Wanaopiga simu redioni kila siku wanatoa wapi fedha na muda?

Wanaopiga simu redioni kila siku wanatoa wapi fedha na muda?

Umenikumbusha Chesco mzee wa Matunda miaka hiyo Radio One,alikuwa hakosi kupiga simu kila siku!
 
Wajadi fundi wajadi(Binadam mashaka), Edward kabamba, Manyota top Manyota, Waziri dello, fundi hamis full migebuka, Daudi wakota, Hussein Laliga waziri mkuu wa dereva wa bajaji kutoka stendi kuu Lindi. Nk
 
Hivi wao wanakamataje laini mbona wengine hawapati?
Aiseee hata mm cjui Ila n kama
Wanakaupendeleo flan inamaana
Wao ndo wanapga tu cm Kila sku???
Na c kuna watu wengine wanapga
Lkn za watu wengine hazpokelew
 
Matola ndo anawafahamu vizuri magwiji wa kupiga simu kwenye hizi radio.

Halafu hata kwenye kusalimiana wanasalimiana wenyewe kwa wenyewe.

Kuna jamaa mmoja huwa anapiga simu kwenye kipindi kinachoongozwa na somebody Mbogo, huyu jamaa akiwa anatoa hoja zake hadi mate huwa yanamtoka nadhani. Na hakosi kila nikisikiliza hiko kipindi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi mate yanamtoka
 
Back
Top Bottom