Duuh yaani mpaka sas haujajua kosa lake. Basi ngoja nikwambie makosa makubwa ya huyu Prof:
1) Kutompendelea Mengi ili apate vitalu vya gesi
2) Kumuondoa Mkono kwenye uwakili waTanesco ili asiendelee kulitia taifa hasara
3) Kusimamia majukumu ya wizara kwa uhadilifu na kufanikisha utekelezaji wa mradi wa usambazaji umeme vijijini
4) Kusema ukweli hata kama unawaumiza watu wengine
Kwa ufupi hayo ndo makosa makubwa kabisa ninayoyafahamu na ambayo hata kamati ya zito iliyaona
Hana makosa kabisa huyu malaika wa mola....
Ana mazuri mengi tu baadhi ya hayo mazuri ni:
1. Kusema fedha za escrow SI ZA UMMA kwani TANESCO wana madeni makubwa wanayodaiwa na IPTL.
2. Kusema ya kuwa Watanzania hawana uwezo wa kuwekeza wakati hata hao wawekezaji wenyewe wanaopewa vitalu wanakopa kwenye Bank zao.
3. Ni profesa mpole sana na mcheshi sana mwenye maneno ya upole sijawahi kuona hasa kwa wana MTWARA
4.Ni Professor wa pekee mwenye uwezo wa kutoa facts and figures ambazo hazikuwa ferified popote zinazopinga report ya CAG.
5.Ni kiongozi ambaye hana Kinyongo, anatafuta suluhu na wadau wake na hana kinyongo na Mengi na Mkono. Ni kiongozi wa mfano wa kuigwa. upendo wake kwa mahasimu wake umezidi kipimo.
6. Hajawahi kusema uongo kabisa. Nawahakikishia alishawahidi waTZ hakutakuwa na Mgao wa Umeme na toka atoe tamko hilo HAKUJAWAHI KUWA NA MGAO WA UMEME. Wote tu mashahidi umeme haukatiki na asilimia 99 ya nchi ina umeme masaa 24 na hasa zile siku za muwasilishwa ripoti ya Esrow aliwapa maagizo mameneja wote wa TANESCO umeme usikatike na HAUKUKATIKA KABISA. Huyu Profesor sio MUONGO KABISA ni MKWELI TUUU.
8. Hajalewa madaraka, hang'ang'anii madaraka na ni mtu wa watu. Ni chaguo la thithiem
9. Ni professor ambaye atachaguliwa kwa kura za kishindo endapo atapitishwa kuwa Mgombea wa Urais na kuna motisha ya Laptops kwa wote!
10.........................................
Viva Le proffeseri.......