Wanaomwangusha Rais Magufuli katika Sekta ya Afya hawa hapa

Narudia kusisitiza watoe wazee wenye mazoea wapumzike. Waweke watu wenye ubunifu na mageuzi. Sekta zinazoendeshwa as if tupo mwaka 1970 zibadilishwe management ya juu.
Upo sahihi kwa asilimia 100, mazoea yamezidi.
 
Kunw hiki wanaita CHF yaani Wananchi wanateswa na watumishi kwa sababu ya mikakati yenye dhamirw njema ... hapa pana uozo japo mambo yanaendeshwa na mifumo ya mtando kifupi hakuna uwazi kwa Wananchi bora hata zamani kila kitu kimebakia kwa watoa huduma kujiamulia wenyewe, tumechoka jamani.
 
Mi naona utawalaumu bure tu hao watu,kwa sababu inaaminika raisi wetu ni mkali sana na anataarifa zote katika nchi hii.Hapo tatizo itakuwa fedha hazifiki kwa wakati,sasa hayo madawa yataletwa na nini?

Serikali iliamua kwa maksudi taasisi zake zisikae na fedha, ila pale wanapo hitaji ndo huwasilisha maombi serikali kuu ili wapewe fedha,kwa sasa hivi urasimu ni mkubwa mnoo mpaka pesa itoke,sasa wapate wapi pesa au huo ubunifu unaousema wewe ni upi?

Na hali itakuwa mbaya zaidi tu huko mbeleni sabu hakutakuwa na watu wa kuihoji serikali.
 
1. To a ushahidi Wa ufisadi Wa msd,onyesha kiasi walichopewa na serikali na kikatumika vibaya.Tofauti na hapo no porojo na kujipendekeza.

2. Ubunifu gani unazungumzia?mashine afunge DMO/RMO au serikali? acha majungu.

3. Haujawahi kusikia serikali kuchota mabilioni kutoka NHIF?watafanyaje kazi ikiwa pesa zao zinakombwa?FIKIRIA
 
Kuna shida kubwa sana.
 
Tatizo ata hicho kidogo kinachopatikana kinatafunwa na mchwa.
 
1. To a ushahidi Wa ufisadi Wa msd,onyesha kiasi walichopewa na serikali na kikatumika vibaya.Tofauti na hapo no porojo na kujipendekeza.

2. Ubunifu gani unazungumzia?mashine afunge DMO/RMO au serikali? acha majungu.

3. Haujawahi kusikia serikali kuchota mabilioni kutoka NHIF?watafanyaje kazi ikiwa pesa zao zinakombwa?FIKIRIA
1. To a ushahidi Wa ufisadi Wa msd,onyesha kiasi walichopewa na serikali na kikatumika vibaya.Tofauti na hapo no porojo na kujipendekeza.
JIBU
Tatizo lako unadhani ni serikali tu ndiyo inapeleka fedha MSD. Kumbuka kuna wahisani kibao wanamwaga fedha nyingi tu uko MSD, zinatafunwa na mchwa( Kesi kibao tu zipo mahakamani na wengine walishafukuzwa kazi/kufungwa). Sasa kama unasubiri nilete ushahidi utasubiri kwa sana tu.

2.Ubunifu gani unazungumzia?mashine afunge DMO/RMO au serikali? acha majungu.
JIBU
Sasa kama wasimamizi wakuu RMO/DMO wameshindwa kusimamia ufungwaji wa mashine za electronic (ambalo ni jambo dogo tuu) unadhani watweza jambo gani. Na kwa taarifa yako kwa wale waliofanikiwa kufunga machine hizo mapato yamepanda kwa kiasi kikubwa na na fedha hizo zimesaidia kununua madawa na kushughulikia matatizo mengineyo kwa idara ya afya.
3.Haujawahi kusikia serikali kuchota mabilioni kutoka NHIF?watafanyaje kazi ikiwa pesa zao zinakombwa?FIKIRIA\.
JIBU.
Kwa hiyo kama serikali inachota mabilioni huko NHIF, ndiyo inachofanya kuzipunja hospitali za serikali malipo yao kwa kutumia visingizio vingi visizo na mashiko kwenye ujazaji wa fomu ??
 
MSD ni distribution centre inahitaji CEO aliyebobea kwenye maswala ya logistic/operation management not an army general or a PhD in whatever.

Huko kwengine watu washasema sana ufanisi wa operation kwenye hospital unasomewa sio lazima chuo.

Daktari anaesimamia hospitali lazima apate ata in house training ya health management and usually they make good managers (ideal) those who acquire necessary skills.

Otherwise post za usimamizi na quality ya huduma waajiriwa ni watu waliosomea shahada za health management hawa sio lazima wawe health practitioners.

Ukisoma matatizo ya afya Tanzania kwa mtu mwenye uelewa mdogo tu wa health management unaona hii wizara ilivyojaza incompetent ppl and nothing will change under the current leadership.
 
MSD ni distribution centre inahitaji CEO aliyebobea kwenye maswala ya logistic/operation management not an army general or a PhD in whatever.

Huko kwengine watu washasema sana ufanisi wa operation kwenye hospital unasomewa sio lazima chuo.

Daktari anaesimamia hospitali lazima afanye ata in house development ya health management and usually they make good managers those who qualify.

Otherwise post za usimamizi na quality ya huduma waajiriwa ni watu waliosomea shahada za health management ata kama wao hawa sio lazima wawe health practitioners.

Ukisoma matatizo ya afya Tanzania kwa mtu mwenye uelewa mdogo tu wa health management unaona hii wizara ilivyojaza incompetent ppl and nothing will change under the current leadership.
Good analysis
 
Waganga wakuu wa mikoa, wilaya hadi ngazi zahanati ugonjwa wao ni huu: kuwinda posho za vikao kwa udi na uvumba, badala ya kutumia muda wao kwenye kutatua kero, kufuatilia utendaji kazi wa watu wanaowaongoza na kubuni mbinu na mikakati mipya wao ni kuhakikisha kila semina wapo hata zisizowahusu mfano kampeni na kuhamasisha uchangiaji damu DMO yumo!

Ugonjwa wa pili wa hao jamaa ni UNAFIKI na KUJIPENDEKEZA kwa wanasiasa....Daktari unajinyenyekeza kwa diwani kiasi hata miiko na maadili ya kazi yako unaweka pembeni....aibuuu!
 
Mjadala wa kitaifa unaitajika kuikoa sekta ya afya.
 
Sekta ya afya ina changamoto sana.

1. Nipo hospital ya rufaa General Dodoma - vituko

-X ray mashine imeharibika wagonjwa wanaambiwa waende agha khan, rundo la wagonjwa wanaenda kubanana kwenye kihospital kidogo kwa ajili ya x ray.
Wanashindwaje kuwa na backup mashine hospitali zote kubwa ni lazima ziwe na mashine muhimu ikiwezekana mbili na kuendelea ili kunapotokea technical malfunction huduma ziendelee wakati troubleshooting zikiendelea.

-Mashine za kufua zimeharibika wagonjwa wanaambiwa waje na mashuka 😢😢😢😢

Halafu kuna wabunge wanakula mishahara minono kwa kupiga piga meza tu.
 
Matatizo kama hayo siyo hospitali ya general(Dodoma) tu, yapo kwenye hospitali nyingi tu apa Tz.
 
Hakuna kumung'unya maneno hali ya vituo vya kutolea huduma za afya (dispensary, vituo vya afya na hospitali) vya serikali vipo taabani katika kuhudumia wanyonge. Dawa hakuna, mabomba ya sindano hakuna, gloves hakuna etc, kiufupi hali ni mbaya sana.

Kiufupi wanaochangia huduma mbovu katika vituo vya kutolea huduma vya serikali, hivyo kumwangusha rais wa awamu ya tano Dr John Pombe Magufuli ni wafuatao.

1. MSD (hawana ubunifu, kazi yao kubwa ni ufisadi, wamebaki kusingizia ya kwamba serikali hawapatii fedha. Shida ni kwamba hata hicho wanachopewa na serikali bado kinaishia kwenye matumbo ya watu. Pamoja na kupelekwa Mjeshi kuisimamia MSD, bado hawezi fanya kitu,sababu matatizo ya MSD ni ya kimfumo. Napendeka/ nashauri MSD ifumuliwe yote.

2. Waganga wakuu wa Wilaya/mikoa: Hili ni jipu kubwa sababu asilimia kubwa hawana ubunifu na pia kuwa wagumu kukubali mabadiliko ili kuendana na wakati. Kwa mfano kuna ushahidi wa kutosha ya kwamba ufungaji wa mashine za kielectronics zinasaidia kuongezeka kwa mapato ya serikali, lakini bado asilimia kubwa ya waganga wakuu wa wilaya wameshindwa kufunga mashine hizo katika vituo vya kutole huduma, hivyo kupelekea mapato kuendelea kuwa chini sana.

Sambamba na hilo pia bado kuna asilimia kubwa ya waganga wakuu wa wilaya/mikoa hawana uwezo wa kuongoza na ubunifu aidha kwa sababu hawakuzaliwa hivyo au hawana elimu sahihi kuhusu vipengele hivyo."Wengi wao kazi yao kubwa ni kusoma na kupitisha mafaili ya watumishi." DMOs na RMOs msisingizie mazingira magumu ya kazi, ugumu huo nduo ulifanya mkapewa nafasi hizo ili mpambane kuondo ugumu huo.

3. BIMA YA AFYA (NHIF); Hili nalo ni jipu kubwa, wamekuwa wakivitesa sana vituo vingi vya kutolea huduma serikali kwa kuvilipia malipo madogo uku wakisingizia kwamba vituo vy a serikali vinajaza fomu vibaya. Taarifa za kuaminika toka kwa wadau ni kwamba NHIF kwa kiasi kikubwa wanalazimisha makosa ili mwisho wa siku walipe kiasi kidogo kwenda kwenye vituo vya kutolea huduma ( makosa mengi ya ujazaji wa fomu hayana uhalisia). Tunaambiwa NHIF wanafanya hivyo ili wabaki na fedha nyingi sababu mojawapo kupata fedha za kulipana posho.
...................................................................................................................
Niishie hapo kwa leo, nina hasira sana huduma mbovu zimempoteza jamaa yangu juzi kisa hakuna dawa.
Kumbuka MSD wanaidai serikali mamilioni ya shilingi. Bajeti ya wizara ya afya pesa zilizotolewa hazifiki asilimia 20. Usilaumu MSD wala waganga tatizo linaeleweka.
 
Sijawalaumu ila ni nimewakumbusha kufanya sehemu yao.
 
Hapo kwenye msd tusiwalaumu maana wamekoooopwa na hao serikali swali linakuja wamelipwa stahiki zao maana kama mfanyabiashara huwezi kufanya biashara kwa mikopo bila kulipwa kwa wakati lazima ufilisike hapo kwenye N.H.I.F sasa hapo kama ni majipu ambayo Rais angetakiwa aanze nayo basi hapo ndipo penyewe yaani hizo hela wanazokata kwenye mahospital kwa kisingizio cha kuzidisha vipimo sijui dawa ulizoandika dose ni nyingi na blah blah kiabao kitu ambacho sio sahihi serikali inajua hilo kama Takukuru wapo humu waanzie na N.H.I.F kama makato wanayokata ni ya haki na hela zilizokatwa hazitafunwi na mchwa?
 
Upo sawa.
 
Kumbuka MSD wanaidai serikali mamilioni ya shilingi. Bajeti ya wizara ya afya pesa zilizotolewa hazifiki asilimia 20. Usilaumu MSD wala waganga tatizo linaeleweka.
Kuna Tangazo Channel 10 kila kabla ya Taarifa ya Habari ya Saa 1 usiku, Magufuli mwenyewe anasema wameongeza Bajeti ya dawa na vifaa tiba kutoka Tsh 30 Bilioni hadi Tsh 260 Bilioni.

MSD wanapaswa watueleze hizo Tsh 260 Bilioni wamefanyia nini?
 
Back
Top Bottom