Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Unauliza kwa nini wakati ni nature?

But again do you real care? What if they are all girls? si bora wawe wajinga kama mama yao ili waolewe...

sio kweli kabisa kwa nini asirithi akili ya baba ?

labda nikutajie sababu kwa nini nitaoa golikipa

1: Nitakapomuhitaji nitampata kwa wakati wowote kwa vyovyote unavyofikiria wewe

2: Kuchelewa nyumbani kwake lazima kuwe na sababu hata kutoka tu nyumbani mpaka niwe na taarifa

3: Malezi ya watoto kwa asilimia kubwa nitakuwa nina uhakika wa usalama wa wanangu kwanzia malezi hadi chakula tofauti na beki 3

4: Chakula nitapikiwa na mke wangu tu ndio sababu ya kuukacha ubachela

5: Visingizio vya simu vya mara kwa mara hakuna oo mara bosi kapiga oo nimeitwa kazini sitaki mke wangu mali yangu

6: Heshima ipo baadhi ya wanawake wakipata kadegree ni kuanza kutukana wanaume hata wasio wajua kama huyo shosti wako

7: Majukumu ya kifedha yote yatakuwa juu yangu hivyo nitakuwa sipigii mahesabu hela kutoka kwa mke wangu. Maana baadhi yenu hela zenu mnawekeza kwenu badala ya kwako
 
Huo upuuzi wa kwenye bold ndio sifanyi...sina tabia ya ku pretend kabisa...na sina shida na ndoa yangu...
Wanaume type za mleta mada (na wenzie) zinajulikana ...na nilikuwa nazikwepa kama ukoma...
Na sijajifunza kujitambua shule...ndivyo nilivyokuwa raised na wazazi wangu hasa baba kuwa mimi si mtu nusu...am as good as men...

nyumba kubwa we ni mhaya,i'm sorry nimeunganisha kwa dots,hata isingekuwa hivo,wanawake wenye elimu hata kama wametoka sitimbi lazima wawe pasua kichw,je kwa wahaya ambao bila kujivuna na kiburi je mwanaume ambaye hawajui atakuwa na uvumilivu gani?.......mwanake ukitaka familia bora na umesoma sana inamisha kichwa jinyenyekeze
 
Unauliza kwa nini wakati ni nature?

But again do you real care? What if they are all girls? si bora wawe wajinga kama mama yao ili waolewe...

Hata kama wote wakiwa wanawake wakiwa wakubwa yatakua maisha yao sio maisha yangu.
Kwani kuolewa ni uamuzi wake kwa sababu hatujasema wanawake wote tumetumia neno baadhi
 
Huo upuuzi wa kwenye bold ndio sifanyi...sina tabia ya ku pretend kabisa...na sina shida na ndoa yangu...
Wanaume type za mleta mada (na wenzie) zinajulikana ...na nilikuwa nazikwepa kama ukoma...
Na sijajifunza kujitambua shule...ndivyo nilivyokuwa raised na wazazi wangu hasa baba kuwa mimi si mtu nusu...am as good as men...
poa,kwahiyo we ndo kichwa cha nyumba?
 
Na ningekuwa na mtoto wa kike bora azeekeee home kuliko kuolewa na mwanaume asiye jiamini...

Nadhani baba yetu ali focus kwenye sisi kutokuolewa...but the power of love imetufanya wote tuolewe...

Nakumbuka kabisa alivyokuwa anawananga wanaume...alikuwa anasema black and white someni wanangu wanaume wasiwababaishe...
Nazidi kumwelewa nikikutana na watu wenye huu mtazamo...THANK YOU DAD!
 
Huo upuuzi wa kwenye bold ndio sifanyi...sina tabia ya ku pretend kabisa...na sina shida na ndoa yangu...
Wanaume type za mleta mada (na wenzie) zinajulikana ...na nilikuwa nazikwepa kama ukoma...
Na sijajifunza kujitambua shule...ndivyo nilivyokuwa raised na wazazi wangu hasa baba kuwa mimi si mtu nusu...am as good as men...

Hivi mwanamke usipojinyenyekeza kwa mumeo utajinyenyekeza kwa nani ?
Ndio maana ni michepuko au mnaoa marioo.
Mwanaume kabisa una maisha yako mazuri ukitaka mifano nitakupa ukaoe mwanamke anayefanya kazi mnaondoka asubuhi unawahi kurudi nyumbani mke humkuti hivi inaingia akilini ?
 
Mmi aah la saba sina niendako mbona Mungu alijua shida ya moyo wangu degree nawaweza wapi ya nni niwekewe ratiba
 
Hakuna kichwa wala mkia...we are partners, lovers and the like...
mwanaume ndo kichwa cha nyumba,kama yeye mwenyewe hatambui hilo basi jiulize mara mbili lazima umemweka kiganjani
 
Utarudi nyumbani mke umkuti kama ni house wife...
Hiyo ai apply kama wote mnaenda na kurudi kazini pamoja...kama miye na the love of my life...

Hivi mwanamke usipojinyenyekeza kwa mumeo utajinyenyekeza kwa nani ?
Ndio maana ni michepuko au mnaoa marioo.
Mwanaume kabisa una maisha yako mazuri ukitaka mifano nitakupa ukaoe mwanamke anayefanya kazi mnaondoka asubuhi unawahi kurudi nyumbani mke humkuti hivi inaingia akilini ?
 
Mmi aah la saba sina niendako mbona Mungu alijua shida ya moyo wangu degree nawaweza wapi ya nni niwekewe ratiba

wakishasoma wanavimba vichwa kama cobra wanataka haki sawa lakini sio mambo ya hela yaani chako chetu changu changu
Nahisi mambo ya kuchelewa kurudi huna ugomvi huo wala safari za kazi wala vikao vya kubanjuana hakuna kwa mkeo
All in all hongera
 
Hapa tutakesha kwani hata hivyo vitabu vya dini aliviandika nani...KE au ME...?

Nyumba yetu imesimama kwenye love... si kichwa (mi amri), wala mkia (kujishusha mpaka uvunguni)

mwanaume ndo kichwa cha nyumba,kama yeye mwenyewe hatambui hilo basi jiulize mara mbili lazima umemweka kiganjani
 
Hapo kwenye bold jibu ni YES...maana hiyo ndio definition ya love kwa Watanzania...mkiona watu wanapendana mnakimbilia kwenye conclusion ya limbwata...

mwanaume ndo kichwa cha nyumba,kama yeye mwenyewe hatambui hilo basi jiulize mara mbili lazima umemweka kiganjani
 
Utarudi nyumbani mke umkuti kama ni house wife...
Hiyo ai apply kama wote mnaenda na kurudi kazini pamoja...kama miye na the love of my life...

hivi wote mtafanya kazi sehemu moja ? hapa unaigiza
Safari za kikazi je ?
mkeo hana vikao ?
Hebu usituigizie hapa rudi kwenye maisha halisi
 
mwanaume ndo kichwa cha nyumba,kama yeye mwenyewe hatambui hilo basi jiulize mara mbili lazima umemweka kiganjani

kichwa cha nyumba kinajumlisha mambo ya finance za home, siyo tu kutembeza ndevu na masharubu
 
Wewe ndio una kremu...unataka kunambia ofisi zote wana vikao kuanzia saa 11 jioni? au wanasafiri mara 14 kwa mwezi? au lazima kila familia iwe na gari 2 na lazima zitumike zote kila mtu na yake? Au siku mume anarudi safarini basi wife aendi kazini anasubiri kumpokea? Ueleweki...

Ukijibu haya basi mimi naigiza...

hivi wote mtafanya kazi sehemu moja ? hapa unaigiza
Safari za kikazi je ?
mkeo hana vikao ?
Hebu usituigizie hapa rudi kwenye maisha halisi
 
Hapa tutakesha kwani hata hivyo vitabu vya dini aliviandika nani...KE au ME...?

Nyumba yetu imesimama kwenye love... si kichwa (mi amri), wala mkia (kujishusha mpaka uvunguni)
sijakuuliza kuhusu vifungu vya dini nadhani yupo aliyeuliza atajibu
 
Back
Top Bottom