Kweli mkuu,na huyu wa dom namfaham pia anaitwa Imma Sadala hawa jamaa kama usemavyo mi mpaka DW nawasikiaga,Fundi hamisi ni fundi wa kushona nguo yupo kigoma, na huyo mwingine yupo dom ni watu wawili tofauti
Hadi radio za nje rwanda,kenya, wanasikika teh teh wanaitangaza nchi kimataifa
Hapana hao n watu wa will tofautHuyo Fundi Hamisi na yule anaejiita Balozi wa mvumi Dodoma jaman najiulizaga mda wote wanashinda na radio.
Skuhiz amepaa hata Dw mchana na jionHuyu fundi Hamis hata RFA yupo
Sebarua tingisha mpaka digitali alikuwepoMiaka ya nyuma enzi za RTD Kulikuwa na watuma salamu maarufu kwa njia ya kadi na baadaye simu zilipoanza bado walikuwemo. Waliokuwa maarufu sana enzi hizo ni wajad fundi wajad wa mahuta shimon, Jumanne Sebarua Tingisha, Hawa Hassan Kilongo "super white orijino", Lusian Lems Ndambo wa Iringa, Mbago mhamed Mbago wa duka la mbolea pale Mbeya, wakulima wa ming'oko toka lindi nk. Sijui watu hawa kama wapo siku hizi
Mtoto wa vitrottro cjui alifia
Wap
Umri umepita sasa enzi za akina Muntala tala V tala vencha,squash girl,Daudi wa kota XXL hileeee.Mtoto wa vitrottro cjui alifia
Wap
Tuna magariWenzangu mnapataje muda wa kusikiliza redio?
Yeah hapo kweliTuna magari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna yule mzee wa langolango soko kuu majengo Dodoma bingwa wa kuvuka maji ya shingo bila mgongo kulowa [emoji16][emoji16][emoji16]
Hivi wao wanakamataje laini mbona wengine hawapati?Skuhiz amepaa hata Dw mchana na jion
Namskia
Baba mzazi babaa (in Edward kabamba voice)Edward kabamba Edward kabamba hahah