MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,553
- 41,467
lazima wawe wametumia njia mbadala
bado mabosi wafanyakazi wenzie
bora wabaki michepuko tu
lazima wawe wametumia njia mbadala
bado mabosi wafanyakazi wenzie
bora wabaki michepuko tu
ndio nyie type ya.wale wanaume katika familia baba akifariki basi watoto wote wanaishia kuharibika maana mama hawezi kuwasupport kwenye chochote alikua anamtegemea baba.Maisha hayo yalishapitwa na wakati tuko karne mpya labda niwakumbushe.Wanaume wenyewe mmejaa maradhi mkifa hizo familia zenu mnamuachia nani azitunze wakati hata hamjui kuwekeza kwenye miradi mbalimbali.
mbona hata nyie wanaume siku hizi.mavyuoni mnagawa nyuma?
nilikuona una msimamo ila kwa hiyo sentensi nimegundua wewe wale wale,Mungu tuepushe na aina ya hawa wanawake
mwanamke yeyote anayewaza kuwekeza kwao si mke kabisa na hafai kuwa mke,huyu celex kajitetea sana kwa points kibao ila nimeona ni wale wale,kweli hakuna wanawake wa degree wanaofaa kuwa wake
umekuja nikuoe ili usaidie kwenu?na unasema kwa makusudi kabisa,hiyo ya kusaidiana wazazi huwa ni maelewano ya ndani,hufai kuwa mke na hujafaa kuolewaacha kujidanganya eti ambao hawajasoma hawasaidii kwao.Mke hata kama hajasoma atajitahidi aibe hata vipesa vya matumizi asaidie kwao hakuna mwanamke atakayekubali kuona ndugu zake wapate tabu eti kisa kaolewa.
wewe umekimbilia kwenye dini umeshindwa
hivi ni jukumu la kutunza ni la watoto au la wazazi ?
vitabu vya dini vinasema mzazi aandae urithi hadi wa wajukuu zake sasa wewe unaongelea dini ipi ?
ukiolewa nyumbani ni kwenda kisalimia tu kuhudumia sio lazima
acha kujidanganya eti ambao hawajasoma hawasaidii kwao.Mke hata kama hajasoma atajitahidi aibe hata vipesa vya matumizi asaidie kwao hakuna mwanamke atakayekubali kuona ndugu zake wapate tabu eti kisa kaolewa.
umekuja nikuoe ili usaidie kwenu?na unasema kwa makusudi kabisa,hiyo ya kusaidiana wazazi huwa ni maelewano ya ndani,hufai kuwa mke na hujafaa kuolewa
Nimegundua wanaume wengi tunaogopa kuwa challenged ni kweli sisi ni vichwa lakini hiyo haifanyi wanawake wasitoe mawazo yao wengi wanaogopa kukosolewa utadhani wao ni miungu au malaika wenye elimu ndo wazuri
naona dini zetu zimeshapishana.
Unaambiwa mtoto urithi akili ya mama yake...sasa hao wanaotaka std 7 wameshaamua aina ya familia wanayotaka kujenga...
inavyoonekana tuna mitazamo tofauti na kila mtu anaona mtazamo wake ni sahihi.Kwaheri.
nyumba kubwa we ni mhaya,i'm sorry nimeunganisha kwa dots,hata isingekuwa hivo,wanawake wenye elimu hata kama wametoka sitimbi lazima wawe pasua kichw,je kwa wahaya ambao bila kujivuna na kiburi je mwanaume ambaye hawajui atakuwa na uvumilivu gani?.......mwanake ukitaka familia bora na umesoma sana inamisha kichwa jinyenyekezeUnaambiwa mtoto urithi akili ya mama yake...sasa hao wanaotaka std 7 wameshaamua aina ya familia wanayotaka kujenga...