Wanaomtetea Prof. Muhongo, jibuni maswali haya

Ccm ni wezi lazima wateteye wezi wenzao wanasubiri mda wakupigwa mawe muongo atabaki kuwa muongo Number moja Tanzania amna atakaye vunja record yake
 
Mbona kaeleza vizuri, naona wewe ndo unapanic mkuu, prof atatetewa na kila mpenda maendeleo ya wote na siyo maendeleo binafsi kama MENGI

Mengi sio mtumishi wa serikali, kumtetea Muhongo kwa kuhusisha uhasama wake na Mengi hata kama upo huo ni ukichaa. Huyu Profesa ni wakichina, wakati anaijibu paki pale bungeni alijenga hoja kuwa advocate Mkono amelipwa mabilioni na Tanesco but haikusaidia. Bado hamjajifunza mnatafuta huruma ya wananchi ili wafunike wizi, ufisadi na uzandiki aliofanya Muhongo kwa kisingizio cha uhasama na Mengi. Profesa shtuka, jela inakuja, hawa vijana uliowapa laptops hawana hoja
 
unafikiri mahakamni ni chadema pale? akisema Nbowe na mkwewe Mtei ndio imepita? that is court of law. hamna siasa hapa. mmemtaja Tibaijuka na wengine mpaka mapadri na wachungaji na pesa kiasi walichochukua kwa ushahidi kwa nini hamsemi kwa ushahidi Mh. Muhongo kachotewa ngapi? siye sio dalali ni waziri na ni lazima akutane na muekezaji aina yeyote ile. dalali ni yule aliyeenda kukopa pesa za kumuuguza mama yake
 
ukioa mjukuu akili nazo uwa zinasinyaa

Tupo pamoja prof.....umeiweza wizara
 
wewe tuambie Mh. Waziri kahusika wapi? that is political responsibility tu,hebu wewe tuambie Profesa kapewa ngapi?
 
hamna habari ya ccm hapa,hapa kuna Tanesco bana. ya ccm peleka kwao
 
Shame article,unatumia vyombo vyako vya habari kusambaza ujinga. Na wewe jibu maswali haya:-

1. Hasara ya mabilioni umeyaona kwa Tanesco. Ok je Tanesco ilikuwa na mapato kiasi gani huko nyuma? Ainisha na miaka kama ulivyoainisha hasara.

2. waliopata umeme toka Muhongo hajawa madarakani mpaka amekuwa waziri wa wizara hiyo ni wangapi? Tanesco miaka yote ilikuwa inaenda kwa hasara kwa wateja kidogo walionao,sasa kwa miaka hiyo uliyoitaja ya hasara kama wateja wameongezeka ulitegemea hasara itapungua itazidi? Kama kipindi cha Muhongo hakukuwa na mgao unategemea nini si lazima hasara iongezeke maana huduma inapatikana kwa wingi na hasara lazima iongezeke tu,kwani toka mwanzo wakiwa na wateja kidogo ni hasara,tuchukulie wakati wa mgao tanesco ilikuwa inanunua lita 100 za mafuta na wakati hakuna mgao inabidi wanunue mafuta lita 1000 hapa unategemea nini? Kwa nini hasara isiongezeke,tukumbuke hapa shirika haliendeshwi kibiashara

3.Mikataba ya migodi imepitiwa msipotoshe watu,ila tunataka maboresho zaidi na udhibiti zaidi. Tukumbuke Nyerere alipotaifisha mali za watu alitaifisha za wazawa pia,maana aliamini bepari ni bepari tu awe mzungu,mswahili au mhindi,kwa hiyo tusichukulie kuwa mzawa una haki zote kumiliki wewe na ndugu zako migodi ya geita na kufanya unavyotaka. Tanesco na wizara hizo Muhongo kazikuta za hovyo hivyo basi kipindi hicho kifupi kafanya mageuzi mengi tu na hawezi kumaliza mambo yote kwa mara moja.

4. Umeme unakatikakatika mara kwa mara,ok. Ni sawa na mgao uliokuwepo? Na ukatikaji wa mara kwa mara ni hujuma mlizokuwa mnamfanyia kwa kushirikiana na makampuni mengine ya umeme ili ashindwe kutekeleza azma yake ya mgao ubaki historia tu.

5. Ni lini au ni waziri yupi aliyeshika wizara hiyo na kuwadhibiti Tanesco kama Waziri Muhongo? Imefika Tanesco wanakupigia simu saa Fulani tunakuja kuweka umeme nyumbani kwako,toka uhuru imewahi kutokea? Waziri Muhongo kakata mirija Tanesco hivyo maadui walikuwa wengi tu na sasa kila mfanyakazi Tanesco meno njia wanajua ulaji umerudi. Na katika mirija aliyoikata ipo pia kina Zitto na Mkono waliokuwa wakishirikiana na Mkurugenzi wa zamani wa Tanesco kwenye ulaji wa shirika hilo,je Muhongo atakuwa salama?

Mheshimiwa Muhongo unafaa hata kuwa Rais wan chi hii,maana nchi kwa sasa inataka mtu jeuri na dikteta na anayetoa amri na msimamo usioyumba. Kwa kazi hakuna waziri yeyote toka uhuru mpaka sasa aliyeimudu wizara kama wewe,ni siasa za chuki na ulaji ndio zilizokuchafua,ati wanakuita dalali, wamekosa cha kuwathibitishia umma kama ulipata mgao,mbona wengine wameweza kwa nini wewe washindwe? Siasa chafu tu hizo,mbona wamemsitiri kiongozi wa upinzani ili upinzani usiabike na kusambaratika na ndio gia anayoingilia Zitto sasa kutaka kurudi Chadema. Unafikiri watamkataa wakati kamfinika mkuu nguo?

KAMA HASARA YA TANESCO IMETOKANA NA KUTOKOSEKANA KWA MGAO HIYO SIYO HASARA NI FAIDA KUBWA

umeandika kwa jazba sana na hujaeleweka hata hoja zako zimekaa kimipasho kwa kumlenga mtu binafsi .
tambua unapo andikw humu jukwaani unongea na watanzania,tena wenye weledi wa kuuhabarisha umma na kuuelimisha juu ua masuala nyeti yahusuyo nchi.
 
njooni tu tena itaneni najua saa hizi mmepelekeana msg tumevamiwa na mimi naondoka muda si mrefu,maana sina muda wa kukesha hapa. mafanikio ya waziri yapo wazi. hiyo Tanesco yenu ni bomu tu hata wakipewa hizo bil 320 hazina maana yoyote kwao,ni muda wa miaka 10 hawailipa IPTL umeme wanaotumia,wala msifikiri ati zitasaidia hamna kitu pale. Profesa Muhongo ni mmoja katika mawaziri bora hapa Tanganyika. Mirija imekatwa. oooh Tanesco imepata hasara karibia trillion,ni lini ilipata faida? ni hasara ipi kaisababishia Tanesco Waziri Muhongo? ukisema hasara tafadhali define inatokana na hili na lile?
 
ngoshanyi.Tuseme ww ndio una akili zaidi au? Je unajua maana ya biashara? Tanesco ni wafanya biashara ndio maana tunalipa bili zetu. Sasa kama unafanya biashara hasara ni kitu cha kutetea? Kwa kuwa huyo muhongo ni homeboy wako ndio uchemke namna hii? miccm kweli hakuna matumizi ya ubongo.
 
Muhongo hayupo kupiga siasa na wala yeye hajui siasa. Hapo ni kazi tu. mwambieni Mengi ajipange upya ila kwa hii santuri ya escrow imebuma

Mkuu Mengi hakuwatuma kuiba, na semeni tujue moja , kwamba kuiba mali ya umma siku hizi ni halali.
Tupp madereva wengi tu , tupeni ishara tuuze injini za kilimo kwanza , kila mtu ale mezani kwake.
 
Sidhani kama umejibu bali umeuliza maswali zaidi!! Tusimtee Muhiongo sio malaika, pale amechemka jamani. kukubali kuwa kachemka haimuondolei hadhi yake ya kuwa Professa. Hizi mada nyingine ni ujinga tu sasa na kuchoshana.

Tatizo NIPASHE gazeti linapoteza weledi kwa kufanya kazi za Mengi na Chadema upande mmoja tu. Mi nimeshaacha kusoma gazeti la NIPASHE.
 
Mkuu Mengi hakuwatuma kuiba, na semeni tujue moja , kwamba kuiba mali ya umma siku hizi ni halali.
Tupp madereva wengi tu , tupeni ishara tuuze injini za kilimo kwanza , kila mtu ale mezani kwake.

Mengi ana hasira kisa kaambiwa ukweli kuhusu udalali......analia lia kuhusu kutuwakilisha wananchi na kile kijiwe chao cha uhuni Private sector Foundation wakati TPDC shirika la Umma lipo imara......Hakuna kitu ni udalali tu.m..
 
Shame article,unatumia vyombo vyako vya habari kusambaza ujinga. Na wewe jibu maswali haya:-

1. Hasara ya mabilioni umeyaona kwa Tanesco. Ok je Tanesco ilikuwa na mapato kiasi gani huko nyuma? Ainisha na miaka kama ulivyoainisha hasara.

2. waliopata umeme toka Muhongo hajawa madarakani mpaka amekuwa waziri wa wizara hiyo ni wangapi? Tanesco miaka yote ilikuwa inaenda kwa hasara kwa wateja kidogo walionao,sasa kwa miaka hiyo uliyoitaja ya hasara kama wateja wameongezeka ulitegemea hasara itapungua itazidi? Kama kipindi cha Muhongo hakukuwa na mgao unategemea nini si lazima hasara iongezeke maana huduma inapatikana kwa wingi na hasara lazima iongezeke tu,kwani toka mwanzo wakiwa na wateja kidogo ni hasara,tuchukulie wakati wa mgao tanesco ilikuwa inanunua lita 100 za mafuta na wakati hakuna mgao inabidi wanunue mafuta lita 1000 hapa unategemea nini? Kwa nini hasara isiongezeke,tukumbuke hapa shirika haliendeshwi kibiashara

3.Mikataba ya migodi imepitiwa msipotoshe watu,ila tunataka maboresho zaidi na udhibiti zaidi. Tukumbuke Nyerere alipotaifisha mali za watu alitaifisha za wazawa pia,maana aliamini bepari ni bepari tu awe mzungu,mswahili au mhindi,kwa hiyo tusichukulie kuwa mzawa una haki zote kumiliki wewe na ndugu zako migodi ya geita na kufanya unavyotaka. Tanesco na wizara hizo Muhongo kazikuta za hovyo hivyo basi kipindi hicho kifupi kafanya mageuzi mengi tu na hawezi kumaliza mambo yote kwa mara moja.

4. Umeme unakatikakatika mara kwa mara,ok. Ni sawa na mgao uliokuwepo? Na ukatikaji wa mara kwa mara ni hujuma mlizokuwa mnamfanyia kwa kushirikiana na makampuni mengine ya umeme ili ashindwe kutekeleza azma yake ya mgao ubaki historia tu.

5. Ni lini au ni waziri yupi aliyeshika wizara hiyo na kuwadhibiti Tanesco kama Waziri Muhongo? Imefika Tanesco wanakupigia simu saa Fulani tunakuja kuweka umeme nyumbani kwako,toka uhuru imewahi kutokea? Waziri Muhongo kakata mirija Tanesco hivyo maadui walikuwa wengi tu na sasa kila mfanyakazi Tanesco meno njia wanajua ulaji umerudi. Na katika mirija aliyoikata ipo pia kina Zitto na Mkono waliokuwa wakishirikiana na Mkurugenzi wa zamani wa Tanesco kwenye ulaji wa shirika hilo,je Muhongo atakuwa salama?

Mheshimiwa Muhongo unafaa hata kuwa Rais wan chi hii,maana nchi kwa sasa inataka mtu jeuri na dikteta na anayetoa amri na msimamo usioyumba. Kwa kazi hakuna waziri yeyote toka uhuru mpaka sasa aliyeimudu wizara kama wewe,ni siasa za chuki na ulaji ndio zilizokuchafua,ati wanakuita dalali, wamekosa cha kuwathibitishia umma kama ulipata mgao,mbona wengine wameweza kwa nini wewe washindwe? Siasa chafu tu hizo,mbona wamemsitiri kiongozi wa upinzani ili upinzani usiabike na kusambaratika na ndio gia anayoingilia Zitto sasa kutaka kurudi Chadema. Unafikiri watamkataa wakati kamfinika mkuu nguo?

KAMA HASARA YA TANESCO IMETOKANA NA KUTOKOSEKANA KWA MGAO HIYO SIYO HASARA NI FAIDA KUBWA

yani nyie mnaojifanya kumtetea mhongo ndio mnazidi kumwaribia reputation yake .

Sasa kama unamuona anafaha sana mpeni nafasi agombee uraisi kupitia CCM.
 
Muhongo anapata wapi hela hizi za kuhonga watu hivi?
 
Back
Top Bottom