Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Hapo kwenye bold jibu ni YES...maana hiyo ndio definition ya love kwa Watanzania...mkiona watu wanapendana mnakimbilia kwenye conclusion ya limbwata...

Hata humu jamvini wengi wanalalamika wanawake wenye kazi zao wanawapata maryoo
wanalalamika wanapata foreigners
ukiona mume ameinamisha kichwa ujue mke ndio mwenye kipato kikubwa jamaa anaishi kwa kuunga unga
 
Wewe ndio una kremu...unataka kunambia ofisi zote wana vikao kuanzia saa 11 jioni? au wanasafiri mara 14 kwa mwezi? au lazima kila familia iwe na gari 2 na lazima zitumike zote kila mtu na yake? Au siku mume anarudi safarini basi wife aendi kazini anasubiri kumpokea? Ueleweki...

Ukijibu haya basi mimi naigiza...

hivi kwani ofisi zote zipo sehemu moja ?
je kila familia ina gari ?
Hiyo mume anarudi safarini mke ampokee ndio inahitajika.
Umeamini kama unaigiza ?
 
Unaongelea mji gani Dar au Tokyo? Kama Dar ofisi zote ziko posta with very few exceptions...

Na hata kama nafanya Ubungo what is the difference...nitoke kazini saa 8 kumuwai mume?????

Nachoigiza ni nini? Familia iwe na gari isiwe nayo as long as wote ni wafanya kazi hakuna wa kuwahi kufika home zaidi ya mwenzie maana mida ya kazi ni ile ile utumie gari mkokoteni au miguu...

Usitoke nje ya mada na kuanza kuongelea magari (maana unataka niseme sina gari ndio unione real...wabongo mna shida)...focus kwenye substance

hivi kwani ofisi zote zipo sehemu moja ?
je kila familia ina gari ?
Hiyo mume anarudi safarini mke ampokee ndio inahitajika.
Umeamini kama unaigiza ?
 
nimekupenda.Wewe ndio mwanaume halisi.

Hivi ukiwa unahudumia kwenu na mwanaume ahudumie kwao nyumbani mtakula nini ?
Ndio Haki sawa inarakiwa itumike hadi kwenye pesa sio mda wa kurudi na mambo mengine tu
 
Unaongelea mji gani Dar au Tokyo? Kama Dar ofisi zote ziko posta with very few exceptions...

Na hata kama nafanya Ubungo what is the difference...nitoke kazini saa 8 kumuwai mume?????

Hapa unjionesha dhahiri unaigiza ofisi zote au ofisi nyingi ?
je wanandoa wote wanafanya kazi posta dar hii ?
je ambao mume mfanyabiashara mke muajiriwa inakuwaje?
nimekwambia usiigize ongea hali halisi
 
Maisha magumu bana siku hizi wanaume wanataka pesa hivyo tunakimbilia wenye degree!
 
na ninawaombea watoto wangu wasijekutana na mwanaume type yako ni hopeless.

Hivi watoto unawaleaje au ndio housegirl ?
Maana mwa mujibu wa mwenzio kazini kutoka saa 11 mpaka home ni usiku asubuhi saa 11 upo barabarani hao watoto unawalea wewe au housegirl ?
 
Hivi ukiwa unahudumia kwenu na mwanaume ahudumie kwao nyumbani mtakula nini ?
Ndio Haki sawa inarakiwa itumike hadi kwenye pesa sio mda wa kurudi na mambo mengine tu

mwanaume halisi siku zote anajitahidi kufanya kazi atimize mahitaji ya nyumbani sio ategemee pesa ya mkewe.Muache mke aamue kutoa pesa yake kwa ajili ya familia maana hata sheria za nchi zimeeleza wazi jukumu la kuitunza familia ni la baba.
 
Unajua maana ya kuigiza???
Nachoandika siongelei maisha ya mtu mwingine hivyo stop forcing me kuongelea watu wengine...

Hayo ya mume mfanya biashara sijuhi nini hayanihusu..naongelea real situation yangu (wewe ndio unataka nianze kuigiza kwa kuwajibia wengine)

Wewe tulia na darasa la saba wako...waache wenzako wenye wake madaktari na wao watulie kivyao...pili pili usoila yakuwashia nini...au kimoyo moyo unaona gere?????
Unaisoma kimya kimya...

Tena nyie waleta mada kama hizi wake zenu hawajasoma...sasa kwa nini mnawasemea wengine? Mna ji console eeeehhhh

Hapa unjionesha dhahiri unaigiza ofisi zote au ofisi nyingi ?
je wanandoa wote wanafanya kazi posta dar hii ?
je ambao mume mfanyabiashara mke muajiriwa inakuwaje?
nimekwambia usiigize ongea hali halisi
 
Hii topic imenivutia sana.
Hata mimi mama yenu ameishia la saba B.ila niko naye mwaka wa 37 huu. Hatujawahi kusumbuana kitu kikubwa sana.
 
Hii topic imenivutia sana.
Hata mimi mama yenu ameishia la saba B.ila niko naye mwaka wa 37 huu. Hatujawahi kusumbuana kitu kikubwa sana.
Mkuu nashukuru sana kwa ushuhuda murua,ubarikiwe
 
mwanaume halisi siku zote anajitahidi kufanya kazi atimize mahitaji ya nyumbani sio ategemee pesa ya mkewe.Muache mke aamue kutoa pesa yake kwa ajili ya familia maana hata sheria za nchi zimeeleza wazi jukumu la kuitunza familia ni la baba.

haki sawa ipo wapi ?
watoto wangu walelewe na house girl kisha mwisho wa mwezi hela haionekani.
kwa nini usibaki nyumbani ?
 
Unajua maana ya kuigiza???
Nachoandika siongelei maisha ya mtu mwingine hivyo stop forcing me kuongelea watu wengine...

Hayo ya mume mfanya biashara sijuhi nini hayanihusu..naongelea real situation yangu (wewe ndio unataka nianze kuigiza kwa kuwajibia wengine)

Wewe tulia na darasa la saba wako...waache wenzako wenye wake madaktari na wao watulie kivyao...pili pili usoila yakuwashia nini...au kimoyo moyo unaona gere?????
Unaisoma kimya kimya...

Tena nyie waleta mada kama hizi wake zenu hawajasoma...sasa kwa nini mnawasemea wengine? Mna ji console eeeehhhh

hapa hatuongelei maisha ya mmoja mmoja tunaongelea maisha ya jamii kwa ujumla ndio maana kuna neno wengi wao ni pasua kichwa ndio maana tunatolea mifano ya wengi wao sio wote sasa wewe unavutia kwako unataka wote waishi kama unavyoishi wewe ?
una uhakika wanao wamekula vizuri mchana na hao mahaouse girl mnaowaachia ?
Hela yako na wewe unajenga kwenu au haki sawa ?
 
Back
Top Bottom