Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Sharti langu la kwanza ni kuwa na mwanamke msomi tena wa mambo ya tiba yaani dr. Hii yote huwa nawazia sana kama Mungu atanijalia watoto basi nahitaji kuwa na Mke atakayejua kuwahudumia na kuwatunza vizuri. Ninacho kiona hapa ni mtazamo tu. Maisha yanakupeleka kufuatana na vile unavyowaza vile unavyo jishughulisha na mtazamo mzima juu ya mambo mbalimbali. Mwanamke kama mama akiwa na Elimu ndogo ni tatizo kubwa. Ukiingia deep utaona jamii yetu imeathirika sababu ya kuwa na wanawake wenye Elimu duni. Hapa kinachoogopwa na wanaume ni Changamoto. Hakuna mwanamke yeyote yule awe la saba form 4 mwenye degree atakusumbua au kutokuheshimu kama utatekeleza wajibu wako kikamilifu. Alafu tutambue Elimu ina nafasi ndogo sana katika malezi aliyokulia mtu. Anaweza kuwa form 4 lakini ana kiburi tu au degree asiye eleweka.
MUHIMU: Kuwa na dhana ya kujiambia kuwa wewe ni mwanaume wewe ni mtawala. Sifa za mtawala ni nini?
Ni kuhudumia na kutiisha vile vilivyo chini yako. Wanawake wana akili sana hawezi kuanza tu from nowhere bila ya kukujua madhaifu yako. Mimi huwa sikogopi aiseee awe tajiri sijui proffesor sijui nani muhimu ni mpende tu basi. Atalishwa atavaa
 
acheni uwoga wa bure mwanamke ata awe na elimu gani hapa duniani mwesho wa siku all she will do is spread legs simple wala usiogope . na ukishindwa dominate a woman u aint a man enough

hicho kipengele cha red kimenikuna....UKWELI MTUPU!
 
Sharti langu la kwanza ni kuwa na mwanamke msomi tena wa mambo ya tiba yaani dr. Hii yote huwa nawazia sana kama Mungu atanijalia watoto basi nahitaji kuwa na Mke atakayejua kuwahudumia na kuwatunza vizuri. Ninacho kiona hapa ni mtazamo tu. Maisha yanakupeleka kufuatana na vile unavyowaza vile unavyo jishughulisha na mtazamo mzima juu ya mambo mbalimbali. Mwanamke kama mama akiwa na Elimu ndogo ni tatizo kubwa. Ukiingia deep utaona jamii yetu imeathirika sababu ya kuwa na wanawake wenye Elimu duni. Hapa kinachoogopwa na wanaume ni Changamoto. Hakuna mwanamke yeyote yule awe la saba form 4 mwenye degree atakusumbua au kutokuheshimu kama utatekeleza wajibu wako kikamilifu. Alafu tutambue Elimu ina nafasi ndogo sana katika malezi aliyokulia mtu. Anaweza kuwa form 4 lakini ana kiburi tu au degree asiye eleweka.
MUHIMU: Kuwa na dhana ya kujiambia kuwa wewe ni mwanaume wewe ni mtawala. Sifa za mtawala ni nini?
Ni kuhudumia na kutiisha vile vilivyo chini yako. Wanawake wana akili sana hawezi kuanza tu from nowhere bila ya kukujua madhaifu yako. Mimi huwa sikogopi aiseee awe tajiri sijui proffesor sijui nani muhimu ni mpende tu basi. Atalishwa atavaa
ishu yako azae na ww ,duh
 
Kwa mawazo hayo bora uoe std seven wako tu
 
sijui lengo nini maana wengine tumeoa hao wenye elimu kubwa zaidi na wanaheshima hamna mfanowe....sijui lakini mtazamo wako!
acha madongo mkuu
 
Kumbe mkio wenye degree mnapiga mahesabu ya kuwafanya chuma ulete.....heheheee yani siku mume wangu akiuona mshahara wangu ajue nimempa sadaka...

Me baba yangu ajipinde kunisomesha halafu we uje udai mshahara kama mlisaidiana vilee...ukiuliza umenioa....

Then tukidai usawa mnakuwa wakali...mwanaume ukitaka kuwa kichwa cha familia basi uwe kichwa katika kila kitu hadi matumizi ya nyumbani....!
Tena hadi nauli ya kwenda kazini umpe mkeo na mshahara usihoji....

Ndio maana manaishia kuzalishwa na kuachiwa watoto mlee tu
 
Back
Top Bottom