Wanaopiga simu redioni kila siku wanatoa wapi fedha na muda?

yupo mama mwingine somebody Bendera chuma mlingoti kutoka babati
 
afu wanaongea haraka tena kwa mbwembwe kana kwamba wamepractise na kumeza maneno ya kuongea kichwani.....sjui kwa nn lkn
 
Kuna wakati huwa wanaanza kusalimiana watuma salamu kwa watuma salaam sijui huwa wanajuana...anyway ni fun.
 
"Wanapata wapi muda na pesa?" Nijambo ambalo nimekuwa nikijiuliza tokea nikiwa mdogo.

Kuna watu walikuwa vinara wa kupiga simu redioni, leo wengine wamepotea, wengine wamepunguza, watu kama Suzzy Ngodoki, Pagija wa Pagija, Mwili Obale, n.k

Leo wameibuka wengine wanapiga simu kuchangia mada kila redio, utawasikia Clouds kila kipindi, RFA, Redio one, E fm.

Najiuliza hawa watu wanafanya kazi gani? Huu muda wanautoa wapi wakushinda wakitoa maoni redioni? Je, ni ushamba au ni ujanja?

Maoni kutolewa na watu wale wale kila siku, redio hazioni kuna dalili ya kufeli? Wengi wao hutoa maoni mepesi sana, unaweza dhani wanafanya mradi siku isipite bila kuchangia maoni redioni.

Wewe una mtazamo gani? Nani umemzoea kumsikia?
Hiyo ni hobby tu ya mtu, ni kama mtu asiyekosa kuangalia mechi za ligi, asiyekosa kanisani, asiyekosa viti virefu n.k. Suala la wanapata wapi hela na muda pengine sio la muhimu na hupaswi kuumiza kichwa kwa hilo, kwani wanaosikiliza redio wanapata wapi muda? kuna watu wana biashara zao binafsi na wana acess ya vyombo vya habari muda wote, wako huru na si kama wale walioajiriwa.
 
wazir. dello East Africa radio uyu jamaa akosagi kusomwa.

Mshana Jr Uyu jf ni kama ya kwake sahiv

EDWARD KABAMBA UYU RADIO ZOTE ZA NJE DW NA BBC NA VOA ZOTE ZAKE .

YERICKO NYERERE UYU FACEBOOK NI YAKE KWA SAHV

MANGE KIMAMBI UYU INSTA KWA TZ NIYAKE.
 
Na wao wanauliza wanaoshinda JF wanapata wapi muda
 
Mtoa uzi unachekesha kweli,unafikiri wewe ungekuwa huna muda wa kuwafatilia ungejuaje sasa kama wanapiga simu kila siku?hebu kuwa busy kwanza wewe kisha ulete mrejesho kama bado wanaendeleza tabia yao
 
Pole
 
BABA MZAZI Lawena Nsonda... halafu huwa anamalizia na Kibwagizo chake cha "Eeeeeh jamaniiii... "

Nimewahi fika kwake huyu yupo vizuri Ana miradi take fresh kabisa.
 
"Wanapata wapi muda na pesa?" Nijambo ambalo nimekuwa nikijiuliza tokea nikiwa mdogo.

Kuna watu walikuwa vinara wa kupiga simu redioni, leo wengine wamepotea, wengine wamepunguza, watu kama Suzzy Ngodoki, Pagija wa Pagija, Mwili Obale, n.k

Leo wameibuka wengine wanapiga simu kuchangia mada kila redio, utawasikia Clouds kila kipindi, RFA, Redio one, E fm.

Najiuliza hawa watu wanafanya kazi gani? Huu muda wanautoa wapi wakushinda wakitoa maoni redioni? Je, ni ushamba au ni ujanja?

Maoni kutolewa na watu wale wale kila siku, redio hazioni kuna dalili ya kufeli? Wengi wao hutoa maoni mepesi sana, unaweza dhani wanafanya mradi siku isipite bila kuchangia maoni redioni.

Wewe una mtazamo gani? Nani umemzoea kumsikia?
kila mtu na starehe yake, wewe kama unapenda hiki na yule anapenda kile, na huyu hiki. Ni ulevi wao na starehe zao,mbona hujauliza walevi wanatoa wapi hela za kunywa bia kila siku?
 
BABA MZAZI Lawena Nsonda... halafu huwa anamalizia na Kibwagizo chake cha "Eeeeeh jamaniiii... "

Nimewahi fika kwake huyu yupo vizuri Ana miradi take fresh kabisa.
Baba mzazi babaaaaaaa, Eeeeeh jamaaniiii.

hili ni jembe la salamu, pia kulikuwaga na jamaa mwingine pande za soko kuu Dodoma anaitwa TOP MANYOTA TOP MANYOTA
 
Back
Top Bottom