Wanaomtetea Prof. Muhongo, jibuni maswali haya

Wanaomtetea Prof. Muhongo, jibuni maswali haya

Mjadala umeanza muda mrefu na hoja zimekuwa zikitolewa. Mpaka sasa sijaelewa kosa la Muhongo na Maswi katika sakata hili... naomba wenye kuelewa waeleze kwa kifupi na kwa hoja.

Ninavyofahamu wao waliomba ushauri kwa AG na AG akashauri alivyoshauri, na hata AG alisema alaumiwe yeye badala yao...

Kuvuta mzigo toka kwa singa singa....
 
Proff muohongo must go. Tunawizara kama institution Haimtegemei MTU. Asiifanye wizara kuwa muhanga wa matatizo yake binafsi. Waziri asiye waamini watanzania wenzake hafai. Kama watanzania hawawezi katika biashara yeye je na viongozi wenzake pia basi hawawezi kwenye utawala. Kama unataka wazungu kwenye uwekezaji pia mwachie mzungu awe waziri kwenye wizara yako. Amerikoroga lazima alile
 
Back
Top Bottom