ya kufeli? Wengi wao hutoa maoni mepesi sana, unaweza dhani wanafanya mradi siku isipite bila kuchangia maoni redioni.

Wewe una mtazamo gani? Nani umemzoea kumsikia?
Na wewe unatoa wapi pesa za kununua bando na muda Wa kuingia na kuandika JF?
 
"Wanapata wapi muda na pesa?" Nijambo ambalo nimekuwa nikijiuliza tokea nikiwa mdogo.

Kuna watu walikuwa vinara wa kupiga simu redioni, leo wengine wamepotea, wengine wamepunguza, watu kama Suzzy Ngodoki, Pagija wa Pagija, Mwili Obale, n.k

Leo wameibuka wengine wanapiga simu kuchangia mada kila redio, utawasikia Clouds kila kipindi, RFA, Redio one, E fm.

Najiuliza hawa watu wanafanya kazi gani? Huu muda wanautoa wapi wakushinda wakitoa maoni redioni? Je, ni ushamba au ni ujanja?

Maoni kutolewa na watu wale wale kila siku, redio hazioni kuna dalili ya kufeli? Wengi wao hutoa maoni mepesi sana, unaweza dhani wanafanya mradi siku isipite bila kuchangia maoni redioni.

Wewe una mtazamo gani? Nani umemzoea kumsikia?
Na wewe unatoa wapi pesa za kununua bando na muda Wa kuingia na kuandika JF? Tuanzie hapo kwanza.
 
Swali: Fedha wanatoa wapi?
Jibu: wanajiunga vifurushi vya kupigia mitandao yote week nzima au mwezi...

Swali: Muda wanatoa wapi?
Jibu: Kama wewe unavyotafuta muda wa kuingia JF na kuanzisha uzi au kujibu nyuzi za watu nao ndiyo hutafuta muda hivyo hivyo...

Swali: Hawa watu wanafanya kazi gani? Muda wanauotoa wapi wa kushinda wakitoa maoni redioni?
Jibu: Kama wewe tu unavyopata muda wa kushinda JF ukichangia mada au kuanzisha mada. Maisha ya mtu hayakuhusu usiyafuatlie sana.

Swali: Maoni kutolewa na watu wale wale kila siku, redio hazioni kuna dalili ya kufeli?
Jibu: Hata JF waanzisha mada ni members wale wale uliowazea kila siku, na haijawahi kufeli.

Cc: mahondaw
 
Mkuu, haukupitia vizuri kuona kuwa mamia wameshatoa majibu kama yako? Nadhani ungekuja na jibu jipya. Asante.
 
Kung'ombe chacha kung'ombe sukari mrema mhiri obare [emoji2][emoji2][emoji2]
 
"Wanapata wapi muda na pesa?" Nijambo ambalo nimekuwa nikijiuliza tokea nikiwa mdogo.

Kuna watu walikuwa vinara wa kupiga simu redioni, leo wengine wamepotea, wengine wamepunguza, watu kama Suzzy Ngodoki, Pagija wa Pagija, Mwili Obale, n.k

Leo wameibuka wengine wanapiga simu kuchangia mada kila redio, utawasikia Clouds kila kipindi, RFA, Redio one, E fm.

Najiuliza hawa watu wanafanya kazi gani? Huu muda wanautoa wapi wakushinda wakitoa maoni redioni? Je, ni ushamba au ni ujanja?

Maoni kutolewa na watu wale wale kila siku, redio hazioni kuna dalili ya kufeli? Wengi wao hutoa maoni mepesi sana, unaweza dhani wanafanya mradi siku isipite bila kuchangia maoni redioni.

Wewe una mtazamo gani? Nani umemzoea kumsikia?
wanao shinda jf kutoa mada wanatoa wapi pesa ya bando labda ni kuulize
 
Halafu hawa jamaa wana misemo ya kuchekesha kweli Kweli. Utasikia "mtaalam wa kuning'inia kwenye matawi ya mchicha", " mtaalam wa kuziba pancha za matairi ya tren" nk hahahaha!
 
Back
Top Bottom