Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wenye degree hamfai na degree zenu.
Mwanaume ni kichwa cha nyumba. Wanawake wenye elimu ya darasa la saba na form 4 hawasumbui wanaume. wanajua wajibu wao kutii na kumjali Mume,ila wenye zaidi ya hapo,wachache .

Rest hawajielewi baada ya kujiona wanajua,ila hawafai kuolewa hawana sifa ya kuwa wake,ni wanaume wenzetu. Mtazalishwa,mtalea watoto,mtadanganywa na hamtaolewa. Mtaongezewa watoto na majukumu ila wataolewa wa darasa la saba na form 4.

Na hata maprofesa wake zao ni la saba na form 4 au wanaojielewa,mnaojifanya mna figure, degree,mkoo wapi? mna familia za maana na mmeolewa?.......wife material ni anayemsikiliza mme wake, uwe na elimu au vipi bila kujinyenyekeza huna heshima.

Mwenzangu umenichekesha sana, umekuja kwa ukali mno, imekuaje mkuu? Ila umenena sana. Lakini, naomba nikuulize kitu, ukiwa na mtoto wa kike utamsomesha hadi darasa la saba tu ili apate mme?
 
bila shaka nimekutach kwny kugawa kama sadaka lawe, wanawake vyuon wanabakuliwa huwez kulinganisha ni dem alomaliz form 4 na degree kwny swala la kubakuliwa, usijitee hata ww mwnyw unajijua ulivokuw chuo

Dume zima usiwe na woga hamna kitu kibaya kama uoga kwa taarifa yako haujani touch hata chembe hapa tuongelee reality we kama una standard seven wa big result kubali tu usipondee wa degree zao bwana maana hata wako alikuwa kilaza ndo mana hakufika uhuni ni tabia ya mtu tu it doesnt matter level ya elimu hafu eti una generalize hafu inaonyesha hata hujui maisha ya chuo yalivo kule sio danguro wewe eti kubakuliwa hongera na saba yako acha uoga na visingizio eti wahuni ili kutafta justification ya kilaza wako wa la saba au wa big result now
 
Maofisi mengi hapa dar bosi mkewe ni mama wa ndani
watu wanataka matunzo wewe kila muda una stress za kazi tu
mumeo utamuhudumia saa ngapi ??
awe na degree sasa halafu ana saluni
 
tatizo kubwa wakiwa mitandaoni wanaigiza sana wanasahau uhalisia
hivyo wanatukana tukana huko chuo wanaliwa kishenzi mpaka wanakuwa na degree za chupi

Ndo unavojidanganya kumbe na wewe kajaribu hizo degree za chupi maneno ya mkosaji hayo ingekua hivo kila mwanamke angekuwa nayo
 
Dume zima usiwe na woga hamna kitu kibaya kama uoga kwa taarifa yako haujani touch hata chembe hapa tuongelee reality we kama una standard seven wa big result kubali tu usipondee wa degree zao bwana maana hata wako alikuwa kilaza ndo mana hakufika uhuni ni tabia ya mtu tu it doesnt matter level ya elimu hafu eti una generalize hafu inaonyesha hata hujui maisha ya chuo yalivo kule sio danguro wewe eti kubakuliwa hongera na saba yako acha uoga na visingizio eti wahuni ili kutafta justification ya kilaza wako wa la saba au wa big result now
samahani!
kama umeolewa au bado je ungeangalia vigezo gani kwa mwanaume unayemtaka!
 
mkuu we huku unajulikana kama rais wa kugegeda,je mwishoni kwa comment yako utaweza kweli kumgegeda mke wa obama?unajidanganya bro

Ni fursa tu ni ngumu kkupatikana kwa urahisi, kwani likitokea Zali akakaa kwenye usawa wa maguu 12, kwani nini kitashindikana
 
Kikawaida wanaume hatutaki stress za kupitiliza kwenye mahusiano, pia kwenye ndoa. Sijaoa bado ndo maana natumia neno mahusiano ila nashuhudia waliopo kwenye ndoa wengi tu. Mwanaume ndo kichwa cha nyumba. Eidha mke ana degree, masters, PHD nk inatakiwa ajue majukumu yake kwa mme wake na ajitambue pia. Sio eti kujitambua kuwa yeye ni 'msomi'. Pia mme ajue majukumu yake, ambayo nina uhakika wanaume wengi wenye welevu wasomi kwa 'wasio wasomi' wanayajua majukumu yao kama vichwa vya nyumba. Wanawake wengi 'wasomi' wana ile dhana ya kwamba 'wanajitambua' pia na mambo ya 'usawa' yamewatawala, ambayo kiukweli ndo yanawatoa kwenye reli. ila nina uhakika wife materials wenye degree wapo ila wachache sana. Pia wale ambao ni la 7 na form 4 sio wote ni wife materials, ila kundi hili wengi wao wanaoleka sababu hawawapi stress waume zao licha ya kuwa na mapenzi ya kweli.
 
Mwenzangu umenichekesha sana, umekuja kwa ukali mno, imekuaje mkuu? Ila umenena sana. Lakini, naomba nikuulize kitu, ukiwa na mtoto wa kike utamsomesha hadi darasa la saba tu ili apate mme?

kusomesha tutasomesha tu ila deep down nitakuwa najua atakuwa shida tu kwa mumewe, yan kwnz ikitokea kamaliza fom 4, itakuwa vyema akitokea mjanja m1 akapiga mimba hlf akaoa kabisa akitoka tu kumaliza fom 4 kabla hajafka huko kwny madegree
 
Mwenzangu umenichekesha sana, umekuja kwa ukali mno, imekuaje mkuu? Ila umenena sana. Lakini, naomba nikuulize kitu, ukiwa na mtoto wa kike utamsomesha hadi darasa la saba tu ili apate mme?
mkuu nitamsomesha na huo ni wajibu wangu kama mzazi,swala la kuolewa linabaki kwake na maamuzi ni yake
 
Kikawaida wanaume hatutaki stress za kupitiliza kwenye mahusiano, pia kwenye ndoa. Sijaoa bado ndo maana natumia neno mahusiano ila nashuhudia waliopo kwenye ndoa wengi tu. Mwanaume ndo kichwa cha nyumba. Eidha mke ana degree, masters, PHD nk inatakiwa ajue majukumu yake kwa mme wake na ajitambue pia. Sio eti kujitambua kuwa yeye ni 'msomi'. Pia mme ajue majukumu yake, ambayo nina uhakika wanaume wengi wenye welevu wasomi kwa 'wasio wasomi' wanayajua majukumu yao kama vichwa vya nyumba. Wanawake wengi 'wasomi' wana ile dhana ya kwamba 'wanajitambua' pia na mambo ya 'usawa' yamewatawala, ambayo kiukweli ndo yanawatoa kwenye reli. ila nina uhakika wife materials wenye degree wapo ila wachache sana. Pia wale ambao ni la 7 na form 4 sio wote ni wife materials, ila kundi hili wengi wao wanaoleka sababu hawawapi stress waume zao licha ya kuwa na mapenzi ya kweli.
mkuu wengi waliosoma hicho ndo hawataki,mwishoni wanakuwa mzigo kwenye familia
 
Dume zima usiwe na woga hamna kitu kibaya kama uoga kwa taarifa yako haujani touch hata chembe hapa tuongelee reality we kama una standard seven wa big result kubali tu usipondee wa degree zao bwana maana hata wako alikuwa kilaza ndo mana hakufika uhuni ni tabia ya mtu tu it doesnt matter level ya elimu hafu eti una generalize hafu inaonyesha hata hujui maisha ya chuo yalivo kule sio danguro wewe eti kubakuliwa hongera na saba yako acha uoga na visingizio eti wahuni ili kutafta justification ya kilaza wako wa la saba au wa big result now

hahahahaha, em ona ulivopanik inaonekana kweli chuon ilikuwa sadaka lawe, mm nahold Masters ya Uchum na pia ni mhasibu nnaetambulika kabisa (cpa holder) kwahiyo sio kilaza kama unavosema, ukweli utabak palepale dada angu kwenye swala la kubakuliwa mwanamke wa aliemaliza chuo degree amebakuliwa saaaaana huwez kulinganisha na aliemaliza form 4, zipo exceptional ila ni chache sana ila generally ni hivo dada angu..... pole kwa kubakuliwa hovyo na bila mpangilio ulivokuwa chuo kama ni kwel ilikuwa hivo kama kwako c hvyo bac kheri yako ni m1 kat ya wachache sana
 
samahani!
kama umeolewa au bado je ungeangalia vigezo gani kwa mwanaume unayemtaka!

Naangalia vigezo vingi tu mojawapo ni level ya education,petsonal understanding na mambo mengine muhimu
 
Wanaume wamepungua sana siku hizi! Kwa iyo kwa kifupi ni kwamba unawaogopa wanawake kwa kigezo cha usomi tuuuu! Mazabzab hebu chukua like zangu kadhaa!
 
DEMBA hongera kama umeolewa!
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha, em ona ulivopanik inaonekana kweli chuon ilikuwa sadaka lawe, mm nahold Masters ya Uchum na pia ni mhasibu nnaetambulika kabisa (cpa holder) kwahiyo sio kilaza kama unavosema, ukweli utabak palepale dada angu kwenye swala la kubakuliwa mwanamke wa aliemaliza chuo degree amebakuliwa saaaaana huwez kulinganisha na aliemaliza form 4, zipo exceptional ila ni chache sana ila generally ni hivo dada angu..... pole kwa kubakuliwa hovyo na bila mpangilio ulivokuwa chuo kama ni kwel ilikuwa hivo kama kwako c hvyo bac kheri yako ni m1 kat ya wachache sana

Hamna aliye paniki hapa hoja tu wala hukuulizwa ufanye introduction ya unayoyafanya hayatuhusu sisi mana niliona unatetea vitu visivo na mantinki otherwise na doubt elimu yako haijakukomboa kifikra rather than vyeti hata mti hujulikana kwa matunda yake badala ya kujibu hoja unakuja sijui na nini na makorokocho sasa si ndo umepaniki aisee ha ha ha dunia ina.mambo hata uelewa na uchanganuzi wa mambo wonders shall never end
 
ila jitetee wewe na usiwatee wengine
 
tusipende kukariri vitu, au ku conclude kutokana na yale tuliyoyaona kwa mtu fulani kila sekunde na dakika vitu vinabadilika,aliyepita jana njia fulani na akafika salama wewe unaweza kuipita leo ukakuta kumbe haipitiki tena
 
Back
Top Bottom