Wanaoongoza kuliwa, wanaoongoza kula JF...!

Daaaah!!!
Humu humu JF watu wanaonana kwa haya 😲😲😲
Money Heist (iliyojulikana kwa Kihispania kama La Casa de Papel) ndiyo inayosadifu mambo haya kwa uhalisia mkubwa zaidi.Hii ni tamthilia maarufu duniani ya makosa ya jinai na unyang'anyi inayopatikana kwenye mtandao wa Netflix. Hadithi hii inamuhusu mtu mmoja wa ajabu anayejiita "The Professor" (Profesa), ambaye anakusanya kikundi cha wahalifu wanane wenye majina ya bandia (kama vile KENZY, chai ya rangi, Espy_ ) ili kufanya wizi mkubwa zaidi kuwahi kutokea katika historia.
 
KWA nini ndugu mshana jr uwatolee mfano hao jamaa?
 
Ndio maana uzi umekosa mwendo, nilistuka Gran Pah aanzishe uzi halafu usitembee, Lol.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
KWA nini ndugu mshana jr uwatolee mfano hao jamaa?
Story yao aisee inahamashisha sana. . imagine wanavamia kiwanda lakini hawachukui bidhaa zilizopo bali wanatumia mitambo ya kiwanda kuzalisha zaoπŸ˜‚
 
hakuna mtu mwenye haraka ya mafanikio, isipokua mafanikio ndio yanachelewa sana kutupata walala hoi. si tumetulia tu tunapiga harakati zetu mdogomdogo.πŸ™‚
 
Nilichodhani ndicho,kumbe sichoπŸƒπŸΏβ€β™€οΈ
Mpwa umefanya jambo la maana sana kurejea ulikotoka. Mshana ni mkatili sana kwa kukuingiza choo cha kiume. 🚹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…