ARCHBISHOP
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 271
- 488
- Thread starter
- #101
Ngoja nikusaidie. Natoka Nyumbani saa 6:30am na hufika ofisini saa 7:30 Kulingana na foleni kati ya Lugalo na Posta. Hapo nasikiliza radio.Jipe mwenyewe hiyo pole maana mm hata sijui kama kuna watu hupiga simu redioni kila siku
Jioni kutoka posta kusukuma foleni lazima niwashe redio. Inatosha kabisa kusikiliza Power breakfast na Jahazi pamoja na BBC. Asante...