Wanaopiga simu redioni kila siku wanatoa wapi fedha na muda?

Wanaopiga simu redioni kila siku wanatoa wapi fedha na muda?

Kuna majina yalikuwa maarufu sana zamani kama,,
Mohammed Kiyai yai, Chesko mzee wa matunda, Kluivert au Cool Vert Lee, John Nzenze.

Sijui wamepotelea wapi
 
huu uzi wangu wame umerge kwenye uzi mwingne duh wamenirostisha kiukwel
 
Mr ud kutoka temeke liganga street kipindi cha bambataaa na ac chifupa
 
Back
Top Bottom