Wanaomwangusha Rais Magufuli katika Sekta ya Afya hawa hapa

Wanaomwangusha Rais Magufuli katika Sekta ya Afya hawa hapa

Tunayo safari ndefu sana katika sekta ya afya.
 
NHIF ni jipu zito, kuwa na bima ni kama mzigo, ukienda hosp ni kusumbuliwa tu, oh sijui mtandao haupo sijui nn
Iyo imenikuta juzi kwenye mojawapo ya hospitali zetu.
 
NHIF ni jipu zito, kuwa na bima ni kama mzigo, ukienda hosp ni kusumbuliwa tu, oh sijui mtandao haupo sijui nn
Yaani kushughulikia kadi ya mteja mmoja wa NHIF inachukua zaidi ya dakika 20, na mtandao ukigoma ndiyo basi tena.
 
Back
Top Bottom